Hayati Magufuli alilewa madaraka, akaagiza Polisi Tanzania wamkamate Edward Lowassa awekwe Korokoroni

Hujui kitu.
"Kutakuwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano.Rais atakuwa Mkuu wa Nchi,Kiongozi wa Serikali na Amiri Jeshi Mkuu."
(Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977 ibara ya 33.)

"Waziri Mkuu atakuwa na madaraka juu ya udhibiti,usimamiaji,utekelezaji wa siku hata siku wa kazi na shughuli za Serikali ya Jamhuri ya Muungano.Waziri Mkuu atakuwa Kiongozi wa Shughuli za Serikali Bungeni."(Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977 ibara ya 52.Pia soma ibara ya 51 na 53)
 
Nchi za watu kamili timamu kichwani hakuna raia ambae hashikiki, sasa huyo Lowassa kama alikosea kwanini taratibu zisifuatwe?

Kwahiyo wewe unaona kwamba kuna watu wana haki ya kushitakiwa na kuna wengine hawapaswi kushitakiwa? Mtu mweusi ni silaha
Vipi alishtakiwa kufanya kosa lipi?
Vipi Rais anashitakiwa hapo kwenu Tz?
 
Wanasoma watu wenye akili timamu. Historia inatusaidia kuweka mazingira ya kuzuia mambo mabaya yaliyokwishatokea au kutengeneza mazingira yanayosaidia mambo ya kale yaliyo mema kuendelea kumea na kustawi.

Utawala wa marehemu ulionesha ufa katika mifumo ya utawala wa nchi yetu. Inawezekana vipi, mtu mmoja awe anaua watu, anatesa, anawapoteza, anapora pesa za watu, anafabya upendeleo, na mambo mengi ya hovyo, na hakuna wa kumwajibisha? Ni dhahiri utawala mbaya wa marehemu Magufuli umetoa nafasi ya Taifa kujitafakari.
Heshima kwako mkuu. Kweli CCM ni msiba mkuu wa taifa hili. Ni zaidi ya janga (catastrophe); ni msiba haswa (real National tragedy)!

Bado kichwa kinaniwanga hasa ilikuwaje mtu wa namna ile akawa Rais wa JMT? A unhinged foreigner! Bila shaka JK alimfahamu fika lakini fitna zake kwa Lowassa zilimpofusha akaishia kujisifu tu kuwa katuletea “chuma kinachotema cheche!”

Nasikia hata mama yake Jiwe aliduwaa alipopata taarifa ya mwanawe “Joseph” kuukwaa uRais. Akauliza “hivi kweli wanamfahamu?”. Pale Ujenzi penyewe wengi including kina Mfugale walishangaa sana mwanzoni kabla ya kushtukia “zali” na kudandia “gari la mshahara” chapchap!
 
Wewe inaelekea husali wala kuswali. Watu huko wanamkemea shetani na watenda maovu kila wiki. Kilicho kiovu ni lazima kitajwe kila siku ili watu wasiusahau uovu, na wajitenge nao.

Marehemu anatajwa mara chache sasa , atatajwa zaidi, na uovu wake utawekwa wazi na kwenye nyaraka mbalimbali miaka kuanzia kumi ijayo.

Dictator Stallin ambaye maziko yake yalivunja rekodi ya Duniani kwa kuhudhuriwa na watu wengi, na kusababisha vifo vya zaidi ya watu 1,000 nchini Urusi, alisifiwa sana wakati wa uhai wake na mara baada ya kufa kwake. Miaka 13 baadaye, baada ya taarifa yake ya uovu kuwekwa wazi, hata maiti yake iliyokuwa imehifadhiwa pembeni ya mwili wa Lennin, iliondolewa na kwenda kutupwa kusikojulikana.
Usikfananishe JPM na vitu vya ajabu. JPM was a God loving man.
 
"Akatokea Mzilankende mmoja fulani kutokea huko kijiji cha Lubambangwe akaleta tafrani kwenye Nchi.Mzilankende na upara wake tarehe 16/03/2023 muda kama huu alikuwa anapumulia pua moja"
😆😆😆😆😂😂Daaah sio poa
 
Kama tunavyojua, Hayati Magufuli, pamoja na kuwa rais wa Tanzania, hajawahi kuwa Balozi hata wa Nyumba kumi. Ndani ya Miaka Miwili akalewa madaraka.

Kumbuka Lowassa ni Mwanajeshi wa zamani na aliyewahi kupigana wakati wa vita kati ya Uganda na Tanzania mwaka 1978/79. Kaitumikia Nchi hadi uzee wake.

