Hayati Magufuli alikuwa na uelewa mdogo wa masuala ya dini, asilaumiwe

Hilo ni kweli hafu hajui hata zamani wagonjwa walitengwa na Kuna magonjwa walitakiwa kunawa mikono na miguu na kujitenga siku 14 nilivo Soma bible nilishangaa nakujua dunia Haina jipya. Kuvaa barakoa doesn't Mungu hayupo yupo ila katupa utashi tutawale mazingira loh
Mungu aliwapa sheria na kanuni za afya waisraeli (mambo ya walawi)

Aliwaambia wanawe kabla ya kula, kuoga kabla ya kuswali, wasile wala kuywa vitu kadhaaa.

Mwendazake alikuwa mjinga tu
 
Andiko Hilo nililiandika Mwaka Jana mwezi wa nane.

Pia yapo maandiko niliyoyaandika 2017

Kwa Sisi tunaojua kuchungulia tulijua pambano hili JPM angepoteza Kwa vyovyote vile
Wengi tulijua mapema na tuliandika humu kuwa huyu bwana hafiki mbali, sidhani kama wafuasi wake walikuwa wanatuelewa
 
Andiko Hilo nililiandika Mwaka Jana mwezi wa nane.

Pia yapo maandiko niliyoyaandika 2017

Kwa Sisi tunaojua kuchungulia tulijua pambano hili JPM angepoteza Kwa vyovyote vile
Ni kweli...

Tulijua kabisa, hatafika kokote na mwisho wake ungekuwa mbaya...

Kwa tabia aliyokuwa nayo Magufuli [ya u - much know, ya upotoshaji], angekuwa muuza kahawa au mchuuza karanga mitaani, angepiga vijisenti sana na angeishi miaka mingi tu...

Lakini tabia yake kuimwaga katikati ya watu milioni 60, ilikuwa hatari sana na ilikuwa lazima yeye mmoja awe fixed ili kuokoa wengi wasiangamie...
 
JPM mara nyingi sana alizungumzia kuhusu kifo, alijua kuwa moyo wake ni dhaifu na ni kama aliishi miaka mingi kulinganisha na afya yake ilivyokuwa. Hakuiogopa corona, aliishi na mateso makubwa kuliko huo ugonjwa ulioanza kutesa watu mwaka 2019.

Tukumbuke kuwa aliwahi kuwekewa sumu mwilini, hivyo mitihani mikubwa alikwisha kuizoea.

Mama Samia kuwaambia wale waandishi wa habari nyiee tokeni huko ni ishara nzuri ya mtu mwenye kuuhofia ugonjwa huu na ni vyema tukaishi kwa tahadhari, ni ugonjwa unaosambaa kwa njia ya hewa ni mbaya kuliko kitu chochote kile.
 
Andiko Hilo nililiandika Mwaka Jana mwezi wa nane.

Pia yapo maandiko niliyoyaandika 2017

Kwa Sisi tunaojua kuchungulia tulijua pambano hili JPM angepoteza Kwa vyovyote vile
Alikuwa na shida za kiafya ambazo ni mbaya kuliko corona. Alitujaza ujasiri. Pia kumbuka huu ugonjwa unatesa aina fulani ya watu. Uswahilini wanaendesha maisha yao kama hakuna kinachoendelea.

Ni ugonjwa unaotesa aina fulani ya watu wenye maisha laini laini. Mtu wa uswahilini anayeshinda siku nzima juani akisukuma mkokoteni, huwezi kumtisha na corona, atakucheka tu.

Wapo wengi wenye kuishi maisha ya kiugumu kwao corona inaingia leo mwilini na kesho imeshaondoka.
 
HAYATTI MAGUFULI ALIKUWA NA UELEWA MDOGO WA MASUALA YA DINI, ASILAUMIWE.

Na, Robert Heriel.

Leo kijiweni kuna mada Moto ilikuwa ikiendelea inayohusu masuala ya UVAAJI WA BARAKOO, baadhi ya wachangiaji wa mada walimtumia zaidi Hayatti Magufuli katika kutetea hoja zao kuwa hakuna ulazima wa kuvaa Barakoa, isipokuwa kumwomba Mungu pekee inatosha.

