Mwaikibaki
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 3,004
- 3,695
Sema JPM alikuwa kiongozi bora sana kwa mstakabari wa maendeleo ya Taifa la Tanzania: Rest in eternal peace 🙏🏽HAYATTI MAGUFULI ALIKUWA NA UELEWA MDOGO WA MASUALA YA DINI, ASILAUMIWE.
Na, Robert Heriel.
Leo kijiweni kuna mada Moto ilikuwa ikiendelea inayohusu masuala ya UVAAJI WA BARAKOA, baadhi ya wachangiaji wa mada walimtumia zaidi Hayati Magufuli katika kutetea hoja zao kuwa hakuna ulazima wa kuvaa Barakoa, isipokuwa kumwomba Mungu pekee inatosha.
Vijana hawa niligundua wamepata elimu hiyo kutoka kwenye hotuba alizokuwa akizitoa Mzee wetu, Hayatti.
Hicho ndicho kimenifanya niandike andiko hili.
Kwanza nianze Kwa kusema kuwa, Hayati Magufuli kutokana na Hotuba zake alizokuwa akizitoa na matamshi yake, nachelea kusema Hakuwa na Uelewa, Elimu, ujuzi na maarifa ya mambo ya kiroho, Magufuli Hakuwa anaujua vizuri dini licha ya kuwa alikuwa akipenda Sana kumtaja mwenyezi MUNGU.
Na mtu yeyote ambaye anaufahamu mdogo, ujuzi hafifu, Uelewa Finyu na Elimu duni ya Kidini na Kiroho basi lazima mtu huyo awe Mpotoshaji.
Hii ni kusema Hayati alikuwa Mpotoshaji hasa wa masuala ya kiroho kwani Hakuwa na Uelewa mkubwa wa mambo hayo.
Sio ajabu ndio maana alikuwa akiwanyamba baadhi ya viongozi WA dini waliokuwa wakivaa Barakoa mpaka Kanisani. Tena alikuwa akiwadhihaki na kuwakejeli Jambo ambalo Kama angejua walau hata robo ya elimu ya Dini au mambo ya kiroho asingefanya hivyo.
Andiko hili limekusudia kuwaonya Wale wote waliokuwa wakimuamini Magufuli hasa kwenye kukataza matumizi ya Barakoa au Chanjo Kwa kutumia mgongo wa Kidini ati wamtegemee Mungu. Acheni Fikra hizo, huyo uliyemuamini Hakuwa na elimu ya Kidini wala kiroho.
Mungu hategemewi na wajinga, Mungu hategemewi na watu wasiomfahamu, wasiomjua, wasio na Uelewa naye, wasio na elimu yake, wasio na maarifa naye, Mungu hawezi kutegemewa na watu wa namna hiyo.
Neno la Mungu kasema; MJUE SANA MUNGU ILI UWE NA AMANI
Pia linaongeza kuwa Watu wangu wanaangamia Kwa kukosa Maarifa.
Kisha unaeleza pia, ya kaisari mpe kaisari; ya Mungu mpe Mungu.
Magufuli anaweza kuwa Bora kwenye Maeneo mengi tuu ambayo nilishawahi kuyaeleza lakini haimuondolei udhaifu wake wa kutokujua Elimu ya Kidini na Kiroho ambao huo ni udhaifu.
Hivyo Wale mnaofuata mafundisho yake na falsafa yake ya kutokuvaa Barakoa Kwa kutumia VIGEZO vya kiimani, VIGEZO vya Kidini mkae mkijua Mzee alikuwa anaelimu duni ya Kidini na Uelewa hafifu.
Hivyo msije mkaangamia Kwa kukosa Maarifa.
Pia nitoe onyo Kwa viongozi wengine wakisiasa, Kama huna elimu ya Jambo Fulani msipende kujifanya mnazielezea elimu msizozijua vyema, mnaathiri jamii.
Robert Herieli
Taikon wa Fasihi
0693322300
Kwa sasa Morogoro
Labda kwenye kufatilia mambo, kwenye uchumi alifeliSema JPM alikuwa kiongozi bora sana kwa mstakabari wa maendeleo ya Taifa la Tanzania: Rest in eternal peace 🙏🏽
Wengine hatujashiriki ktk mauaji ya watu wengine, hivyo hatufanani kweli wala kudhulumu watu haki au mali zao.PUMBAVU...nyie mnaomjua Mungu zaid yake mmetenda makuu gan ambayo jamii itawakumbuk??? unapomjaji mtu hakikisha wew ni mwema zaid yake,, waafrika roho mbaya na chuki znawafanya msisonge mbele, mtu keshajifia bt still mnamuandama, hiyo kuonesha roho za chuki ndan yenu,...niwaambien ukwel japo unauma, YULE mzee alkuwa na iman kubwa zaid ya mchungaji ama kiongoz wa dini yeyote hapa nchin, ukibisha juu yako, bt ukwel uko waz kweny mazito ya mwaka jana jamaa aliwatia moyo mpaka hao manabii wenu uchwara, walpata nguvu ya kuishinda hofu na kupata nguvu mpya ambayo mpk leo mnaitumia kumuhukum mzee wawatu.....Foolishness kabsa kwa mtoa thread
Hata wale wanaompinga JPM nao pia wanamatatizo ya akili mental disorder.. Yaani badala ya kupambania maisha yao wanagombana na mtu alie kufa.. Halafuwanajiona wanshinda eti kwasababu hajibu mashambulizi... 🙄. R. I. P JPM 🙏Ukiangalia kwa umakini wote wanaomtetea jiwe utaona kama Wana mental disorder, wengine huita mtindio wa ubongo yani hawapo sawa
Media itakujenga au itakubomoa mazima! Media ilimpa umaarufu sana Magu miongoni mwao walalahoi lakini ikamharibia sana heshima kwa watu wenye akili timamu! Amekufa akiwa amekata tamaa kabisa ndio maana alianza ngonjera za "kuna siku mtanikumbuka", eti kwa mazuri akijua alitenda maovu mengi sana kwa wananchi!Sio kosa Lao,
Ukitumia media kuaminisha watu Jambo Fulani Kwa miaka mitano mfululizo watu huamini.