View attachment 2553514
Edward Lowassa​

Lowasa ndiye alifanikisha upatikanaji wa fedha za kujenga chuo kikuu cha Dodoma kilichoanzishwa 2007 pia alianzisha Shule za Kata. Miradi ya Maji kutoka Ziwa Victoria hadi Shinyanga nk.

Akatokea Mzilankende mmoja fulani kutokea huko kijiji cha Lubambangwe akaleta tafrani kwenye Nchi.

Mungu akamjalia nafasi ya juu ambayo kabila zote za watu, mataifa na watu wa kila lugha walimhofu na kumwogopa. Wale ambao mzilankende huyu alitaka kuwaua, aliwaua; wale aliotaka kuwaacha hai, aliwaacha hai; wale aliotaka kuwapandisha cheo, aliwapandisha; aliotaka kuwashusha, aliwashusha. Lakini moyo wake ulipokuwa na majivuno na kuwa mgumu kwa kiburi, aliondolewa kutoka kwa kiti chake cha ufalme na kuvuliwa utukufu wake.

Kwamba Lowassa hatakiwi kusimama Geita kusalimiana na watu. Akachukuliwa na Polisi akapelekwa korokoroni Geita. Magufuli akawapongeza Polisi kwa kazi nzuri.

Hivi Magufuli alikuwa anajiona nani? Hakuwa na Tofauti na Belshaza.
Belshaza ni nani?
Belshaza ambaye alirithi ufalme toka kwa mfalme Nebukadneza. Siku moja Mfalme Belshaza alifanya karamu kubwa kwa ajili ya maelfu ya wakuu wake na akanywa mvinyo pamoja nao. Wakati Belshaza alipokuwa akinywa mvinyo wake, aliamuru viletwe vile vikombe vya dhahabu na fedha ambavyo Nebukadneza baba yake alikuwa amevichukua kutoka hekaluni huko Yerusalemu, ili mfalme na wakuu wake, wake zake na masuria wake waweze kuvinywea. Kwa hiyo wakavileta vile vikombe vya dhahabu ambavyo vilikuwa vimechukuliwa kutoka Hekalu la Mungu huko Yerusalemu, naye mfalme na wakuu wake, wake zake na masuria wake wakavinywea.

Ghafula vidole vya mkono wa mwanadamu vilitokea na kuandika juu ya ukuta, karibu na kinara cha taa ndani ya jumba la mfalme. Mfalme akatazama kitanga kilivyokuwa kikiandika.

Mfalme akawaita wasihiri, wanajimu na waganga waletwe, naye akawaambia hawa wenye hekima wa Babeli, “Yeyote asomaye maandishi haya.

Ndipo Danieli akamjibu mfalme, “Waweza kubaki na zawadi zako mwenyewe na kumpa mtu mwingine zawadi zako. Hata hivyo, nitasoma maandishi kwa mfalme na kumwambia maana yake.

“Haya ndiyo maneno yaliyoandikwa mene, mene, tekeli na peresi

“Mene: Mungu amezihesabu siku za utawala wako na kuukomesha.

Tekeli: Wewe umepimwa katika mizani na umeonekana umepungua.

Peresi: Ufalme wako umegawanywa na kupewa Wamedi na Waajemi.”

Ndipo kwa amri ya Belshaza, Danieli akavikwa nguo za zambarau na mkufu wa dhahabu shingoni, tena akatangazwa kuwa mtawala wa tatu katika ufalme.

Usiku ule ule, Belshaza mfalme wa Wakaldayo akauawa.

View attachment 2553528
Yule mpumbavu wa chatle alikuwa wa hovyo na visasi kama Hutus! Mjinga sana yule! Matajiri mtaishi kama mashetani! Ushamba TU!
 
Chuki mbaya sana, eti Lowasa ndiyo katafuta hela za kujenga chuo kikuu Dodoma na kuanzisha shule za kata!
Sijui alizitafutia wapi?? Sasa hizo sijui anataka nani amjibu? Kwa sababu mhisika ni marehemu! Chuki huua taratibu!!
 
Kama tunavyojua, Hayati Magufuli, pamoja na kuwa rais wa Tanzania, hajawahi kuwa Balozi hata wa Nyumba kumi. Ndani ya Miaka Miwili akalewa madaraka.

Kumbuka Lowassa ni Mwanajeshi wa zamani na aliyewahi kupigana wakati wa vita kati ya Uganda na Tanzania mwaka 1978/79. Kaitumikia Nchi hadi uzee wake.

