Hayati Magufuli alimpenda sana Nape Nnauye na alikuwa mwalimu bora kwake, ipo siku Nape atamkumbuka sana Magufuli

Hadidhi yako inatusaidia nini wana jamvi? labda ungemwandikia barua Nape mwenyewe ili akusikilize, sisi hizi ni hadithi za abunuasi.
 
Huyu Kichuguu ni mbumbumbu tu pengine ni Sukuma Gang
Assad anaongea maneo yake yatokanayo na uchungu wa kunyimwa nafasi ya kuongoza ofisi ya CAG tu. Ofisi ya CAG ni zaid ya mtu mmoja, na ndiyo iliyotayarisha ripoti hizi huku yeye akizisaini kama mkuu wa taasisi. Iweje leo aje na viroja ambavyo havimo kwenye ripoti hizo kama siyo mtu wa kulialia tu. Ripoti zenyewe ni hizi; zisome zote uonyese pale ilipo hiyo trilioni 1.5, na yeye akasaini.
 

Attachments

Ohooo usisemeee ndugu....kumbe alikuwa amewapanga hvyo only to eliminate them all....sasa ilikuwaje Mission ikawa impossible?
Aliipanga kisham a Sana eti anakodi makomando wa rwada kumuua jk. Issue aliyeilikisha ni waziri wa Mambo wa Mambo ya ndani kangi lugola ndo Mana akapigwa chini fasta kwa kisingizio eti amesign mkataba nje. Wale makomando walikuta ulinzi mkali Sana getini kwa jk na waliuawa hapohapo
 
Kwa hyo kina 7ya na bashite hao walikua hawali rushwa na wanatosheka na mishahara yao ndio maana magu aliwapenda??
 
Sheikh una mkund.u wa aina gani unaopitisha kreti
 
Nape anamkumbuka sana Magufuli lakini tofauti na matamanio yako yeye anamkumbuka kwa uhalisia wake, jinsi alikuwa 'bully' na aliyosababishia mpasuko ndani ya chama chao kwa kutengeneza kikundi chake pendwa ambacho kiliamua kudhalilisha viongozi wengine ndani ya chama ambao hawakuwa kwenye 'click' moja na wao.
Nape naamini anamfahamu Magu kwa uhalisia wake zaidi ya unavyomfahamu wewe.
 
Ukishazungumza 1.5 trilioni tu, basi unakosa credibility katika arguments zako zote bali unajitangaza kama mfuata mkumbo wa maneno ya Zitto tu.
Maneno ya Zitto au ya Prof Assad?
 
Maneno ya Zitto au ya Prof Assad?
Ni Uzushgi wa Zitto. Ripoti za CAg ni hizi hapa, onyesha hiyo 1.5 triulion iko wapi kama na wewe hukulishwa matope na Zitto na ukaryameza yote. Anajua kuna wajinga wengi watasubiri yeye awasomee na kuwaambia alivyosoma lakini wao hawataki kusoma. Haya ripiti hizo hapo wewe let jibu la kwako
 

Attachments


Naomba list na uthibitisho wa hao aliyowaua kwa sababu ya kuwachukia.Kuna tofauti gani kati ya wale waliofutiwa kesi na dpp na wale maelfu waliotoka kwq msamaha wa Rais magerezani?
Unajua itikadi zinaweza kukufanya hata usiweze kuona kasoro ya hicho unachojaribu kukitetea.
 
Itabidi ujiulize kwanini nguvu kubwa inatumiaka kumsemea marehemu. Wafanye Mambo mazuri ili wasifiwe waachane na kumsemea vibaya marehemu ambaye hawezi kuzungumza
Mbona na nyinyi mnatumia nguvu kubwa kupinga Mwendazake asisemwe? Si mkae kimya tu maana kama wanayomsema hayana ukweli watu watapuuza!!

Ila kwa vile Yana ukweli mnaona kabisa mungu wenu wa Chato anachafuliwa! Yule shetani Magufuli hatumpunzishi kamwe!!
Wewe ndiyo hujui kusoma ripoti za CAG, mbona aliainisha kabisa
 
Hiyo siyo kwa nape to Bali kwa wezi wote nchini akiwemo lz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…