Hayati Magufuli alikuwa sahihi kwenye kupinga demokrasia hii tunayohubiri kwa ushahidi kinachotokea sasa kwenye siasa zetu

Bora uwe mshamba wa kimataifa ila uyakomeshe majitu yasiotaka maendeleo na nchi Kila siku kuponda yaani ni kama yenyewe yangekua raisi yangeibadilisha tanzania kua USA Kwa mwaka 1
Matanzania hayajui yakitakacho; na kujaribu kuyapambania ni kupoteza muda tu. Acha yanyoroshwe labda siku moja akili zitayakaa sawa. Kwa sasa mkazo ni Simba na Yanga; na umbea. Hata aje kiongozi wa aina gani yaani menyewe yapo yapo tu 🚮

 
Siyo Mwamba! Alikuwa Mwoga wa Sanduku la kura.
Angekuwa Mwamba asingevuruga uchaguzi wa 2019/2020!
 
Kiko wapi sasa , upo na matatizo mahala , nchi ya watu m1 unataka watu wote wawe na mtazamo mmoja?
 
Halafu naye akapotea moja Kwa moja. Safi Sana. Jino Kwa jino.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…