Hayati Magufuli alikuwa akielekeza vitendo vya kihalifu?

Ilikuwa halali yao nawe unajua. Kwa andiko hili Unamkumbuka pia JPM
Ahahahaaàaa . Kwa ubaya lakini .

Halali yao kwa kuwa haikukugusa wala jamaa zako. Yule alikuwa dictator kama madictator wengine.
 
Ahahahaaàaa . Kwa ubaya lakini .

Halali yao kwa kuwa haikukugusa wala jamaa zako. Yule alikuwa dictator kama madictator wengine.
Ungejua kuwa hakuna familia ambayo haikuguswa na utawala wake, lakini haya aliyafanya kwa faida ya wengi. Ni bora wachache wapate shida including me lakini wengi wa Watanzania waneemeke. Hebu fikiri, kama JPM angemalizia miaka yake 4 tungekuwa wapi kimaendeleo ya infrastructure?
 
Maendeleo yana maana gani kama maisha yangu haya yasio na mbadala yanakuwa hatarini ?! .

Ma dictators hujificha kwenye uzalendo uchwara wa kutimiza kiu yao ya kuumiza wenza wao. Ndiyo tulioyashuhudia awamu hiyo yenye kumbukumbu mbaya kwa WaTz ya wasiojulikana
 
Ubinafsi unakuelemea
 
Sabaya si polisi...na hata angekua polisi haruhusiwi kufanya uhalifu Kama aliofanya...
 
Bila kusahau kubwa kuliko yote.

Aliweza kubagua watu kwa ukabila na udini.
Pia aliweza kupora hela za watu na kupeleka chatuuu
 
Watumishi wa umma kwa maana ya waajiriwa wa serikali hawatamsahau mwendazake kwa kuwachelewesha kupanda vyeo baadhi yao na kuipotezea nyongeza ya mshahara ya kila mwaka.
Si vyema kuhisi upuuzi. JPM atakumbukwa milele na Watanzania wote ikiwa pamoja na wewe
 
Mbona mnasahau mapema
vile vile huko CHATO:
1 Alijenga uwanja wa kimataifa bila bajeti kupitia bungeni.
2 2 Alipora tshs 1.5trillioni ambazo hadi leo hazijulikani zilikokwenda.
3 Alimtimua kazi CAG aliyehoji matumizi ya tshs 1.5 trillioni4
4 Alijenga hospitali ya rufaa kwao Chato
5 Alijenga tawi kubwa la CRDB ambalo ambapo ilihojiwa sijui atapata wapi wateja
6 Zilijengwa barabara nzuri sana Chato hadi taa za barabarani, kwa ajili ya kuongoza baiskeli
7 Alihakikisha Baraza la Mawaziri linakuwa la Kanda ya Ziwa.
8 Mkwe alijengewa daraja kubwa la Busisi
9 Alihakikisha fedha zote za kodi zinazopatikana fungu kubwa liende kanda ya ziwa
10 Alihamishia wanyama toka Serengeti kwenda kwao Chato-Busisi

Kwingineko:
a) Aliapa kuwatandika mashangazi wa Waziri Mkuu wake Majaliwa
b) Alimwambia mwananchi akitumia barabara zake aache mavi yake nyumbani
c) Alikuwa hawajui wala hakuwahi kuwasikia wasiojulikana
d) Hata yeye hajui nani alimteka Mo
.......
Yapo mengi ya kushangaza juu ya huyu jamaa, hakika tuta mmissi!
 
Nitamkumbuka kwa wizi! Rais wa kwanza Tanzania jambazi!
Sasa hivi nilikuwa naangalia Rewind katika Aljezeera your naonesha kuwa JPM alikomesha mauaji ya albino katika Tanzania.
 
Wewe hata avater yako inaonesha una abnormality. Subiri atoke nitakutafuta.
Tena uje na pimbi wako ndo utaijua hii nchi ikoje.
Huyo Sabaya kuna sehemu nchi hii asingweza kufanya ujinga aliofanya Hai/Arusha, angekuwa historia.
Soma historia ya Mwamwindi maana nyie vinyamkera mnafikiri tuko sawa.
 
Sasa hivi nilikuwa naangalia Rewind katika Aljezeera your naonesha kuwa JPM alikomesha mauaji ya albino katika Tanzania.
Mauaji ya albino yalikomeshwa enzi za Kikwete!
 
Jomba sasa sijui umeandika nini uozo Mtupu. ..hayo yote unayoyasema mbona sio mambo binafsi jomba...nilifikiri yanahusu familia yake kumbe yanahusu jamii au wananchi. Sasa unataka kutuambia hapa wale wananchi wooote wanaoishi maeneo ya kule hawana haki ya kupata uwanja wa ndege benki madaraja mifugo n.k utakuwa mwehu...au labda unadhani wananchi wanaoishi maeneo yale ni wenyeji wa Chato au mwanza pekee.unaumwa wewe. Kule wapo wakwele wahaya wazaramu wanyakyusa wangoni n.kk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…