Hayati Magufuli alilewa madaraka, akaagiza Polisi Tanzania wamkamate Edward Lowassa awekwe Korokoroni

Watu wanajadili mambo ya maana wewe unaleta utani wa kijinga. Huko kwenye mambo ya mimba, bila shaka ndiyo akili zako zinakoishia.
Mwingine huyu!

Utajifungua tu
 
Kwahiyo mawaziri wakuu wengine hawakuwa na mawazo wakati wa uongozi wao? Mbona miaka yote tulisikia sifa zikiwaendea marais wao tu hadi wakati wa Magufuli ilikuwa hivyo na hata sasa sifa anamwagiwa rais Samia,vipi kwa Kikwete iwe tofauti! Acheni roho za kwanini kwa sababu ya chuki binafsi.
 
Hembu tukimaliza hapa tumjadili na huyu Rais wetu aliyepo madarakani ambaye kazi imemshinda.
 
Lowasa ndie aliyeleta wazo la shule za kata apewe tuzo kwa hili limesaidia wengi kupata elimu.
Mzee wa elimu elimu
 
Nchi ilipitia kipindi kigumu sana,hiyo ni historia imeshaandikwa,wale wanaotetea jina hilo lisisemwe na kusingizia kuwa watu wenye vyeti feki ndiyo wanamsema vibaya Magufuri je hawaoni matendo aliyokuwa anatenda jpm?
Utetezi pekee unaoweza kuutoa kumtetea marehemu Magufuli kwa uovu mkubwa kwenye uongozi wake, ni ule ukweli kuwa aliwahi kuugua ugonjwa wa akili. Mara moja alitibiwa Milembe Hospital, na mara moja alitibiwa Ujerumani.

Baba zake wadogo ambao wapo Bukoba mpaka leo, wote wana matatizo ya magonjwa ya akili. Baba yake mzazi naye anatajwa kuwa kuna wakati alikuwa haonekani kuwa ni mtimamu wa akili. Na alikuwa mtu katili aliyetumia utajiri wake wa ng'ombe kuwafunga watu aliodhania wamemkosea. Na hiyo ndiyo sababu ya wenyeji hawa wasukuma kule maeneo ya Nzera, kumpa mgeni huyo mhamiaji toka mkoani Kigoma (na Kigoma alihamia tokea Burundi) jina la Magufuli, wakitohoa neno kufuli, kumaanisha mtu anayewafunga.
 
Nani anasoma huo utopolo,
Sema unapojisomea wewe
Wanasoma watu wenye akili timamu. Historia inatusaidia kuweka mazingira ya kuzuia mambo mabaya yaliyokwishatokea au kutengeneza mazingira yanayosaidia mambo ya kale yaliyo mema kuendelea kumea na kustawi.

Utawala wa marehemu ulionesha ufa katika mifumo ya utawala wa nchi yetu. Inawezekana vipi, mtu mmoja awe anaua watu, anatesa, anawapoteza, anapora pesa za watu, anafabya upendeleo, na mambo mengi ya hovyo, na hakuna wa kumwajibisha? Ni dhahiri utawala mbaya wa marehemu Magufuli umetoa nafasi ya Taifa kujitafakari.
 
Mwenye serikali yake ni rais naye ndio mtendaji wa kila jambo ndio maana hata leo tunaimba kumsifia rais acha ubwege wa kuniuliza maswali ya kijinga.
Mtendaji mkuu wa Serikali ni Waziri Mkuu ndiyo maana tangu awamu ya Kwanza hadi awamu ya Nne walikuwa wanaheshimika sana,lakini alipokuja dictator magufuri akapora madaraka ya Waziri Mkuu na mawaziri mbalimbali wa wizara za serikali akawa ndiyo mtendaji mkuu nao wakageuka kuwa wasifiaji na walamba viatu.
 
Asante kwa ufafanuzi mzuri
 
Imagine miaka miwili jamaa hayupo lakini hawanywi maji bila kutaja jina lake.

JPM hakika ulikuwa chuma. Bwana litoa, bwana alitwaa jina lake libarikiwe.
Wewe inaelekea husali wala kuswali. Watu huko wanamkemea shetani na watenda maovu kila wiki. Kilicho kiovu ni lazima kitajwe kila siku ili watu wasiusahau uovu, na wajitenge nao.

Marehemu anatajwa mara chache sasa , atatajwa zaidi, na uovu wake utawekwa wazi na kwenye nyaraka mbalimbali miaka kuanzia kumi ijayo.

Dictator Stallin ambaye maziko yake yalivunja rekodi ya Duniani kwa kuhudhuriwa na watu wengi, na kusababisha vifo vya zaidi ya watu 1,000 nchini Urusi, alisifiwa sana wakati wa uhai wake na mara baada ya kufa kwake. Miaka 13 baadaye, baada ya taarifa yake ya uovu kuwekwa wazi, hata maiti yake iliyokuwa imehifadhiwa pembeni ya mwili wa Lennin, iliondolewa na kwenda kutupwa kusikojulikana.
 
Nchi yetu ni jamhuri hivyo rais anakuwa rais mtendaji na ndiye muamuzi wa mwisho katika mipango ya serikali ndio maana mambo yakienda vizuri anasifiwa yeye na yakienda kombo lawama zote kwake,nchi yetu sio kama Uingereza au Israel ambapo waziri mkuu ndiye muamuzi maana yeye ndiye anayeunda serikali.
 
Lowassa aliweka lini na wapi huko korokoni?amri ilitolewa lini na wapi? Nimesoma bandiko bt kichwa cha bahari na maudhui havina mahusiano...JF ya sasa inapitia kipindi kigumu sana.
 
Rais ni mkuu wa nchi na Waziri Mkuu ni mtendaji mkuu.
 
Tanzania bado tuna wajinga wengi sana,Yaan mtu mzima na akili zake timamu unaweza kumdhihaki marehem.R.I.P Jembe
Hata jambazi huwa shujaa kwa familia yake. Mtu hata awe mwovu kiasi gani, kuna baadhi watamwona ni shujaa wao. Licha ya Magufuli kuwa muuaji, katili, mporaji wa mali za watu na nchi, lakini wapo waliokuwa wanafaidika na uovu wake. Kwao hao, Magufuli ni shujaa ambaye hatapatikana kwenye yoyote. Lakini kwa watu wema na wapenda haki, Magufuli atabakia kwenye historia ya viongozi waovu Duniani.
 
Mwingine huyu!

Utajifungua tu
Kama una ndugu wa karibu, waombe wakuwahishie hospitali. You are at a wrong place. Wahi sehemu ikufaayo kwa sasa, unaweza kupata unafuu, japo ukweli magonjwa ya akili, siyo rahisi kupona kwa 100%. Na hii imedhihirika hata kwa Magufuli. Kuna wakati alikuwa ahueni, kuna wakati alionekana dhahiri kuwa alikuwa na tatizo kichwani.
 
Utanyooka tu
 
Bado tu mnapambana na marehemu?,kichwa umebebea kamasi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…