Hadidhi yako inatusaidia nini wana jamvi? labda ungemwandikia barua Nape mwenyewe ili akusikilize, sisi hizi ni hadithi za abunuasi.Nape Moses Nnauye anamchukia Magufuli kwa sababu Magufuli alikuwa anamtaka Nape aishi maisha ya uhalisia aishi maisha ya kutokula rushwa atosheke na mshahara wake
Magufuli alijua kuwa Nape ni kijana mdogo akiishi kwa kufanywa vuvuzela ataharibikiwa hapo baadaye endapo wanaombeba wakipotea lkn kama kawaida ya watoto waliolelewa kwa kubembelezwa Magufuli alionekana Mbaya sana na hatimaye Nape akatengeneza Chuki kwa Magufuli lkn wakati ni mwalimu mzuri Sana ipo siku Nape atayakumbuka maneno ya Magufuli