Hayati Magufuli alikuwa kiongozi mbaya; aliua mifumo ya utawala bora akawadanganya Watanzania na vitu vidogo kama madaraja, stendi, ndege n.k

Kwamba watu hawamkubali Rais Samia kwa sababu hajengi madaraja na flyover?
Sivyo, Samia na wengine hawatakumbukwa kwa miundombinu. Hakuna kiongozi maarufu anayejumbukwa kwa madaraja, barabara, etc.
 
Kwa vipimo vyote magufuli alikuwa kiongozi mbaya ila kwakuwa Watanzania ni watu wenye upeo mdogo aliwa win mioyo yao.

Magufuli alihakikisha mifumo yote ya good governance anai paralyze au kuiuwa kabisa ili yeye ndio awe sheria alisahau kwamba binadamu hupita ila continuity ya taifa inategemea mifumo imara na sio mtu imara.

Watu huja na kupita ila mifumo hubaki kwa muda mrefu. Stability ya taifa hutegemea mifumo sio mtu.

Magufuli alihakikisha bunge linakuwa mfukoni mwake na ndio maana alidiriki kununua wapinzani na kuvuruga uchaguzi wa 2019 na 2020.

Kwakuwa watanzania wengi wana upeo na uelewa mdogo walimpongeza kwa vile waliona akiwajengea miundombinu mizuri na kwa bahati nzuri watanzania ni watu wa kuridhika haraka na kwa vitu vidogovidogo.
Wanasahau kwamba popote penye utawala bora au good governance kwa kizungu hayo yote ya barabara madaraja stendi masoko ya kisasa huja automatically.

Kwahiyo Magufuli alitumia ujinga wa watanzania kuwarubuni na wao qakarubunika. Magufuli alikuwa anajinasibu kuwa mtetezi wa wanyonge huku akigawa hela barabarani na kukaa chini ili wananchi wamshangae wampende kumbe ule ni utapeli wa kisiasa angeishi hata mwaka mmoja taifa lingeangamia.
TAFUTA WIMBO MWINGINE HUU UMETUCHOSHA. UMEFANYIWA SANA REMIX MPAKA UMECHUJA. LETA ISSUE NYINGINE.
 
Kwa hiyo wew ni mjanja? tunataka bandari yetu
 
Mleta mada asamehewe!

Ameanza kuchanganyikiwa baada ya kuozwa kwa warabu na huyu mama mwanademocrasia wake
 
Kama kukumbatia ufisadi na kuuza nchi ni good governance; ni bora tuendelee kuongozwa na Rais mbaya haiba ya Magufuli.
 
Vyeti feki na walamba asali, majizi wauza madawa ya kulevya, wafanyabiashara wa siasa wanajitafutia kipato kwa njia isiyohalali mnatusumbua kuanzisha uzi wa kumchafua Magufuli kumuonesha alikuwa mbaya embu tafuta kazi zingine
Bahati nzuri umetaja uovu mwingine wa magufuli ambao ni biashara ya siasa! Ndio raisi pekee tuliemuona wazi akitumia kodi za wananchi kununua wanasiasa malayamalaya. Shetani mkubwa yule Mungu fundi akamnyofoa kama unyoya.
 
Sivyo, Samia na wengine hawatakumbukwa kwa miundombinu. Hakuna kiongozi maarufu anayejumbukwa kwa madaraja, barabara, etc.
Mbona kwenye hili suala la bandari watu wamemkumbuka Magufuli kama yule dada Mange kimambi aliweka hadi clip za Magufuli, ndio tuseme wamekumbuka madaraja na barabara?
 
Bahati nzuri umetaja uovu mwingine wa magufuli ambao ni biashara ya siasa! Ndio raisi pekee tuliemuona wazi akitumia kodi za wananchi kununua wanasiasa malayamalaya. Shetani mkubwa yule Mungu fundi akamnyofoa kama unyoya.
Haya mambo sio kabisa Samia nae katumia sana pesa kwa Yanga kwa sababu ya issue ya Fei toto tu.
 
Mbona kwenye hili suala la bandari watu wamemkumbuka Magufuli kama yule dada Mange kimambi aliweka hadi clip za Magufuli, ndio tuseme wamekumbuka madaraja na barabara?
Magufuli anakumbukwa kwasababu amefariki juzi tu na sio vinginevyo.
 
Magufuli kwa ubabe wake alipaswa atutengenezee mfumo bora wa uongozi na hili ndiyo tatizo la nchi yetu, rais ni kama mungu mtu yaani nchi hii inaenda kulingana na rais atakavyo amka. Angalia Magufuli nayeye aliongoza nchi kama vile ataishi milele, alifanya bunge liwe la chama kimoja na matokeo yake ndiyo kama haya wamebaki kujibinua tu.
 
Kwa vipimo vyote magufuli alikuwa kiongozi mbaya ila kwakuwa Watanzania ni watu wenye upeo mdogo aliwa win mioyo yao.

Magufuli alihakikisha mifumo yote ya good governance anai paralyze au kuiuwa kabisa ili yeye ndio awe sheria alisahau kwamba binadamu hupita ila continuity ya taifa inategemea mifumo imara na sio mtu imara.

Watu huja na kupita ila mifumo hubaki kwa muda mrefu. Stability ya taifa hutegemea mifumo sio mtu.

Magufuli alihakikisha bunge linakuwa mfukoni mwake na ndio maana alidiriki kununua wapinzani na kuvuruga uchaguzi wa 2019 na 2020.

Kwakuwa watanzania wengi wana upeo na uelewa mdogo walimpongeza kwa vile waliona akiwajengea miundombinu mizuri na kwa bahati nzuri watanzania ni watu wa kuridhika haraka na kwa vitu vidogovidogo.
Wanasahau kwamba popote penye utawala bora au good governance kwa kizungu hayo yote ya barabara madaraja stendi masoko ya kisasa huja automatically.

Kwahiyo Magufuli alitumia ujinga wa watanzania kuwarubuni na wao qakarubunika. Magufuli alikuwa anajinasibu kuwa mtetezi wa wanyonge huku akigawa hela barabarani na kukaa chini ili wananchi wamshangae wampende kumbe ule ni utapeli wa kisiasa angeishi hata mwaka mmoja taifa lingeangamia.
Meza wembe mzee😎🤓
 
Kongole zako nyingi! Una akili zenye akili kubwa mkuu.
Magufuli alikuwa janga la Karne kwa nchi yetu!

Hata matatizo haya ya mkataba mbovu wa Bandari na Waarabu Koko hawa unatokana na Magufuli kuua mifumo ya utawala bora;

kwa sababu kama tungekua na mifumo imara kama bunge imara shughuli ilikuwa imeisha, Waarabu na makuadi wao wote Chali!

Mungu ni mwema sana aliyeamua kusitisha uhai wake mapema kulinusuru taifa!

Bwana apewe sifa zote Amen! [emoji119]
 
Ujinga mtupu!

Kataa ujinga wewe! Inawezekana kabisa kuondokana na uwendawazimu huo na ukawa mtu mzuri na mwelewa!

Sasa umeandika ili utusahaulishe jinsi nchi inavyouzwa? Pumbavu kabisa
 
Back
Top Bottom