View attachment 2553514
Edward Lowassa​

Lowasa ndiye alifanikisha upatikanaji wa fedha za kujenga chuo kikuu cha Dodoma kilichoanzishwa 2007 pia alianzisha Shule za Kata. Miradi ya Maji kutoka Ziwa Victoria hadi Shinyanga nk.

Akatokea Mzilankende mmoja fulani kutokea huko kijiji cha Lubambangwe akaleta tafrani kwenye Nchi.

Mungu akamjalia nafasi ya juu ambayo kabila zote za watu, mataifa na watu wa kila lugha walimhofu na kumwogopa. Wale ambao mzilankende huyu alitaka kuwaua, aliwaua; wale aliotaka kuwaacha hai, aliwaacha hai; wale aliotaka kuwapandisha cheo, aliwapandisha; aliotaka kuwashusha, aliwashusha. Lakini moyo wake ulipokuwa na majivuno na kuwa mgumu kwa kiburi, aliondolewa kutoka kwa kiti chake cha ufalme na kuvuliwa utukufu wake.

Kwamba Lowassa hatakiwi kusimama Geita kusalimiana na watu. Akachukuliwa na Polisi akapelekwa korokoroni Geita. Magufuli akawapongeza Polisi kwa kazi nzuri.

Hivi Magufuli alikuwa anajiona nani? Hakuwa na Tofauti na Belshaza.
Belshaza ni nani?
Belshaza ambaye alirithi ufalme toka kwa mfalme Nebukadneza. Siku moja Mfalme Belshaza alifanya karamu kubwa kwa ajili ya maelfu ya wakuu wake na akanywa mvinyo pamoja nao. Wakati Belshaza alipokuwa akinywa mvinyo wake, aliamuru viletwe vile vikombe vya dhahabu na fedha ambavyo Nebukadneza baba yake alikuwa amevichukua kutoka hekaluni huko Yerusalemu, ili mfalme na wakuu wake, wake zake na masuria wake waweze kuvinywea. Kwa hiyo wakavileta vile vikombe vya dhahabu ambavyo vilikuwa vimechukuliwa kutoka Hekalu la Mungu huko Yerusalemu, naye mfalme na wakuu wake, wake zake na masuria wake wakavinywea.

Ghafula vidole vya mkono wa mwanadamu vilitokea na kuandika juu ya ukuta, karibu na kinara cha taa ndani ya jumba la mfalme. Mfalme akatazama kitanga kilivyokuwa kikiandika.

Mfalme akawaita wasihiri, wanajimu na waganga waletwe, naye akawaambia hawa wenye hekima wa Babeli, “Yeyote asomaye maandishi haya.

Ndipo Danieli akamjibu mfalme, “Waweza kubaki na zawadi zako mwenyewe na kumpa mtu mwingine zawadi zako. Hata hivyo, nitasoma maandishi kwa mfalme na kumwambia maana yake.

Ndipo Danieli akamjibu mfalme, “Waweza kubaki na zawadi zako mwenyewe na kumpa mtu mwingine zawadi zako. Hata hivyo, nitasoma maandishi kwa mfalme na kumwambia maana yake.

“Haya ndiyo maneno yaliyoandikwa mene, mene, tekeli na peresi

“Mene: Mungu amezihesabu siku za utawala wako na kuukomesha.

Tekeli: Wewe umepimwa katika mizani na umeonekana umepungua.

Peresi: Ufalme wako umegawanywa na kupewa Wamedi na Waajemi.”

Ndipo kwa amri ya Belshaza, Danieli akavikwa nguo za zambarau na mkufu wa dhahabu shingoni, tena akatangazwa kuwa mtawala wa tatu katika ufalme.

Usiku ule ule, Belshaza mfalme wa Wakaldayo akauawa.

View attachment 2553528

Japo nilikuwa simkubali sana dhalimu magu, lakini alichomfanyia Lowassa niliona ni sawa, maana wakati Lowassa ni mbunge wa Monduli, alikuwa anaagiza wapinzani watekwe, kupigwa na kudhalilishwa. Kilichomtokea Lowassa ilikuwa ni karma kufanya kazi yake.
 
Pitia huu uzi tangu mwanzo kuanzia kwa mleta mada hadi wachangiaji utangundua Magufuli aliwaachia watu mimba nyingi sana, ndio zinawafanya wawe na hasira nae kiasi hiki
We kama alikutia mimba shauri yako. Umeshajifungua?
 
Back
Top Bottom