Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
Hakuvuliwa UCAG, bali hakuteuliwa kipindi cha pili. Yeye aliteuliwa na Kikwete mwaka 2014 na kipindi chake cha kwanza kikatiba kilikuwa kinakwisha 2019. Baada ya hapo rais aliyeko Madarakani alikuwa anaweza kumteua tena kwa miaka mingine mitano au kuteua mwingine kuongoza taasisi hiyo. Yeye hakuteuliwa kipindi cha pili, katiba iko wazi kabisa kuhusu uteuzi wa CAG. Ni kama Katiba inayosema kuwa Rais atafanya kazi kwa miaka mitano, baada ya hapo anaweza kugomea na kuchaguliwa tena kwa miaka mingine mitano, ila haruhusiwi kuendelea kwa zaidi ya miaka kumi.Huyo CAG si mpaka alivuliwa uCAG kwasababu hiyo? Au kwakuwa ukweli huo unafichwa unadhani ukweli huo haufahamiki?
Miaka kumi siyo automatic.