Unasumbuliwa na uzushi tu. Kila anaytamka hapa 1.5 trilioni huwa ni mzushi.Let ripoti ya CAG yeyote inyoonyesha kuwa Magufuli alipoteza 1.5 trilioni, hata Assada ambaye anamchukia sana Magufuli hawajawahi kusema kuwa Magufuli alipoteza au alijinufaiasha 1.5 triliono za umma. Ripoti zote za Cag ziko hapa
The National Audit Office (NAO) is an independent Parliamentary body in Tanzania which is responsible for auditing central government departments, government agencies and non-departmental public bodies
www.nao.go.tz
Mimi nimesoma ripotie zote zile, hakuna inayoonyesha serikali kupoteza au kufanya ubadhilifu wa trilion 1.5. Kabla ya kudakia mambo, jipe muda kujitafutia ukweli kuliko kudakia maneno ya watu wengine hata wasiojua wanaongea nini,
Nimekupa link ila ukishindwa kupata PDF reports zenyewe niambie mimi ninazo zote nitakutumia.