Mungu aliwapa sheria na kanuni za afya waisraeli (mambo ya walawi)Hilo ni kweli hafu hajui hata zamani wagonjwa walitengwa na Kuna magonjwa walitakiwa kunawa mikono na miguu na kujitenga siku 14 nilivo Soma bible nilishangaa nakujua dunia Haina jipya. Kuvaa barakoa doesn't Mungu hayupo yupo ila katupa utashi tutawale mazingira loh
Wengi tulijua mapema na tuliandika humu kuwa huyu bwana hafiki mbali, sidhani kama wafuasi wake walikuwa wanatuelewaAndiko Hilo nililiandika Mwaka Jana mwezi wa nane.
Pia yapo maandiko niliyoyaandika 2017
Kwa Sisi tunaojua kuchungulia tulijua pambano hili JPM angepoteza Kwa vyovyote vile
Ni kweli...Andiko Hilo nililiandika Mwaka Jana mwezi wa nane.
Pia yapo maandiko niliyoyaandika 2017
Kwa Sisi tunaojua kuchungulia tulijua pambano hili JPM angepoteza Kwa vyovyote vile
Alikuwa na shida za kiafya ambazo ni mbaya kuliko corona. Alitujaza ujasiri. Pia kumbuka huu ugonjwa unatesa aina fulani ya watu. Uswahilini wanaendesha maisha yao kama hakuna kinachoendelea.Andiko Hilo nililiandika Mwaka Jana mwezi wa nane.
Pia yapo maandiko niliyoyaandika 2017
Kwa Sisi tunaojua kuchungulia tulijua pambano hili JPM angepoteza Kwa vyovyote vile
Mkuu usiwe na fikra za kijinga hivi kichwani mwako....dini is nothing but a crime to society as it killed more people than any war that you know. Only a fool ndiyo anaukuza dini, Mungu hana dini asikudanganye mtu. Wajinga waliwao, kumbuka hii methali itakusaidia maishani.HAYATTI MAGUFULI ALIKUWA NA UELEWA MDOGO WA MASUALA YA DINI, ASILAUMIWE.
Na, Robert Heriel.
Leo kijiweni kuna mada Moto ilikuwa ikiendelea inayohusu masuala ya UVAAJI WA BARAKOO, baadhi ya wachangiaji wa mada walimtumia zaidi Hayatti Magufuli katika kutetea hoja zao kuwa hakuna ulazima wa kuvaa Barakoa, isipokuwa kumwomba Mungu pekee inatosha.
Vijana hawa niligundua wamepata elimu hiyo kutoka kwenye hotuba alizokuwa akizitoa Mzee wetu, Hayatti.
Hicho ndicho kimenifanya niandike andiko hili.
Kwanza nianze Kwa kusema kuwa, Hayatti Magufuli kutokana na Hotuba zake alizokuwa akizitoa na matamshi yake, nachelea kusema Hakuwa na Uelewa, Elimu, ujuzi na maarifa ya mambo ya kiroho, Magufuli Hakuwa anaujua vizuri dini licha ya kuwa alikuwa akipenda Sana kumtaja mwenyezi MUNGU.
Na mtu yeyote ambaye anaufahamu mdogo, ujuzi hafifu, Uelewa Finyu na Elimu duni ya Kidini na Kiroho basi lazima mtu huyo awe Mpotoshaji.
Hii ni kusema Hayatti alikuwa Mpotoshaji hasa WA masuala ya kiroho kwani Hakuwa na Uelewa mkubwa wa mambo hayo.
Sio ajabu ndio maana alikuwa akiwanyamba baadhi ya viongozi WA dini waliokuwa wakivaa Barakoa mpaka Kanisani. Tena alikuwa akiwadhihaki na kuwakejeli Jambo ambalo Kama angejua walau hata robo ya elimu ya Dini au mambo ya kiroho asingefanya hivyo.
Andiko hili limekusudia kuwaonya Wale wote waliokuwa wakimuamini Magufuli hasa kwenye kukataza matumizi ya Barakoa au Chanjo Kwa kutumia mgongo wa Kidini ati wamtegemee Mungu,
Acheni Fikra hizo, huyo uliyemuamini Hakuwa na elimu ya Kidini wala kiroho.
