Hayati Magufuli alijiona kama Baba wa Taifa na next to none

Subili mda ufike utakuambia. RIP King, katufumbua sana na watakuja makufuri wengi baadae. Mpira ndokwanza kipindi cha kwanza. Wait my call πŸ“ž
 
Kuna

Watu wa ajabu Sana... Huyu kiongoz ni fundisho. Lazima kutahadharisha...

Kile kilikuwa ni kiburi..mnaotetea mnadhihirisha tabia zenu.... Huwez ukamdhihaki Mwenyezi Mungu. Yaani yeye Sasa ni kiongozi wa malaika??
Wewe unamjuwa mungu. Dini umeletewa. Jiulize wakina mkwawa walikuwa na dini. Vijana wangu mnapotea kwa kukosa maalifa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Umemaliza ndugu yangu na kukonga moyo wangu.. Sina cha kuccoment kwakweli, niwatakie ucku mwema wote.
 
ALIKUWA ANATAKA KUWA RAIS WA MALAIKA.

AKINA KABUDI, SHEHE WA DAR, NA WAJINGA WENGINE WENGI WALIMWITA...

Magufuli ni zaidi ya Mungu
Nguvu ya kiburi cha madaraka, kiburi cha uzima! Igweeee!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wakuu eeh! Sasa mmezidi, mkilala mkiamka ni JPM
 
Hata wewe ukifanya ubaya sitakuonea haya hata kidogo. Hata Rais Samia abolonge nitalala naye mbele. Sionei soni uovu. Pole sana. Sitabiriki
Dah!

Mbona wewe ni mwepesi sana kutabilika.
Maandishi yako mengi sana siku hizi yapo wazi sana.

Kwa hiyo usijione kuwa na upekee wowote. Unayo bei inayokutosha kubadili mwelekeo. Hili lipo wazi kabisa.

Danganya toto, siyo watu wazima.
 
Duuuh sitii neno acha niangalie comments za wazee wa legacy!!
Tunaangalia cartoons mimi ni kucheka tu sio kwenye maada sio kwenye comment sio kwenye swali wala sio kwenye jibu ni kukenua tu hamna namna[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wanasheria wenyewe wapo nje, mpaka warudi sio leo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…