Hayati Magufuli alijiona kama Baba wa Taifa na next to none

Kwa hiyo naye Magufuli alikuwa sahihi kwa alicho kuwa anafanya ?
Si unajua mambo yalikuwaje wakati wa Kikwete?

Na sasa hivi yatarudi tena, utaona malalamiko hapa JF yatazidi kujazana kama enzi za JK.
 
Watu wanasahau mkuu, mbona kipindi cha Mkapa yalitokea mauwaji polisi waliuwa sana raia ila wamesahau na hata ukiwakumbusha watakwambia hayo ongelea wewe wao wanazungumza maovu ya Magufuli tu.
Lini na wapi?
 
hata wewe ulieandika uzi huu umesukumwa na kiburi cha uzima,,,,,,,,,,,,,siku zako pia zaja tena si nyingi,,,,,si vyema sana kumzungumzia marehemu na ukizingatia unaelezea mambo ya kale hayana tija yoyote kwa sasa ni kama unamsimanga.

halafu muache kumsema na Mama Janeth kwamba kanenepa sijui kapumzika sidhani kama kuna kitu kibaya na kinachouma humu Duniani kama kumpoteza mtu wako wa karibu bila kujali alikuwaje.

USIRUDIE TENA.
 
Acha kuomba undugu kwa figganigga , yaani una mlailai ili asiongee ukweli?
Muache afunguke, hata yeye kama Mtanzania ni mhanga wa awamu ile
Wewe una undugu naye, mbona ni kama unamshikia akili zake.
Mada yenyewe iko chini ya kiwango katika uwasilishaji tu, hata bila kuzungumzia maudhui yanayowasilishwa.

Kwa hiyo, kama ni ndugu yako, nyote mko chini ya kiwango stahiki.
 
Sawa, tufanye ipo chini ya kiwango, ila ndiyo usiombea undugu. Mara ooh, mimi sikutegemea mtu kama wewe. Kama umgeona ipo chini ya kiwango si umgepita kimya tu, kuliko kuanza kubembeleza undugu
 
Sawa, tufanye ipo chini ya kiwango, ila ndiyo usiombea undugu. Mara ooh, mimi sikutegemea mtu kama wewe. Kama umgeona ipo chini ya kiwango si umgepita kimya tu, kuliko kuanza kubembeleza undugu
Hivi unayo akili ya kuelewa kilichoandikwa?
Nani kaomba undugu hapa na yeyote,..., au ni bangi zimekuzidi kichwani?
 
Hivi unayo akili ya kuelewa kilichoandikwa?
Nani kaomba undugu hapa na yeyote,..., au ni bangi zimekuzidi kichwani?
Mimi nielewe kilichoandikwa ili inisaidie nini? Bangi nduyo huwa zinan8zidia hilo sikatai, ila Usirudie tena kuomba omba undugu.
 
Mauwaji ya mwembechai.
Kwa hiyo ulichokiona Mwembechai ni mauaji tu. Sababu iliyopelekea watu wakafa hutaki kuiona?

Halafu unajua tofauti ya kuua na watu kufa?

Mwembechai watu walikufa, lakini hakukuwa na mauaji.
 
Kwa hiyo ulichokiona Mwembechai ni mauaji tu. Sababu iliyopelekea watu wakafa hutaki kuiona?

Halafu unajua tofauti ya kuua na watu kufa?

Mwembechai watu walikufa, lakini hakukuwa na mauaji.
Hao watu walikufa kwenye hayo mauwaji ya mwembechai, sasa labda useme kwamba yalikuwa mauwaji halali.
 
Na wewe ni msomi?

Kuna jinai yoyote mtu kujiona baba wa Taifa?

Lakini pia, alipojiona baba wa Taifa ilikupunguzia nini wewe kwenye maisha yako?
Ilimfanya asipige dili, aliachia kazi kwa kuwa na elimu feki na leo kalipwa pesa na malkia wa nyuki..ataachaje kutukana na kusifia.
 
Magufuli alikuwa ni shetani mwenye jicho moja na pembe kichwani
 
Akiwa Waziri wa ujenzi amewahi kumbebesha Janet kichwani makarai ya mchanga usiku kucha. Ilitokea hivyo kwa kuwa waliopewa kazi ya kumleta mchanga nyumbani walimwaga mahali ambapo sipo alipotaka Magufuli.
Hata hivyo walikuwa wameachana ila baada ya akina CCM kupitisha jina la Magufuli kuwa ndiye mgombea wa Urais mnamo August 2015 ndipo kina JK wakamamfuata Janet kumsihi arudi kwa DIKTETA kwa vile Rais lazima awe na first lady.

Ila Janet aliwaambia akina JK kuwa "mumebugi step kumpa Urais huyo, mtakoma". Na walikoma kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…