Hayati Magufuli alilewa madaraka, akaagiza Polisi Tanzania wamkamate Edward Lowassa awekwe Korokoroni

Nchi ilipitia kipindi kigumu sana,hiyo ni historia imeshaandikwa,wale wanaotetea jina hilo lisisemwe na kusingizia kuwa watu wenye vyeti feki ndiyo wanamsema vibaya Magufuri je hawaoni matendo aliyokuwa anatenda jpm?
 
Nchi za watu kamili timamu kichwani hakuna raia ambae hashikiki, sasa huyo Lowassa kama alikosea kwanini taratibu zisifuatwe?

Kwahiyo wewe unaona kwamba kuna watu wana haki ya kushitakiwa na kuna wengine hawapaswi kushitakiwa? Mtu mweusi ni silaha
Alikosea nini??
 
Yaan ,hapa JF mtu unajaza gazeti kumbe unaandika upupu mtupu.Jaribuni kujitafakari na muandike vitu vya maana vinavyoweza kutusaidia.Siyo hiz hadithi za kipumbavu zisizo na miguu wala kuchwa.Hamuoni mnapoteza muda sana.
Hiyo ni historia si hadithi.
 
Imagine miaka miwili jamaa hayupo lakini hawanywi maji bila kutaja jina lake.

JPM hakika ulikuwa chuma. Bwana litoa, bwana alitwaa jina lake libarikiwe.
 
Unaposoma mambo ya akina Mkwawa,Mangi,Isike,Mirambo,Nyerere,Mandela,Sokoine,Idd Amin ina maana ni kupoteza muda?
Asa we uoni kuna kasoro,
Unaokota uchafu jalalani , unaingiza ndani

Wakati huo huo , kunae anaye jifunza kitu kitakacho kuwa na faida kwa sasa na baadae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…