Corticopontine
JF-Expert Member
- Sep 20, 2019
- 666
- 1,277
Usiefunzwa na ***** atafunzwa na walimwengu...[emoji23][emoji23]Moral of the story?
Ukishazungumza 1.5 trilioni tu, basi unakosa credibility katika arguments zako zote bali unajitangaza kama mfuata mkumbo wa maneno ya Zitto tu.Jpm mwenye alikuwa mla rushwa wa kutupwa sem alivifunga vyombo vya habari vianaripoti tu. Unakumbuka 1.5 trilion?
Endeleeni kukumbukanaNape Moses Nnauye anamchukia Magufuli kwa sababu Magufuli alikuwa anamtaka Nape aishi maisha ya uhalisia aishi maisha ya kutokula rushwa atosheke na mshahara wake...
Wewe basi sema ziko wapi?Ikiashazungumza 1.5 trilioni tu, basi unakosa credibility katika arguments zako zote bali unajitangaza kama mfuata mkumbo wa maneno ya Zitto tu.
Je!Jpm mwenye alikuwa mla rushwa wa kutupwa sem alivifunga vyombo vya habari vianaripoti tu. Unakumbuka 1.5 trilion?
Unasumbuliwa na uzushi tu. Kila anaytamka hapa 1.5 trilioni huwa ni mzushi.Let ripoti ya CAG yeyote inyoonyesha kuwa Magufuli alipoteza 1.5 trilioni, hata Assada ambaye anamchukia sana Magufuli hawajawahi kusema kuwa Magufuli alipoteza au alijinufaiasha 1.5 triliono za umma. Ripoti zote za Cag ziko hapaWewe basi sema ziko wapi?
Hata yeye hakuweka ushahidi kukanusha alichoandika cag. Hivyo hela aliipiga. Rais ambaye alikuwa msafi Ni mmoja tu naye ni Nyerere ndo Mana hasemwi. Rais anayeongoza kusemwa vibaya ni jpm pekeeJe!
Uliwekwa ushahidi wa hiyo hela au kupitia chadema na kwingineko, au stori za vijiweni kwenu mkisubiri kujaribu tena 2025?
I don't have to waste my time.Unasumbuliwa na uzushi tu. Kila anaytamka hapa 1.5 trilioni huwa ni mzushi.Let ripoti ya CAG yeyote inyoonyesha kuwa Magufuli alipoteza 1.5 trilioni
Rudia kusoma habar hata mara Alf.....utapata jibu lakoMoral of the story?
Rais gani ambaye unafikiri success yako ni kuwaua watangulizi wako. Alimuua mkapa na next target ilikuwa jk sema jk kwa sababu ni mtoto wa mjini akakikwepa kikombe kile Mana mpaka Sasa jk angekuwa marehemu. Yule baba alikuwa katili Sana na kifo chake kila mtu kakifurahia mmi tu nilikunya cret ya bia siku hiyoJe!
Uliwekwa ushahidi wa hiyo hela au kupitia chadema na kwingineko, au stori za vijiweni kwenu mkisubiri kujaribu tena 2025?
mbona mi nauponda ujamaa wa Nyerere? mbona wengine wanamponda JK na Mkapa? JPM anapondwa na mafisadi tuHata yeye hakuweka ushahidi kukanusha alichoandika cag. Hivyo hela aliipiga. Rais ambaye alikuwa msafi Ni mmoja tu naye ni Nyerere ndo Mana hasemwi. Rais anayeongoza kusemwa vibaya ni jpm pekee