Mungu hategemewi na wajinga,
Mungu hategemewi na watu wasiomfahamu, wasiomjua, wasio na Uelewa naye, wasio na elimu yake, wasio na maarifa naye, Mungu hawezi kutegemewa na watu wa namna hiyo.
Neno la Mungu kasema; MJUE SANA MUNGU ILI UWE NA AMANI
Pia linaongeza kuwa Watu wangu wanaangamia Kwa kukosa Maarifa.
Kisha unaeleza pia, Ya kaisari mpe kaisari; Ya Mungu mpe Mungu.
Magufuli anaweza kuwa Bora kwenye Maeneo mengi tuu ambayo nilishawahi kuyaeleza lakini haimuondolei udhaifu wake wa kutokujua Elimu ya Kidini na Kiroho ambao huo ni udhaifu.
Hivyo Wale mnaofuata mafundisho yake na falsafa yake ya kutokuvaa Barakoa Kwa kutumia VIGEZO vya kiimani, VIGEZO vya Kidini mkae mkijua Mzee alikuwa anaelimu duni ya Kidini na Uelewa hafifu.
Hivyo msije mkaangamia Kwa kukosa Maarifa.
Pia nitoe onyo Kwa viongozi wengine wakisiasa, Kama huna elimu ya Jambo Fulani msipende kujifanya mnazielezea elimu msizozijua vyema, mnaathiri jamii.
Robert Herieli
Taikon wa Fasihi
0693322300
Kwa sasa Morogoro
Mkuu usiwe na fikra za kijinga hivi kichwani mwako....dini is nothing but a crime to society as it killed more people than any war that you know. Only a fool ndiyo anaukuza dini, Mungu hana dini asikudanganye mtu. Wajinga waliwao, kumbuka hii methali itakusaidia maishani.

Angalia mpuuzi huyu....do you know kwamba you don't need bloody religion ili kumjuwa Mungu?Wapi nimesema Mungu ana dini au umechanganyikiwa?
Dini ni elimu inayofundisha habari za Mungu,
Dini ni njia Kama ilivyo tafsiri yake.
Njia ya kumtafuta Mungu.
Huwezi mjua Mungu pasipo Dini.
Na huwezi ona uweza wa Mungu pasipo Imani.
Wewe inaonekana ni Wale wanaodandia mambo pasipo upeo wala Elimu, ambapo ni ishara ya Upumbavu.
Kila kitu ni elimu, ukijua hivyo hutaongea upumbavu.
Matumizi ya kitu yanaweza kuwa Mazuri au Mabaya.
Nakumbuka wakati wa JK alitukanwa sana kuwa anawabana Wakirsto kila siku walaka wa Kanisa daaa. Rais Samia, leo anashughulikia masuala yao baaada ya Magufuli, kufanya yake lakini baadae ataanza kutukanwa.
Religion is nothing more than organized crime. Nobody needs religion ili kumjuwa Mungu. Mungu and religion are two different things.Kila kitu kinaweza kuwa Crime Kama kikitumiwa kinyume na utaratibu.
Wajinga waliwao ni wewe usiyejua kuwa Duniani unaweza ukakitumia kitu kizuri Kwa njia mbaya, na kitu kibaya Kwa njia nzuri.
Hata hiyo methali, ni nzuri Ila umeitumia vibaya
Kila kitu Inategemea ukakitumia vipi.
Ndivyo hata kwenye Dini.
Dini ni elimu nzuri lakini haimaanishi haiwezi tumika vibaya.
Mungu ni cheo, na jina lenye utukufu lakini haimaanishi jina hilo au cheo hiko watu hawawezi kikitumiwa vibaya.
Angalia mpuuzi huyu....do you know kwamba you don't need bloody religion ili kumjuwa Mungu?
Religion is nothing more than organized crime. Nobody needs religion ili kumjuwa Mungu. Mungu and religion are two different things.
Who the hell lied to you kuwa huwezi mjuwa Mungu mpaka uwe na dini? Wacha kukariri ujinga dogo wewe, amka utakuja kupigwa vidole na wachungaji wako huku ukiwa bado unasali.Huwezi Mjua Mungu pasipo Dini,
Wewe ndio mpuuzi ambaye hujui Jambo dogo Kama Hilo.
Ungeandika alipokuwa hai ungepata misuko suko sana. Ingawa umeongea ukweli kulingana na mimiHAYATTI MAGUFULI ALIKUWA NA UELEWA MDOGO WA MASUALA YA DINI, ASILAUMIWE.