Media ni hatari Mkuu
Brilliant! Asante sanaMarehemu alitumia muda wake mwingi kuwapumbaza watu. Na wajinga aliwaokota hasa. Aliwadanganya watu:
1) kuhusu makinikia. Kwa mwenye uelewa wa sekta hii, alichokuwa akiongea marehemu ilikiwa ni uwongo na ujinga wa hali ya juu
2) kuhusu gas. Eti imeuzwa kwa wachina, na wajinga wakaamini
3) kuhusu uchumi, eti tupo vizuri, wakati kwenye vigezo vyote tulianguka wakati wa utawala wake
4) kuhusu matajiri, eti wote ni mafisadi na majizi
5) kuhusu uwekezaji kwenye LNG, hakueleza jinsi alivyoharibu mpaka wawekezaji kuamua kuondoka na kwenda kuwekeza Mozambique. Aliwatumia maofisa mbalimbali kutaka warudi, wakamgomea, na kumweleza kuwa watafikiria kurudi baada ya miaka mitano
6) kuhusu Barrick, hakueleza ukweli jinsi alivyorudi na kuwapigia magoti, na kuwakubalia matakwa yao ikiwemo kutumia mahakama za kimataifa badala ya mahakama za ndani alizokuwa amezinajisi
7) kuhusu masuala ya kiimani, hakuwa na uelewa hata wa ABC. Hakujua jinsi Mungu alivyomwambia Nuhu atengeneze safina. Je, Nuhu asingetengeneza safina, badala yake asubirie muujiza wa Mungu, angepona? Wala hakujiuliza ni kwa nini Bwana wetu Yesu alivyoambiwa na shetani ajirushe toka juu, naye akagoma. Hakujiuliza, kwa nini Waisrael ili kujikomboa, Mungu aliwaambia waondoke usiku, watembee na fimbo zao mikononi. Kama wangeamua kukaa pale pale kwa Wamisri, wangepona? Hakujua kuwa Mungu ametuumba tufanye kazi ili kujiokoa, ili kupata mahitaji yetu ya kila siku, naye huweka baraka na miujiza katika zile jitihada zetu.
Mwanangu toa japo ushahidi na siyo tuhuma ambazo zinapwaya. As for me your dad, I will go wherever facts lead me.Marehemu alitumia muda wake mwingi kuwapumbaza watu. Na wajinga aliwaokota hasa. Aliwadanganya watu:
1) kuhusu makinikia. Kwa mwenye uelewa wa sekta hii, alichokuwa akiongea marehemu ilikiwa ni uwongo na ujinga wa hali ya juu
2) kuhusu gas. Eti imeuzwa kwa wachina, na wajinga wakaamini
3) kuhusu uchumi, eti tupo vizuri, wakati kwenye vigezo vyote tulianguka wakati wa utawala wake
4) kuhusu matajiri, eti wote ni mafisadi na majizi
5) kuhusu uwekezaji kwenye LNG, hakueleza jinsi alivyoharibu mpaka wawekezaji kuamua kuondoka na kwenda kuwekeza Mozambique. Aliwatumia maofisa mbalimbali kutaka warudi, wakamgomea, na kumweleza kuwa watafikiria kurudi baada ya miaka mitano
6) kuhusu Barrick, hakueleza ukweli jinsi alivyorudi na kuwapigia magoti, na kuwakubalia matakwa yao ikiwemo kutumia mahakama za kimataifa badala ya mahakama za ndani alizokuwa amezinajisi
7) kuhusu masuala ya kiimani, hakuwa na uelewa hata wa ABC. Hakujua jinsi Mungu alivyomwambia Nuhu atengeneze safina. Je, Nuhu asingetengeneza safina, badala yake asubirie muujiza wa Mungu, angepona? Wala hakujiuliza ni kwa nini Bwana wetu Yesu alivyoambiwa na shetani ajirushe toka juu, naye akagoma. Hakujiuliza, kwa nini Waisrael ili kujikomboa, Mungu aliwaambia waondoke usiku, watembee na fimbo zao mikononi. Kama wangeamua kukaa pale pale kwa Wamisri, wangepona? Hakujua kuwa Mungu ametuumba tufanye kazi ili kujiokoa, ili kupata mahitaji yetu ya kila siku, naye huweka baraka na miujiza katika zile jitihada zetu.