Vijana hawa niligundua wamepata elimu hiyo kutoka kwenye hotuba alizokuwa akizitoa Mzee wetu, Hayatti.

Hicho ndicho kimenifanya niandike andiko hili.

Kwanza nianze Kwa kusema kuwa, Hayatti Magufuli kutokana na Hotuba zake alizokuwa akizitoa na matamshi yake, nachelea kusema Hakuwa na Uelewa, Elimu, ujuzi na maarifa ya mambo ya kiroho, Magufuli Hakuwa anaujua vizuri dini licha ya kuwa alikuwa akipenda Sana kumtaja mwenyezi MUNGU.

Na mtu yeyote ambaye anaufahamu mdogo, ujuzi hafifu, Uelewa Finyu na Elimu duni ya Kidini na Kiroho basi lazima mtu huyo awe Mpotoshaji.

Hii ni kusema Hayatti alikuwa Mpotoshaji hasa WA masuala ya kiroho kwani Hakuwa na Uelewa mkubwa wa mambo hayo.

Sio ajabu ndio maana alikuwa akiwanyamba baadhi ya viongozi WA dini waliokuwa wakivaa Barakoa mpaka Kanisani. Tena alikuwa akiwadhihaki na kuwakejeli Jambo ambalo Kama angejua walau hata robo ya elimu ya Dini au mambo ya kiroho asingefanya hivyo.

Andiko hili limekusudia kuwaonya Wale wote waliokuwa wakimuamini Magufuli hasa kwenye kukataza matumizi ya Barakoa au Chanjo Kwa kutumia mgongo wa Kidini ati wamtegemee Mungu,
Acheni Fikra hizo, huyo uliyemuamini Hakuwa na elimu ya Kidini wala kiroho.

Mungu hategemewi na wajinga,
Mungu hategemewi na watu wasiomfahamu, wasiomjua, wasio na Uelewa naye, wasio na elimu yake, wasio na maarifa naye, Mungu hawezi kutegemewa na watu wa namna hiyo.

Neno la Mungu kasema; MJUE SANA MUNGU ILI UWE NA AMANI

Pia linaongeza kuwa Watu wangu wanaangamia Kwa kukosa Maarifa.

Kisha unaeleza pia, Ya kaisari mpe kaisari; Ya Mungu mpe Mungu.

Magufuli anaweza kuwa Bora kwenye Maeneo mengi tuu ambayo nilishawahi kuyaeleza lakini haimuondolei udhaifu wake wa kutokujua Elimu ya Kidini na Kiroho ambao huo ni udhaifu.

Hivyo Wale mnaofuata mafundisho yake na falsafa yake ya kutokuvaa Barakoa Kwa kutumia VIGEZO vya kiimani, VIGEZO vya Kidini mkae mkijua Mzee alikuwa anaelimu duni ya Kidini na Uelewa hafifu.

Hivyo msije mkaangamia Kwa kukosa Maarifa.

Pia nitoe onyo Kwa viongozi wengine wakisiasa, Kama huna elimu ya Jambo Fulani msipende kujifanya mnazielezea elimu msizozijua vyema, mnaathiri jamii.

Robert Herieli
Taikon wa Fasihi
0693322300
Kwa sasa Morogoro
Mkuu usiwe na fikra za kijinga hivi kichwani mwako....dini is nothing but a crime to society as it killed more people than any war that you know. Only a fool ndiyo anaukuza dini, Mungu hana dini asikudanganye mtu. Wajinga waliwao, kumbuka hii methali itakusaidia maishani.
 
Nakumbuka wakati wa JK alitukanwa sana kuwa anawabana Wakirsto kila siku walaka wa Kanisa daaa. Rais Samia, leo anashughulikia masuala yao baaada ya Magufuli, kufanya yake lakini baadae ataanza kutukanwa.
 
Wapi nimesema Mungu ana dini au umechanganyikiwa?