Na, Robert Heriel.
Leo kijiweni kuna mada Moto ilikuwa ikiendelea inayohusu masuala ya UVAAJI WA BARAKOO, baadhi ya wachangiaji wa mada walimtumia zaidi Hayatti Magufuli katika kutetea hoja zao kuwa hakuna ulazima wa kuvaa Barakoa, isipokuwa kumwomba Mungu pekee inatosha.
Vijana hawa niligundua wamepata elimu hiyo kutoka kwenye hotuba alizokuwa akizitoa Mzee wetu, Hayatti.
Hicho ndicho kimenifanya niandike andiko hili.
Kwanza nianze Kwa kusema kuwa, Hayatti Magufuli kutokana na Hotuba zake alizokuwa akizitoa na matamshi yake, nachelea kusema Hakuwa na Uelewa, Elimu, ujuzi na maarifa ya mambo ya kiroho, Magufuli Hakuwa anaujua vizuri dini licha ya kuwa alikuwa akipenda Sana kumtaja mwenyezi MUNGU.
Na mtu yeyote ambaye anaufahamu mdogo, ujuzi hafifu, Uelewa Finyu na Elimu duni ya Kidini na Kiroho basi lazima mtu huyo awe Mpotoshaji.
Hii ni kusema Hayatti alikuwa Mpotoshaji hasa WA masuala ya kiroho kwani Hakuwa na Uelewa mkubwa wa mambo hayo.
Sio ajabu ndio maana alikuwa akiwanyamba baadhi ya viongozi WA dini waliokuwa wakivaa Barakoa mpaka Kanisani. Tena alikuwa akiwadhihaki na kuwakejeli Jambo ambalo Kama angejua walau hata robo ya elimu ya Dini au mambo ya kiroho asingefanya hivyo.
Andiko hili limekusudia kuwaonya Wale wote waliokuwa wakimuamini Magufuli hasa kwenye kukataza matumizi ya Barakoa au Chanjo Kwa kutumia mgongo wa Kidini ati wamtegemee Mungu,
Acheni Fikra hizo, huyo uliyemuamini Hakuwa na elimu ya Kidini wala kiroho.
Mungu hategemewi na wajinga,
Mungu hategemewi na watu wasiomfahamu, wasiomjua, wasio na Uelewa naye, wasio na elimu yake, wasio na maarifa naye, Mungu hawezi kutegemewa na watu wa namna hiyo.
Neno la Mungu kasema; MJUE SANA MUNGU ILI UWE NA AMANI
Pia linaongeza kuwa Watu wangu wanaangamia Kwa kukosa Maarifa.
Kisha unaeleza pia, Ya kaisari mpe kaisari; Ya Mungu mpe Mungu.
Magufuli anaweza kuwa Bora kwenye Maeneo mengi tuu ambayo nilishawahi kuyaeleza lakini haimuondolei udhaifu wake wa kutokujua Elimu ya Kidini na Kiroho ambao huo ni udhaifu.
Hivyo Wale mnaofuata mafundisho yake na falsafa yake ya kutokuvaa Barakoa Kwa kutumia VIGEZO vya kiimani, VIGEZO vya Kidini mkae mkijua Mzee alikuwa anaelimu duni ya Kidini na Uelewa hafifu.
Hivyo msije mkaangamia Kwa kukosa Maarifa.
Pia nitoe onyo Kwa viongozi wengine wakisiasa, Kama huna elimu ya Jambo Fulani msipende kujifanya mnazielezea elimu msizozijua vyema, mnaathiri jamii.
Robert Herieli
Taikon wa Fasihi
0693322300
Kwa sasa Morogoro
na wanaomshambulia wana nini???Ukiangalia kwa umakini wote wanaomtetea jiwe utaona kama Wana mental disorder, wengine huita mtindio wa ubongo yani hawapo sawa
Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Religion is nothing more than organized crime. Nobody needs religion ili kumjuwa Mungu. Mungu and religion are two different things.
Who the hell lied to you kuwa huwezi mjuwa Mungu mpaka uwe na dini? Wacha kukariri ujinga dogo wewe, amka utakuja kupigwa vidole na wachungaji wako huku ukiwa bado unasali.