Mkuu usiwe na fikra za kijinga hivi kichwani mwako....dini is nothing but a crime to society as it killed more people than any war that you know. Only a fool ndiyo anaukuza dini, Mungu hana dini asikudanganye mtu. Wajinga waliwao, kumbuka hii methali itakusaidia maishani.
KWANZA, hujaelewa mantiki ya mleta mada. Na huelewi hata maana ya dini...!
PILI, Hivi unadhani kwanini mtu mwingine asidhani kuwa wewe ndiye uliye na fikra za kijinga...?
TATU, (May be) ungeeleza kwanza maana ya "DINI" na kisha ukaja na hitimisho hili, (may be) ungenishawishi (mimi) niamini kuwa huyu mleta hoja ana fikra za kijinga kweli na za kwako wewe ni za ki - werevu zaidi...
Lakini, as it is, I surely believe, you are the one who is ignorant, not him/her...!!
NNE, let me challenge you kwa kukupa quotation hii kutoka kwenye Biblia toleo BHN - Biblia Habari Njema kama mtume Yakobo anavyoeleza maana ya dini..
YAKOBO 1: 27
Anasema:
"......Dini safi na isiyo na hitilafu mbele ya Mungu ni hii: Kuwasaidia yatima na wajane katika shida zao , kujilinda mwenyewe usichafuliwe na ulimwengu huu...."
And you said this about religion (dini);
"....Dini is nothing but a crime to the society as it killed many people than any war you know...."
Dini ipo na ni bakuri au sahani tu ya kubebea imani ya mtu. Sharti la dini hiyo ili ilete manufaa kwa mtu mwenyewe na jamii kwa ujumla, ni lazima iwe safi na isiyo na hitilafu yoyote kwa Mungu muumba...
DINI isipokuwa safi na kubeba hitilafu mbele za Mungu, basi moja kwa moja inageuka kuwa the weapon of causing crimes and it can kill a person him/herself and other people surrounding him/her...
Kwa hiyo ni utashi na uamuzi wa mtu binafsi kuifanya DINI YAKE kuwa chombo cha AMANI na kuleta UPENDO kwake na kwa wengine au akifanye chombo cha MAOVU kimtese yeye na wengine....
Kwa mantiki hii, Magufuli hakuwa anaelewa maana na dhana nzima ya dini matokeo yake akawa mpotoshaji akifikiri anajua. Na dini as I said above ni very delicate issue. Ukicheza vibaya nayo, inageuka kuwa mkuki na moto wa kukuchoma mwemyewe na hata kusababisha wengine waungue na moto huo...
Msome vizuri Yakobo hapo juu, utaelewa nina maana gani..