Hayati Magufuli alikosea kwenye mambo mengi mno. Kubwa mojawapo ni kumchagua huyu mtu

Wakubwa wa dunia ni kina nani??
 
Aisee kwa Mawazo haya ngoja niweke nukta.

Lakini I cant let this slide..., na atakayeombea Imani zetu kama Africans na kuzipambania ni nani ? Nadhani kuangalia mambo kwa udini, jinsi, rangi au kabila ni kufirisika kifikra...
 
Ila kusema kweli mama hakubaliki. Hata wanaomsifia ni wanatetea matumbo yao tu ila deep down hata wao hawamkubali.
 
Nyani Nghabu wanasema nyani haoni kundule. Umeniuzi sana, ungekuwa karibu ningekukaba roba mbaya sana mpaka uufutw huu uzi. Naomba moderator wafute huu uchafu. Rais Dr Samia ni kiongozi bora kabisa kuwahi toka hapa Tanzania. Anajua maana ya uongozi na kuongoza. Tunamuombea kwa Mungu aongoze mpaka 2035.
 
Wewe unikabe roba mimi?

Fcuk around and find out…
 
Na vipi angemchagua Stagomena Lawrence Tax au Pindi Hazara Chana kua makamu wake ungesemaje?
✍️
Kwa swali hili inaonekana wewe ni zuzu, huna unalolijua kwenye katiba yetu!.
Ni sawa na mtu aulize kwann huwa hawachagui kiongozi mwanaume kwenye chama cha wanawake (mfano UWT)...hapo utakuwa na akili au matope, ndio wewe sasa!.
 
Mkuu, utaandika gazeti zima hapa, lakini maandishi yako toka uingie hapa yanakueleza historia yako vizuri kabisa.

Ulianza na kuwa 'steve joel ntamsana', ukiwa na lengo maalum la kufanya.
Hadi hapa tulipofikia, lengo hujalifikia, lakini nia thabiti ya uwepo wako hapa ukawa umethibitika.

Kwa hiyo huko kote unakozunguka nako kwenye andishi lako hapo juu, ni kupoteza tu muda; kwa sababu unajua "Mkataba/Makubaliano" unaopigiwa kelele upo vile vile, hakuna kilichobadilika licha ya juhudi kubwa zinazofanyika za upotoshaji na hadaa nyingi.

Ni hivi: Ungekuwa ni mtu wa kuaminika, ungezungumzia mapungufu yanayoonekana kuwemo kwenye mkataba, na siyo kujitumbukiza kwenye udini.
Nenda kamwambie Samia, "Mkataba/Makubaliano" yalekebishwe, na hao hao DP World waendelee na kazi. Ukiona bado kuna kelele za mapingamizi baada ya kufanya hayo, njoo hapa tena, nami nitakuunga mkono kuhusu kelele za hao wanaoendelea kupinga.

Lakini, kama nilivyokwisha sema toka mwanzo baada ya kukujua unakoegemea, haya ninayokushauti hapa hayakuingii kabisa akilini mwako.

Sasa tufanyeje? Tusubiri tu kugongana vichwa vya waTanzania.
 
Wewe siyo mwanachama wa CCM,unawezaje kujua mambo ya ndani ya CCM?.
Watu wanje ya Tz hawana chochote cha kutufundisha maana wao washafeli.
 
Si mlidai CCM sijui unaandaa viongozi mara sijui Marais huandaliwa tokea mapema, vipi Leo mnakiri kuwa hamkumuandaa Samia?

CCM Is overrated
Mnapopinga uwepo Mungu huwa mnatumia vigezo gani?.
Watu hupanga ya kwao na Mungu upanga yake.Samia ndiyo mpango wa Mungu sasa.
 
WRONG AGAIN!

Hii kazi siyo kazi ya CHADEMA tena.

Hii ni kazi ya waTanzania wote wenye mapenzi mema na nchi yao. bila kujali tofauti zao mbalimbali.
Watanzania ni hawa hapa,nyinyi siwatanganyika?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…