mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
hii rushwa ungepewa wewe ungetoa mapaka roho.JPM mwenye alikuwa mla rushwa wa kutupwa sem alivifunga vyombo vya habari vianaripoti tu. Unakumbuka 1.5 trilion?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hii rushwa ungepewa wewe ungetoa mapaka roho.JPM mwenye alikuwa mla rushwa wa kutupwa sem alivifunga vyombo vya habari vianaripoti tu. Unakumbuka 1.5 trilion?
Magufuli aliyetuma usalama wa mchongo amtolee Nape bastola ndiye aliyekuwa anampenda nape [emoji847]Nape Moses Nnauye anamchukia Magufuli kwa sababu Magufuli alikuwa anamtaka Nape aishi maisha ya uhalisia aishi maisha ya kutokula rushwa atosheke na mshahara wake
Magufuli alijua kuwa Nape ni kijana mdogo akiishi kwa kufanywa vuvuzela ataharibikiwa hapo baadaye endapo wanaombeba wakipotea lkn kama kawaida ya watoto waliolelewa kwa kubembelezwa Magufuli alionekana Mbaya sana na hatimaye Nape akatengeneza Chuki kwa Magufuli lkn wakati ni mwalimu mzuri Sana ipo siku Nape atayakumbuka maneno ya Magufuli
mmeanza kuhamisha upepo,ama kweli laana hii itawafilimba.Rais gani ambaye unafikiri success yako ni kuwaua watangulizi wako. Alimuua mkapa na next target ilikuwa jk sema jk kwa sababu ni mtoto wa mjini akakikwepa kikombe kile Mana mpaka Sasa jk angekuwa marehemu. Yule baba alikuwa katili Sana na kifo chake kila mtu kakifurahia mmi tu nilikunya cret ya bia siku hiyo
Unasumbuliwa na uzushi tu. Kila anaytamka hapa 1.5 trilioni huwa ni mzushi.Let ripoti ya CAG yeyote inyoonyesha kuwa Magufuli alipoteza 1.5 trilioni, hata Assada ambaye anamchukia sana Magufuli hawajawahi kusema kuwa Magufuli alipoteza au alijinufaiasha 1.5 triliono za umma. Ripoti zote za Cag ziko hapa
National Audit office of Tanzania (NAOT)
The National Audit Office (NAO) is an independent Parliamentary body in Tanzania which is responsible for auditing central government departments, government agencies and non-departmental public bodieswww.nao.go.tz
Mimi nimesoma ripotie zote zile, hakuna inayoonyesha serikali kupoteza au kufanya ubadhilifu wa trilion 1.5. Kabla ya kudakia mambo, jipe muda kujitafutia ukweli kuliko kudakia maneno ya watu wengine hata wasiojua wanaongea nini,
Nimekupa link ila ukishindwa kupata PDF reports zenyewe niambie mimi ninazo zote nitakutumia.
Msikilize aliyeibua hiyo shida, sema wafuasi wa mwendazake mpo kama vipofu hata CAG wote mnawashambulia,hata aliyeteuliwa na MagufuliJe!
Uliwekwa ushahidi wa hiyo hela au kupitia chadema na kwingineko, au stori za vijiweni kwenu mkisubiri kujaribu tena 2025?
Laana ipi? Au ya kumuua muuaji?mmeanza kuhamisha upepo,ama kweli laana hii itawafilimba.
hakuna jicho la mmoja wenu litaishi kwa amani[emoji28][emoji28][emoji28].
Lazima historia ya nchi ijadiliwe..ambao hawajifunzi kutoka kwenye history wapo hatarini kurudia makosaMagufuli alimpa nape uwaziri kamili kwa nn bado unamtukana unataka karma ikutafune? Nape badilika umepata uwaziri lkn kila kukicha unamtukana Magufuli lkn haya yote yana mwisho wake
Alipopokonywa uwaziri, Nape alikaa akajitathmini, na baadaye akaamua kwenda kuomba radhi kwa Magufuli. Magufuli mwenyewe alisema hadharani kwamba alikuwa akipokea maombi mengi tu kwamba Nape anataka kuja kumuomba radhi. Siku ya siku kibali kikatoka; tukamuona Nape akitembea kipande kirefu tu ndani ya Ikulu kwenda kumuona Rais. Akamwambia mimi ni kijana tu, nilipotoka na sasa nimeona makosa yangu. Naomba unisamehe. Rais akasema kukosea ni ubinadamu. Maadam umeona uliyokosea na unaomba msamaha, mimi ninakusamehe.Nape Moses Nnauye anamchukia Magufuli kwa sababu Magufuli alikuwa anamtaka Nape aishi maisha ya uhalisia aishi maisha ya kutokula rushwa atosheke na mshahara wake
Magufuli alijua kuwa Nape ni kijana mdogo akiishi kwa kufanywa vuvuzela ataharibikiwa hapo baadaye endapo wanaombeba wakipotea lkn kama kawaida ya watoto waliolelewa kwa kubembelezwa Magufuli alionekana Mbaya sana na hatimaye Nape akatengeneza Chuki kwa Magufuli lkn wakati ni mwalimu mzuri Sana ipo siku Nape atayakumbuka maneno ya Magufuli
Kwa nini ssa alimrekodi kuanzia Getini hadi anaingia Ikulu? Magufuli alikuwa takataka tu, ile siyo kitu ya kufanywa na Rais na kutuonyesha wananchi!!Alipopokonywa uwaziri, Nape alikaa akajitathmini, na baadaye akaamua kwenda kuomba radhi kwa Magufuli. Magufuli mwenyewe alisema hadharani kwamba alikuwa akipokea maombi mengi tu kwamba Nape anataka kuja kumuomba radhi. Siku ya siku kibali kikatoka; tukamuona Nape akitembea kipande kirefu tu ndani ya Ikulu kwenda kumuona Rais. Akamwambia mimi ni kijana tu, nilipotoka na sasa nimeona makosa yangu. Naomba unisamehe. Rais akasema kukosea ni ubinadamu. Maadam umeona uliyokosea na unaomba msamaha, mimi ninakusamehe.