Magumashi alikuwa poyoyo asiyejua kitu, sio dini tu, hata siasa, Uongozi na ustaaraabu kwake vilimpita kushotoHAYATTI MAGUFULI ALIKUWA NA UELEWA MDOGO WA MASUALA YA DINI, ASILAUMIWE.
Na, Robert Heriel.
Leo kijiweni kuna mada Moto ilikuwa ikiendelea inayohusu masuala ya UVAAJI WA BARAKOA, baadhi ya wachangiaji wa mada walimtumia zaidi Hayati Magufuli katika kutetea hoja zao kuwa hakuna ulazima wa kuvaa Barakoa, isipokuwa kumwomba Mungu pekee inatosha.
Vijana hawa niligundua wamepata elimu hiyo kutoka kwenye hotuba alizokuwa akizitoa Mzee wetu, Hayatti.
Hicho ndicho kimenifanya niandike andiko hili.
Kwanza nianze Kwa kusema kuwa, Hayati Magufuli kutokana na Hotuba zake alizokuwa akizitoa na matamshi yake, nachelea kusema Hakuwa na Uelewa, Elimu, ujuzi na maarifa ya mambo ya kiroho, Magufuli Hakuwa anaujua vizuri dini licha ya kuwa alikuwa akipenda Sana kumtaja mwenyezi MUNGU.
Na mtu yeyote ambaye anaufahamu mdogo, ujuzi hafifu, Uelewa Finyu na Elimu duni ya Kidini na Kiroho basi lazima mtu huyo awe Mpotoshaji.
Hii ni kusema Hayati alikuwa Mpotoshaji hasa wa masuala ya kiroho kwani Hakuwa na Uelewa mkubwa wa mambo hayo.
Sio ajabu ndio maana alikuwa akiwanyamba baadhi ya viongozi WA dini waliokuwa wakivaa Barakoa mpaka Kanisani. Tena alikuwa akiwadhihaki na kuwakejeli Jambo ambalo Kama angejua walau hata robo ya elimu ya Dini au mambo ya kiroho asingefanya hivyo.
Andiko hili limekusudia kuwaonya Wale wote waliokuwa wakimuamini Magufuli hasa kwenye kukataza matumizi ya Barakoa au Chanjo Kwa kutumia mgongo wa Kidini ati wamtegemee Mungu. Acheni Fikra hizo, huyo uliyemuamini Hakuwa na elimu ya Kidini wala kiroho.
Mungu hategemewi na wajinga, Mungu hategemewi na watu wasiomfahamu, wasiomjua, wasio na Uelewa naye, wasio na elimu yake, wasio na maarifa naye, Mungu hawezi kutegemewa na watu wa namna hiyo.
Neno la Mungu kasema; MJUE SANA MUNGU ILI UWE NA AMANI
Pia linaongeza kuwa Watu wangu wanaangamia Kwa kukosa Maarifa.
Kisha unaeleza pia, ya kaisari mpe kaisari; ya Mungu mpe Mungu.
Magufuli anaweza kuwa Bora kwenye Maeneo mengi tuu ambayo nilishawahi kuyaeleza lakini haimuondolei udhaifu wake wa kutokujua Elimu ya Kidini na Kiroho ambao huo ni udhaifu.
Hivyo Wale mnaofuata mafundisho yake na falsafa yake ya kutokuvaa Barakoa Kwa kutumia VIGEZO vya kiimani, VIGEZO vya Kidini mkae mkijua Mzee alikuwa anaelimu duni ya Kidini na Uelewa hafifu.
Hivyo msije mkaangamia Kwa kukosa Maarifa.
Pia nitoe onyo Kwa viongozi wengine wakisiasa, Kama huna elimu ya Jambo Fulani msipende kujifanya mnazielezea elimu msizozijua vyema, mnaathiri jamii.
Robert Herieli
Taikon wa Fasihi
0693322300
Kwa sasa Morogoro
Kisha tuambie kwanini wanaovasa barakoa pia wanakufa?
Huu Uzi umeandikwa na mtoto aliyezaliwa kwenye mbio za mwenge au alipatika kwenye vilabu vya pombe za kienyejiHAYATTI MAGUFULI ALIKUWA NA UELEWA MDOGO WA MASUALA YA DINI, ASILAUMIWE.

Umeweka namba ili uolewe humu unatafuta bwana humuHAYATTI MAGUFULI ALIKUWA NA UELEWA MDOGO WA MASUALA YA DINI, ASILAUMIWE.

Magumashi alikuwa poyoyo asiyejua kitu, sio dini tu, hata siasa, Uongozi na ustaaraabu kwake vilimpita kushoto
Kweli kabisa, mazuri yake ni mengi sana. Kama kumshughulikia Tundu Lissu pale Dodoma nk.Ana mazuri yake piah Mkuu