Hayati Magufuli alikosea kwenye mambo mengi mno. Kubwa mojawapo ni kumchagua huyu mtu

Mr. tabasamu alihusika kumpendekeza na kuhakikisha anateuliwa! Kuna video iko humu ya juzi alilitolea maelezo alipoulizwa na mwandishi wa habari like Arusha.
Alaumiwe huyo mshika remote!
Ndo alipanga safu ya mawaziri baada ya kifo cha magufuli
 
Aliwahi sema mnaniita bi tozo kwenye mitandao yenu, hivyo anasoma yote haya.
 
Kwamba matazo yaliletwa na hizo awamu au
 
Njoo uongee hayo ukiwa Tanzania acha kujificha huko uchochoroni
 
Tofautisha slogan na matendo kazi iendelee wakati hakuna kinachoendelea ni taarabu na ngonjera. Maneno matupu hayafai kitu.
Kwamba baadhi ya watu kuendelea hiyo kwangu sio hoja hoja ni performance hao. Performance ya kadogosa wa awamu ya tano na wa sasa ni kama watu wawili tofauti hiyo yote ni sababu ya who is at the top. Ni bora kuwa na jeshi la kondoo mia linaloongozwa na simba mmoja kuliko kuwa na jeshi la simba mia linaloongozwa na kondoo mmoja. Kwa Sasa every sector is underperforming
 
Acha uongo jpm alitaka kutawala Milele.

Sema mapenzi ya Mungu yatimizwe
 
Sio kwa ufidadi ule na udikteta wake.

Tofauti ya jpm na huyu wa sasa ni Upole wa Mama. Ila wote ni ccm mafisadi tu.

To lie to the nation my friend
 
Hii katiba ya Rais akifa basi makamu kuwa Rais haijakaa vzuri ni hatari sana kama ikitokea hujuma juu yake. Pia rahisi kupata Rais wa ajabu kama kinachotukuta sasa hivi.

Ama laah badi ikiwezekana ipatikane mbinu bora ya kumpata makamu pia.
 
Mkuu kuna mengi yanayoendelea muda huu sema wewe huwezi kuyaona wala kuyathamini na ni haki yako kuwa hivyo.

Mwendo kasi unamaliziwa kujengwa. Utalii unaifungua nchi. Mahoteli kama uyoga yanaajiri wafanyakazi kila kukicha.

Ni mengi tu yanayoendelea, JPM hakuongeza mshahara hata mara moja katika miaka yote sita, SSH keshaongeza hiyo mishahara na marupurupu mengi wanalipwa wafanyakazi.

Samia hana umaarufu kwa sababu hatafuti sifa kwa nguvu, halazimishi kupendwa na watu.
 
Ilikuwa makosa kumweka Magufuli kwenye Urais, mama ndiyo anasafisha madudu ya Magufuli. Hii ni kama Mwinyi alivyosafisha madudu ya nyerere, na Kikwete akaja kusafisha ya Mkapa.

Watende wao ya wenzao huwa mwao.
Kama umeona kikwete alisafisha makosa ya mkapa Anza kusoma suratu kursiyo kimya kimya maana we sio mwenzetu tena
 
Majambazi ndo wanaona Anafanya kazi nzuri maana wanaweza kuiba bila kuguswa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…