Leo hii, Nape anarusha ndogondogo kwamba Magufuli alikuwa mbaya sana. Sasa huo msamaha ulioomba ulikuwa wa nini? Hypocrisy tu? Hata huko kumsifia Samia unakofanya hivi sasa, tutajuaje kama utaendelea hivyo hivyo hata baada ya Samia kutokuwa madarakani? Baada ya kuona uliyomfanyia Magufuli, siwezi kuwa na imani na wewe.
Never ever be greedy!!!Moral of the story?
Msikilize aliyeibua hiyo shida, sema wafuasi wa mwendazake mpo kama vipofu hata CAG wote mnawashambulia,hata aliyeteuliwa na Magufuli
hiyo taarifa aliitoa kipindi kile kabla hajatumbuliwa,Wacha kuleta porojo. CAG ni taasisi siyo mtu mmoja anayelalamika kwa kukosa cheo cha kuongoza taasisi hiyo. Ripoti za CAG chini ya utawala wa Magufuli wakati hiyo mlalamikaji akiwa CAG ni hizi hapa, zisome niambie ni ipi inayosema trilioni 1.5 zimepotea.
Je!
Uliwekwa ushahidi wa hiyo hela au kupitia chadema na kwingineko, au stori za vijiweni kwenu mkisubiri kujaribu tena 2025?
Elewa kuwa CAG ni taasisi yenwe watu wengi sana. CAG siyo Assag tu. Unataka kusema kuwa kabla hajatumuliwa alikuwa hajui hizo 1.5 Trilion ila baada ya kutumbuliwa nipo akazigundua? Na Je Zito yeye aliztowa wapi kkabla Assad hajatumbuliwa? Acha udakiaji wa mambo na kuendekeza uwongo.hiyo taarifa aliitoa kipindi kile kabla hajatumbuliwa,
Unasumbuliwa na uzushi tu. Kila anaytamka hapa 1.5 trilioni huwa ni mzushi.Let ripoti ya CAG yeyote inyoonyesha kuwa Magufuli alipoteza 1.5 trilioni, hata Assada ambaye anamchukia sana Magufuli hawajawahi kusema kuwa Magufuli alipoteza au alijinufaiasha 1.5 triliono za umma. Ripoti zote za Cag ziko hapa
National Audit office of Tanzania (NAOT)
The National Audit Office (NAO) is an independent Parliamentary body in Tanzania which is responsible for auditing central government departments, government agencies and non-departmental public bodieswww.nao.go.tz
Mimi nimesoma ripotie zote zile, hakuna inayoonyesha serikali kupoteza au kufanya ubadhilifu wa trilion 1.5. Kabla ya kudakia mambo, jipe muda kujitafutia ukweli kuliko kudakia maneno ya watu wengine hata wasiojua wanaongea nini,
Nimekupa link ila ukishindwa kupata PDF reports zenyewe niambie mimi ninazo zote nitakutumia.
Elewa kuwa CAG ni taasisi yenwe watu wengi sana. CAG siyo Assag tu. Unataka kusema kuwa kabla hajatumuliwa alikuwa hajui hizo 1.5 Trilion ila baada ya kutumbuliwa nipo akazigundua? Na Je Zito yeye aliztowa wapi kkabla Assad hajatumbuliwa? Acha udakiaji wa mambo na kuendekeza uwongo.
Magufuli alimpa Nape uwaziri kamili kwa nn bado unamtukana unataka karma ikutafune? Nape badilika umepata uwaziri lkn kila kukicha unamtukana Magufuli lkn haya yote yana mwisho wake