Yaani katika kitu nakichukia ni wapinzani wa tanzania ambao lengo lao ni uroho wa madaraka kipindi Cha magufuli alipokua anaitengeneza nchi Kuna mijitu ya upinzani ikiongozwa na lissu ikawa inampinga yaani hata akifanya kitu kizuri Cha aina Gani inampinga mwisho wa siku akasema wasinitanie ngoja niwaoneshe mfano na kweli aliwakomesha wengine walipotea mazima wengine wamekua vilema sababu walikua sio wazalendo wakweli wanaponda maendeleo ya jiwe nilikubali sana uongozi wa magufuli ulikua hauna utani na mtu yeyote anaeleta masihara na serikali ikiwa unafanya mambo ya kimaendeleo kama sio kifo mtu kama magufuli angetakiwa atuongoze milele