Dini ni elimu inayofundisha habari za Mungu,
Dini ni njia Kama ilivyo tafsiri yake.
Njia ya kumtafuta Mungu.

Huwezi mjua Mungu pasipo Dini.
Na huwezi ona uweza wa Mungu pasipo Imani.

Wewe inaonekana ni Wale wanaodandia mambo pasipo upeo wala Elimu, ambapo ni ishara ya Upumbavu.

Kila kitu ni elimu, ukijua hivyo hutaongea upumbavu.

Matumizi ya kitu yanaweza kuwa Mazuri au Mabaya.
 
Kila kitu kinaweza kuwa Crime Kama kikitumiwa kinyume na utaratibu.

Wajinga waliwao ni wewe usiyejua kuwa Duniani unaweza ukakitumia kitu kizuri Kwa njia mbaya, na kitu kibaya Kwa njia nzuri.

Hata hiyo methali, ni nzuri Ila umeitumia vibaya

Kila kitu Inategemea ukakitumia vipi.

Ndivyo hata kwenye Dini.

Dini ni elimu nzuri lakini haimaanishi haiwezi tumika vibaya.

Mungu ni cheo, na jina lenye utukufu lakini haimaanishi jina hilo au cheo hiko watu hawawezi kikitumiwa vibaya.
 
Angalia mpuuzi huyu....do you know kwamba you don't need bloody religion ili kumjuwa Mungu?
 
Nakumbuka wakati wa JK alitukanwa sana kuwa anawabana Wakirsto kila siku walaka wa Kanisa daaa. Rais Samia, leo anashughulikia masuala yao baaada ya Magufuli, kufanya yake lakini baadae ataanza kutukanwa.

Uongozi lazima ulaumiwe Hilo lazima viongozi walijue.

Ila Inategemea unalaumiwa kwenye nini.

Shida inaanzia hutaki kulaumiwa wala kukosolewa, alafu unaua na kujeruhi watu Kama sio kuwaandama na kuwapa kesi za uongo
 
Kila kitu kinaweza kuwa Crime Kama kikitumiwa kinyume na utaratibu.

Wajinga waliwao ni wewe usiyejua kuwa Duniani unaweza ukakitumia kitu kizuri Kwa njia mbaya, na kitu kibaya Kwa njia nzuri.

Hata hiyo methali, ni nzuri Ila umeitumia vibaya

Kila kitu Inategemea ukakitumia vipi.

Ndivyo hata kwenye Dini.

Dini ni elimu nzuri lakini haimaanishi haiwezi tumika vibaya.

Mungu ni cheo, na jina lenye utukufu lakini haimaanishi jina hilo au cheo hiko watu hawawezi kikitumiwa vibaya.
Religion is nothing more than organized crime. Nobody needs religion ili kumjuwa Mungu. Mungu and religion are two different things.
 
Huwezi Mjua Mungu pasipo Dini,
Wewe ndio mpuuzi ambaye hujui Jambo dogo Kama Hilo.
Who the hell lied to you kuwa huwezi mjuwa Mungu mpaka uwe na dini? Wacha kukariri ujinga dogo wewe, amka utakuja kupigwa vidole na wachungaji wako huku ukiwa bado unasali.
 
HAYATTI MAGUFULI ALIKUWA NA UELEWA MDOGO WA MASUALA YA DINI, ASILAUMIWE.

Na, Robert Heriel.

Leo kijiweni kuna mada Moto ilikuwa ikiendelea inayohusu masuala ya UVAAJI WA BARAKOO, baadhi ya wachangiaji wa mada walimtumia zaidi Hayatti Magufuli katika kutetea hoja zao kuwa hakuna ulazima wa kuvaa Barakoa, isipokuwa kumwomba Mungu pekee inatosha.

Vijana hawa niligundua wamepata elimu hiyo kutoka kwenye hotuba alizokuwa akizitoa Mzee wetu, Hayatti.

Hicho ndicho kimenifanya niandike andiko hili.

