Nadhani mjadala wa Magufuli ungefungwa tu. Ni kweli kwenye nchi ya kidemokrasia ya magharibi ule uongozi wa Magu ulikuwa haufai. Ila tukumbuke kwenye demokrasia hakuna maendeleo. Demokrasia ukiifuatisha inaweza fanya wapumbavu wengi waamue jambo la kipumbavu sana. Magu kwa upande fulani alikuwa sahihi kwasababu angesema asikilize sana watu angekwamishwa. Cha muhimu yale mazuri yake yaigwe, mabaya tumwachie yeye na muumba wake. Kuamka asubuhi na kuanza kupoteza muda kuandika uzi kumlaumu marehemu ni ujinga uliotukuka.