Hayati Magufuli alikosea kwenye mambo mengi mno. Kubwa mojawapo ni kumchagua huyu mtu

Kipi kimekufanya uamini Samia Hana uwezo!?..siasa,uchumi?!
 
Shukuru uko kubeba ma box ungevunjwa miguu hadi upate adabu.
 
JPM Aliwahi kukiri katika moja ya speech zake kuwa Samia hakua chaguo lake... Yeye alikuwa anamtaka Hussein Mwinyi... chama kilimlazimisha..
 
Kwenye mkutano mkuu wa ccm 2020 Magufuli alisema wazi kabisa kwamba yeye chaguo lake namba moja la mgombea mwenza alikuwa Hussein Mwinyi ila wazee wakamchagua Samia yeye hakumpenda kabisa ila chama kiliamua
Kikwete kathibitisha hilo. Maza alikuwa ni chagua la JK. As we all know, JK huwa anaangalia sura kuliko uwezo. Hasa kwa hiyo jinsia. Teuzi zake nyingi zilisababisha kudilute hai ya ngazi nyingi serikalini hasa Ukuu wa Wilaya.
 
Home boy, now you are talking
 
Ubovu wake kwa wengine ndio uwezo wake. Ulitaka watu waendelee kuogopana bar kwenye ulevi?.

Ulitaka halmashauri ziendelee kusikiliza watu wanaoongea kisukuma muda wote wa vikao?.

Kuna watu wameonewa sana awamu mbili zilizopita hivi sasa wanapumua, huo udhaifu wote unaouona wewe kwao unavumilika,

Ulitaka watu watozwe kodi za TRA mara mbili katika biashara moja licha ya kuonyesha risiti zote kwamba walishalipa hapo awali?.

Mipango ya Mungu kwake kuwa rais kama ilivyokuwa mipango ya Mungu kwa Magufuli kuaga dunia 2021 mwanzoni kabisa mwa miaka yake mitano ya pili.
 
Mpindue uwe wewe.Unataka aweje?
 
Kina Buhari na Hichilema waliukamia wakaupata
 
Mwenye uwezo wa kuweka ile video ya JPM akisema yeye chaguo lake kuwa Dr Mwinyi lakini ikabadilishwa na akawa SSH, tafadhali aiweke hapa ili tuisikilize tena.

Kwa maoni yangu mimi ni kwamba JPM alikuwa kama akilalamika (maana alisema ni siri ila lazima aiseme) kuwa hakupewa nafasi kumchagua mtu aliemtaka yeye ili awe Makamu.

Maana alisema wazi kuwa alimfahamu Dr Mwinyi kwa miaka 10 na hata kusifia kuwa aliongoza wizara ya Ulizni kwa miaka hiyo 10.

Wengi humu ni wajuvi hivyo mwafahamu kuwa ukigundua umekosea mahala ni lazima utafute namna ya kuja kurekebisha kosa lako.
 
Hakuna statement inaniudhi kama hiyo eti anapotoshwa na walio mzunguka, ila kadiri wanavyozidi kuihubiri ndo wana admit alichokisema mtoa mada kwamba ndugu yetu ni empty set maana anapelekeshwa tu yeye hana anachokijua
 
Kwanini amchague mtu anayemtaka yeye?. Hakuna rais aliyeweza kuweka mrithi wake anayemtaka mwenyewe.

Alishindwa Mwalimu Nyerere kumuweka Salim Ahmed Salim angeweza JPM ambaye hakuwa na misingi ndani ya CCM?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…