Kwanza nianze Kwa kusema kuwa, Hayatti Magufuli kutokana na Hotuba zake alizokuwa akizitoa na matamshi yake, nachelea kusema Hakuwa na Uelewa, Elimu, ujuzi na maarifa ya mambo ya kiroho, Magufuli Hakuwa anaujua vizuri dini licha ya kuwa alikuwa akipenda Sana kumtaja mwenyezi MUNGU.

Na mtu yeyote ambaye anaufahamu mdogo, ujuzi hafifu, Uelewa Finyu na Elimu duni ya Kidini na Kiroho basi lazima mtu huyo awe Mpotoshaji.

Hii ni kusema Hayatti alikuwa Mpotoshaji hasa WA masuala ya kiroho kwani Hakuwa na Uelewa mkubwa wa mambo hayo.

Sio ajabu ndio maana alikuwa akiwanyamba baadhi ya viongozi WA dini waliokuwa wakivaa Barakoa mpaka Kanisani. Tena alikuwa akiwadhihaki na kuwakejeli Jambo ambalo Kama angejua walau hata robo ya elimu ya Dini au mambo ya kiroho asingefanya hivyo.

Andiko hili limekusudia kuwaonya Wale wote waliokuwa wakimuamini Magufuli hasa kwenye kukataza matumizi ya Barakoa au Chanjo Kwa kutumia mgongo wa Kidini ati wamtegemee Mungu,
Acheni Fikra hizo, huyo uliyemuamini Hakuwa na elimu ya Kidini wala kiroho.

Mungu hategemewi na wajinga,
Mungu hategemewi na watu wasiomfahamu, wasiomjua, wasio na Uelewa naye, wasio na elimu yake, wasio na maarifa naye, Mungu hawezi kutegemewa na watu wa namna hiyo.

Neno la Mungu kasema; MJUE SANA MUNGU ILI UWE NA AMANI

Pia linaongeza kuwa Watu wangu wanaangamia Kwa kukosa Maarifa.

Kisha unaeleza pia, Ya kaisari mpe kaisari; Ya Mungu mpe Mungu.

Magufuli anaweza kuwa Bora kwenye Maeneo mengi tuu ambayo nilishawahi kuyaeleza lakini haimuondolei udhaifu wake wa kutokujua Elimu ya Kidini na Kiroho ambao huo ni udhaifu.

Hivyo Wale mnaofuata mafundisho yake na falsafa yake ya kutokuvaa Barakoa Kwa kutumia VIGEZO vya kiimani, VIGEZO vya Kidini mkae mkijua Mzee alikuwa anaelimu duni ya Kidini na Uelewa hafifu.

Hivyo msije mkaangamia Kwa kukosa Maarifa.

Pia nitoe onyo Kwa viongozi wengine wakisiasa, Kama huna elimu ya Jambo Fulani msipende kujifanya mnazielezea elimu msizozijua vyema, mnaathiri jamii.

Robert Herieli
Taikon wa Fasihi
0693322300
Kwa sasa Morogoro
Ungeandika alipokuwa hai ungepata misuko suko sana. Ingawa umeongea ukweli kulingana na mimi
 
nimeamini itachukua miaka 50 ya kizazi hiki kumtaja magufuli.iwe kwa wema au mabaya.
 
Religion is nothing more than organized crime. Nobody needs religion ili kumjuwa Mungu. Mungu and religion are two different things.

Who the hell lied to you kuwa huwezi mjuwa Mungu mpaka uwe na dini? Wacha kukariri ujinga dogo wewe, amka utakuja kupigwa vidole na wachungaji wako huku ukiwa bado unasali.

😃😃😃😃

Unafikiri kuandika kingereza ndio kuonyesha upeo wako??

Kila Jambo linahitaji Elimu.
Ukishalijua Jambo hili huwezi andiko mambo uliyoandika labda uwe Mpumbavu.

Najua ID yako ni Fake ndio maana unaujasiri wa kuwa Mpumbavu na mpuuzi.

Ila ungetumia jina halisi wala usingeandika Upumbavu Kama huo.

Hivyo najua namjibu mtu mwenye ujasiri wa kuwa Mpumbavu kutokana na ID fake
 
Back
Top Bottom