Hayati Magufuli alikuwa kiongozi mbaya; aliua mifumo ya utawala bora akawadanganya Watanzania na vitu vidogo kama madaraja, stendi, ndege n.k

Yani alikuwa kiongozi muovu kwa 100%
 
Jiwe aondolewe kwenye vitabu vya kumbukumbu kuwa aliwahi kuwa rais wa nchi hii.
 
Puuzi lingine yako mengi haya sikuhizi
 
Nadhani mjadala wa Magufuli ungefungwa tu. Ni kweli kwenye nchi ya kidemokrasia ya magharibi ule uongozi wa Magu ulikuwa haufai. Ila tukumbuke kwenye demokrasia hakuna maendeleo. Demokrasia ukiifuatisha inaweza fanya wapumbavu wengi waamue jambo la kipumbavu sana. Magu kwa upande fulani alikuwa sahihi kwasababu angesema asikilize sana watu angekwamishwa. Cha muhimu yale mazuri yake yaigwe, mabaya tumwachie yeye na muumba wake. Kuamka asubuhi na kuanza kupoteza muda kuandika uzi kumlaumu marehemu ni ujinga uliotukuka.
 
Kashaoza na mbwembwe zake. Lissu yupo hai Mungu wetu ni mkuu.
 
Kama kuni Ni za mti wa muembe, utafutwe mninga au mpingo...

Chochea[emoji91] chochea aaa
 

Umeongea ukweli hilo sio tatizo la Magufuli bali katiba yetu inayompa mtu mmoja madaraka makubwa na kinga kibao.Umechemka kusema miundo mbinu ni vitu vidogovidogo.
 
Sawa. Na Mwanza Mama S kasemaje?!
Acha chuki, miundo mbinu unayofaidika nayo nini YEYE. Kuonyesha UWAJIBIKAJI kazi inawezekana ni YEYE. Kuwanyoosha MAFISADI ni YEYE. NDEGE ni YEYE. Kukamata korodani za wale wezi, waporaji wa maliasili na rasilimali ni YEYE....
 
Heading yako.

Umetaja vitu vidogo ambavyo ni

Madaraja bila shaka na Flyin overs humo humo...

Stand kuu za Mabasi..

Ndege..

Naomba unitajie vitu vikubwa kulingana na upeo wako.
Kikubwa ushaambiwa ni good governance ambayo italeta hivyo vyote na zaidi
 
Vyeti feki na walamba asali, majizi wauza madawa ya kulevya, wafanyabiashara wa siasa wanajitafutia kipato kwa njia isiyohalali mnatusumbua kuanzisha uzi wa kumchafua Magufuli kumuonesha alikuwa mbaya embu tafuta kazi zingine.
Matusi ndo legacy alokuachieni yule shetani wa Chato
 
Hujui usemalo. Kamfuate umwambie haya mawazo yako
 
Ujinga gani huu. Mtu alidhibiti mifumo ifanye kwa uadilifu halafu unasema ndio aliua. Watakao kuunga mkono huu uzi wako ni wale wanataka legelege kwenye mifumo ila watumie uwezo wao kifedha kuepa mkono wa sheria. Tena la ajabu eti unadharau ujenzi wa miundombinu ma miradi kibao aliyoasisi ujenzi. Miundombinu kama barabara madaraja na miradi ya hospitali na kadhalika iliyokua na impact kubwa kwa kuleta hali bora ya maisha kwa umma ndio unaona sio mambo makubwa? Hakika kama wewe hukua mtumbuliwa kwa ufisadi basi ni cheti feki. Cheti feki ni wajinga wanaojiamini.
 
Uko sahihi kabisa kamanda, hrafu alikuwa mtu mbinafisi , nimebahatika kufika chato jamaa alikuwa anajipendelea sijapata kuona, amejenga stendi mbili ya 1 ni ya mabasi madogo hii kidogo ina angarau vihaic but ya pili ni stend ya mabas makubwa ya kiwango cha kimataifa but hakuna hata basi moja linaloingia mle ni uharibifu wa rasilimali
 
Magufuli si alishakufa jamani kwani atafufuka na kugombea tena? Mbona mnalichapa viboko kaburi la malehemu? Au mnahofu tunaweza kumpata Magufuli mwingine 2025? Malehemu hanangwi jamani.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Sasa Kiongozi unavyotukana watu ambaonhata huwajui ... Hayo madaraja yanakusaidia Nini kamam kichwa chakomkiko hivi🤭🤭🤭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…