Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
-
- #141
Narudia tena , Bashiru naye kafa ? Polepole je ? Sirro , Mambosasa na Makonda nao wamekufa ? hatutaacha kuhoji ujinga wao hadi wakiri hadharani makosa yao na kuomba radhiHamuachi huu us.....e kila kukicha..mtu yupo kaburin ila bado tu...watu wa hovyo kabisa.
Achana na wa kaburini, shetani yeye yupo kuzimu zaidi ya miaka afu 2 sasa na anapigwa spana kila kona ya dunia hii ila huwezi ona chawa wake wakilalamika!Hamuachi huu us.....e kila kukicha..mtu yupo kaburin ila bado tu...watu wa hovyo kabisa.
nimejiridhisha wapi ?Kwakuwa mleta mada amejiridhisha kuwa Mkt aliyasema hayo,
Hakuna haja ya ushahidi.
Kwamba Mkt Mbowe hakusema wakaidi wa kuchanjwa, wachanjwe Kwa lazima?nimejiridhisha wapi ?
inaweza kuwa na msaada wowote labda?Ikiwa tumeingia mwezi wa 3 , ambao kwa mahesabu ya Tanzania na wanazuoni ni mwezi wa Mungu ( wenye akili wameelewa ) , tutajitahidi kuanzia leo na kuelekea mwisho kuwaletea makala za kusikitisha za uozo wa serikali ya awamu ya 5 na viongozi wake , wakiwemo waliokufa na walio hai , wakiwemo wenye madaraka hadi leo na wale ambao wako Benchi .
Tunachoahidi ni kuhakikisha kwamba kila hoja zetu zitakuwa na ushahidi uliotukuka bila longolongo yoyote , kikubwa twende na kanuni ileile ya kwamba AKUANZAE MMALIZE
Pichani ni Tito Magoti aliyetekwa na kunusurika kuuawa na utawala huo akipelekwa mahakamani , nusura yake ilitokana na makelele ya Watu kutaka apatikane akiwa hai , hii ni baada ya Mashuhuda kuona namna alivyotekwa tangu mapema kabisa , huyu aliponea tundu la sindano
View attachment 2933711
Ombi letu ni hili , kila mwenye ushahidi wa mambo yote machafu ya awamu ya 5 ajitokeze kuuleta , katika makala zetu hizi kabambe za Mwezi huu wa Mungu , HATUTAKUWA NA MSWALIE MTUME .
NITASEMA KWELI DAIMA FITNA KWANGU MWIKO
Kwani kuchanjwa kwako ni big deal sana? Mbona miaka nenda rudi tunapigwa machanjo ya Surua, polio nk na maisha yanasonga tu? Mbona kuna raia kibao wamechanjwa corona na life linasonga fresh tu? Tatizo lako wewe ni nini kwani?Kwamba Mkt Mbowe hakusema wakaidi wa kuchanjwa, wachanjwe Kwa lazima?
Hadi niweke video hapa?
Ndio tunasema, CHADEMA ni puppets wa hizi big Corporations za Ulaya na Marekani. Dozi moja si chini ya Dola $200 na sahivi ukipiga chafya tu huko, unadungwa. Leo hii Tanzania tusingekuwa na hata huo Umeme wa ration.Mkt Mbowe kushauri wote wasiohiari kuchanja Chanjo ya korona wakamatwe Kwa nguvu na kufungwa Chanjo ya Coronavirus,
Huoni kwamba Mbowe alionyesha chembe za UDIKTETA?
Tangu lini Chanjo ikawa lazima?
Bwashee tuache tu maana Mwenyekiti yuko Chini ya uangalizi wa DPP
Sema Propaganda ueleweke.Katika nyuzi 20 tutakazoweka hapa kuanzia kesho utaelewa unyama wa jiwe , weka bando tu , tutakuwekea ushahidi mwanana mno
Watapata wengi tu, 2020 ile haikuwa kitu kizuri kufanya vileUpendo Peneza: 2025 Chadema ikipata Hata mbunge mmoja wa dawa kama sasa nitarudi Chadema 😄
Hivi unaona spana anazopigwa Lissu? Sasa mkaja mkamtembeza weee muonewe hurumu. Tanzania hainaga kura za Huruma.Achana na wa kaburini, shetani yeye yupo kuzimu zaidi ya miaka afu 2 sasa na anapigwa spana kila kona ya dunia hii ila huwezi ona chawa wake wakilalamika!
Mzee Mwanakijiji una maoni gani?Ikiwa tumeingia mwezi wa 3 , ambao kwa mahesabu ya Tanzania na wanazuoni ni mwezi wa Mungu ( wenye akili wameelewa ) , tutajitahidi kuanzia leo na kuelekea mwisho kuwaletea makala za kusikitisha za uozo wa serikali ya awamu ya 5 na viongozi wake , wakiwemo waliokufa na walio hai , wakiwemo wenye madaraka hadi leo na wale ambao wako Benchi .
Tunachoahidi ni kuhakikisha kwamba kila hoja zetu zitakuwa na ushahidi uliotukuka bila longolongo yoyote , kikubwa twende na kanuni ileile ya kwamba AKUANZAE MMALIZE
Pichani ni Tito Magoti aliyetekwa na kunusurika kuuawa na utawala huo akipelekwa mahakamani , nusura yake ilitokana na makelele ya Watu kutaka apatikane akiwa hai , hii ni baada ya Mashuhuda kuona namna alivyotekwa tangu mapema kabisa , huyu aliponea tundu la sindano
View attachment 2933711
Ombi letu ni hili , kila mwenye ushahidi wa mambo yote machafu ya awamu ya 5 ajitokeze kuuleta , katika makala zetu hizi kabambe za Mwezi huu wa Mungu , HATUTAKUWA NA MSWALIE MTUME .
NITASEMA KWELI DAIMA FITNA KWANGU MWIKO
wekaKwamba Mkt Mbowe hakusema wakaidi wa kuchanjwa, wachanjwe Kwa lazima?
Hadi niweke video hapa?
Tunapokea maoni ya wadau woteMzee Mwanakijiji una maoni gani?
Huyo ni Team Jiwe kutoka KatoroKwani kuchanjwa kwako ni big deal sana? Mbona miaka nenda rudi tunapigwa machanjo ya Surua, polio nk na maisha yanasonga tu? Mbona kuna raia kibao wamechanjwa corona na life linasonga fresh tu? Tatizo lako wewe ni nini kwani?
Atavuna alichopandaJiwe Shetani yule.
Hilo ni jibu lake sahihi kwa mtu sahihi 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Inawezekana wewe ni mjinga mmoja wapo .