Hakuna madaraja, barabaraba wala lolote...ni maisha yenye changamoto kila upande. Tunakazana kuangali ubaya wea JPM kama vile sasa hivi tumenenepa kama ng'ombe wa maonnyeshoVitu Vikubwa zaidi Ya Madaraja,Uwanja Wa ndege,Stendi za Mabasi Ni Vipi?
Sivyo, Samia na wengine hawatakumbukwa kwa miundombinu. Hakuna kiongozi maarufu anayejumbukwa kwa madaraja, barabara, etc.Kwamba watu hawamkubali Rais Samia kwa sababu hajengi madaraja na flyover?
TAFUTA WIMBO MWINGINE HUU UMETUCHOSHA. UMEFANYIWA SANA REMIX MPAKA UMECHUJA. LETA ISSUE NYINGINE.Kwa vipimo vyote magufuli alikuwa kiongozi mbaya ila kwakuwa Watanzania ni watu wenye upeo mdogo aliwa win mioyo yao.
Magufuli alihakikisha mifumo yote ya good governance anai paralyze au kuiuwa kabisa ili yeye ndio awe sheria alisahau kwamba binadamu hupita ila continuity ya taifa inategemea mifumo imara na sio mtu imara.
Watu huja na kupita ila mifumo hubaki kwa muda mrefu. Stability ya taifa hutegemea mifumo sio mtu.
Magufuli alihakikisha bunge linakuwa mfukoni mwake na ndio maana alidiriki kununua wapinzani na kuvuruga uchaguzi wa 2019 na 2020.
Kwakuwa watanzania wengi wana upeo na uelewa mdogo walimpongeza kwa vile waliona akiwajengea miundombinu mizuri na kwa bahati nzuri watanzania ni watu wa kuridhika haraka na kwa vitu vidogovidogo.
Wanasahau kwamba popote penye utawala bora au good governance kwa kizungu hayo yote ya barabara madaraja stendi masoko ya kisasa huja automatically.
Kwahiyo Magufuli alitumia ujinga wa watanzania kuwarubuni na wao qakarubunika. Magufuli alikuwa anajinasibu kuwa mtetezi wa wanyonge huku akigawa hela barabarani na kukaa chini ili wananchi wamshangae wampende kumbe ule ni utapeli wa kisiasa angeishi hata mwaka mmoja taifa lingeangamia.
Asante sana kwa kwa kusema ukweli.Watanzania ni watu wenye upeo mdogo
Kwa hiyo wew ni mjanja? tunataka bandari yetuKwa vipimo vyote magufuli alikuwa kiongozi mbaya ila kwakuwa Watanzania ni watu wenye upeo mdogo aliwa win mioyo yao.
Magufuli alihakikisha mifumo yote ya good governance anai paralyze au kuiuwa kabisa ili yeye ndio awe sheria alisahau kwamba binadamu hupita ila continuity ya taifa inategemea mifumo imara na sio mtu imara.
Watu huja na kupita ila mifumo hubaki kwa muda mrefu. Stability ya taifa hutegemea mifumo sio mtu.
Magufuli alihakikisha bunge linakuwa mfukoni mwake na ndio maana alidiriki kununua wapinzani na kuvuruga uchaguzi wa 2019 na 2020.
Kwakuwa watanzania wengi wana upeo na uelewa mdogo walimpongeza kwa vile waliona akiwajengea miundombinu mizuri na kwa bahati nzuri watanzania ni watu wa kuridhika haraka na kwa vitu vidogovidogo.
Wanasahau kwamba popote penye utawala bora au good governance kwa kizungu hayo yote ya barabara madaraja stendi masoko ya kisasa huja automatically.
Kwahiyo Magufuli alitumia ujinga wa watanzania kuwarubuni na wao qakarubunika. Magufuli alikuwa anajinasibu kuwa mtetezi wa wanyonge huku akigawa hela barabarani na kukaa chini ili wananchi wamshangae wampende kumbe ule ni utapeli wa kisiasa angeishi hata mwaka mmoja taifa lingeangamia.
Bahati nzuri umetaja uovu mwingine wa magufuli ambao ni biashara ya siasa! Ndio raisi pekee tuliemuona wazi akitumia kodi za wananchi kununua wanasiasa malayamalaya. Shetani mkubwa yule Mungu fundi akamnyofoa kama unyoya.Vyeti feki na walamba asali, majizi wauza madawa ya kulevya, wafanyabiashara wa siasa wanajitafutia kipato kwa njia isiyohalali mnatusumbua kuanzisha uzi wa kumchafua Magufuli kumuonesha alikuwa mbaya embu tafuta kazi zingine
Mbona kwenye hili suala la bandari watu wamemkumbuka Magufuli kama yule dada Mange kimambi aliweka hadi clip za Magufuli, ndio tuseme wamekumbuka madaraja na barabara?Sivyo, Samia na wengine hawatakumbukwa kwa miundombinu. Hakuna kiongozi maarufu anayejumbukwa kwa madaraja, barabara, etc.
Unafanyaje iwe dawa kwenye hivyo vibalangaNi ndulele zile za kutibia vibaranga na vibaranga ni vishilingi a.k a mapunye
Haya mambo sio kabisa Samia nae katumia sana pesa kwa Yanga kwa sababu ya issue ya Fei toto tu.Bahati nzuri umetaja uovu mwingine wa magufuli ambao ni biashara ya siasa! Ndio raisi pekee tuliemuona wazi akitumia kodi za wananchi kununua wanasiasa malayamalaya. Shetani mkubwa yule Mungu fundi akamnyofoa kama unyoya.
Magufuli anakumbukwa kwasababu amefariki juzi tu na sio vinginevyo.Mbona kwenye hili suala la bandari watu wamemkumbuka Magufuli kama yule dada Mange kimambi aliweka hadi clip za Magufuli, ndio tuseme wamekumbuka madaraja na barabara?
Meza wembe mzee😎🤓Kwa vipimo vyote magufuli alikuwa kiongozi mbaya ila kwakuwa Watanzania ni watu wenye upeo mdogo aliwa win mioyo yao.
Magufuli alihakikisha mifumo yote ya good governance anai paralyze au kuiuwa kabisa ili yeye ndio awe sheria alisahau kwamba binadamu hupita ila continuity ya taifa inategemea mifumo imara na sio mtu imara.
Watu huja na kupita ila mifumo hubaki kwa muda mrefu. Stability ya taifa hutegemea mifumo sio mtu.
Magufuli alihakikisha bunge linakuwa mfukoni mwake na ndio maana alidiriki kununua wapinzani na kuvuruga uchaguzi wa 2019 na 2020.
Kwakuwa watanzania wengi wana upeo na uelewa mdogo walimpongeza kwa vile waliona akiwajengea miundombinu mizuri na kwa bahati nzuri watanzania ni watu wa kuridhika haraka na kwa vitu vidogovidogo.
Wanasahau kwamba popote penye utawala bora au good governance kwa kizungu hayo yote ya barabara madaraja stendi masoko ya kisasa huja automatically.
Kwahiyo Magufuli alitumia ujinga wa watanzania kuwarubuni na wao qakarubunika. Magufuli alikuwa anajinasibu kuwa mtetezi wa wanyonge huku akigawa hela barabarani na kukaa chini ili wananchi wamshangae wampende kumbe ule ni utapeli wa kisiasa angeishi hata mwaka mmoja taifa lingeangamia.
Kongole zako nyingi! Una akili zenye akili kubwa mkuu.Kwa vipimo vyote magufuli alikuwa kiongozi mbaya ila kwakuwa Watanzania ni watu wenye upeo mdogo aliwa win mioyo yao.