Hayati Magufuli aliona mbali kuhusu chanjo, ona sasa huko Ulaya wanavyoanza kupukutika

Ungeweka na uthibitisho wa vifo vinavyotokana na chanjo, pia na chanzo cha habari ili wengine tuweze kusoma zaid juu ya hilo. Source inayoonyesha jaribio la kwanza likifanyika kwa mwanadam. Then hata majirani zetu wameona bora wafe tuu kwa kupigwa chanjo sio? Au nao hawana akili mkuu
 

We unafikir hizo effects zinaonekana siku moja? Hiyo ni long term effects , sasa wazungu wakupe tiba wewe nguruwe pori una faida gan kwao? Yan wamalize energy yao et waku save wewe mbwa uliyepo kwenye nchi ambayo haijulikan dunian mxieew mmekazaniq upumbavu tu mbwa hiz
 
Mwanzo wakati zinajadiliwa Astrazeneca mkawa mnasema mbona chanjo zengine zipo moja wapo ilikuwepo hiyo J & J ila sasa hivi tena imebaki Pfizer na moderna.

Lakini pia mkuu hili suala tunachokiongea sisi huku hutokana na kinachoendelea huko kwa wenzetu kama tunavyoona wamesitisha chanjo fulani au wameacha kutumia kwa makundi fulani ya watu, hayo yote wasingeyafanya kama kusingekuwa na shida yeyote kama ambavyo wewe unaeleza ila tatizo sisi tukijadili hili suala unaona ni kwa sababu tu tunapinga chanjo.

Hizo tiba zengine unazopenda kuzitaja tunajua kuwa zina madhara lakini nakushangaa unalinganisha vp tiba na chanjo?
 
Hizo ARV zinatengenezwa na mbongo? Insuline inatengenezwa na nani?

Ni vizuri ubaki majukwaa ya MMU kule hizi mada ziko above your IQ to say the least.
 
Binafsi hizo ARV zinikalie mbali kabisa.
Anhaaaa sasa unaonaje tuandae petition tuzuie ARVs ili sasa wagonjwa wetu wa VVU wamtegemee tu Mungu na kula malimao?

Vilevile Radiotherapy,MRI na CT scan zipigwe marufuku, Chermo na insuline pia zizuiwe maana fatality rate yake ni kubwa sana. Mind you zote ni za mabeberu walewale tu
 
Tanzania wameputukutika baada ya kutumia chanjo ipi?

Hayati JPM mlikuwa mnamsingizia kucha kuchwa eti wananchi wanakufa kwa corona, zile kelele zimeishia wapi au watanzania tumetumia chanjo?
Unaonekana ni Wakala wa Biligate Tanzania Liz one
 
Nawaza sana juu ya tume ya rais isije pendekeza tuchanjwe ilihali Mungu katuepusha sana na janga hili.
Hilo haliepukiki maana anataka kurudisha mahusiano mazuri na wazungu kwa hivyo huwezi kuelewana na hao wazungu bila hicho chanjo.
 
Nashauri pia tuache kutumia ARV na neti za mabeberu ili tumtegemee Mungu atuponye VVU na Malaria. Au unaonaje mkuu?
Tungefika tu huko kupitia Magufuli sema ndio hivyo kaondoka mapema, japo hilo la ARV wazungu wenyewe huwa wakali sana.
 
Mwanzo na nani? Mie msimamo wangu siku zote ni kwamba dawa zote duniani zina side effects ila cha msingi ni kwamba maadam 99.9% wanaipata successfully then hyo 0.001% ikipata madhara sio issue kubwa.

Sasa watu zaidi ya 17 M wamedungwa Astra Zeneca alafu waliopata blood clots ni watu 18 cjui.... Hvi kweli ni percentage ya kudoubt dawa?

Chanjo na tiba naziongelea sababu zote zina side effects as long as zinaingia kwenye mzunguko wa damu. Na kama hufahamu katika kila watu laki 2 mmoja anakufa kwa chanjo ya YF Vax uya homa ya manjano ambayo kila mbongo mwenye passport amedungwa ukiwemo wewe.

Una maoni gani? Ipigwe marufuku pia
 
unamaanisha majengo yanailemea dunia kwa uzito au sijaelewa vizuri mkuu [emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna dawa inayomkubali kila mtu duniani... kinachoangaliwa ni katika watu wanatumia ni asilimia ngapi inawaathiri vibaya. Kama faida ni kubwa kuliko hasara, twende kazi.
Dawa ni kwa ajiri ya wagonjwa ila hapa tunazungumzia chanjo sio dawa, kama kuganda damu ni moja ya side effects za hizo chanjo basi wangetuambia kabisa ili tujue.
 
Hilo haliepukiki maana anataka kurudisha mahusiano mazuri na wazungu kwa hivyo huwezi kuelewana na hao wazungu bila hicho chanjo.
JPM alidungwa Yellow fever vaccine ya mabeberu.... Alinunua bombardier za mabeberu.... Alinunua MRI scan from mabeberu.... Aliongeza bajeti ya dawa ambapo zote zinatoka kwa mabeberu.... Aliagiza ARVs za mabeberu!!

Kama ni mzalendo kwanini hakuomba patent atengeneza copy ya dawa hapa hapa Tz kupitia NEMC??
 
Hizo ARV zinatengenezwa na mbongo? Insuline inatengenezwa na nani?

Ni vizuri ubaki majukwaa ya MMU kule hizi mada ziko above your IQ to say the least.

Again hizo ARV hujui implications zake Ndio maana unaropoka hovyo , kwa kukusaidia tu ingia google usome negative effects za ARVs , hizo shule zenu mmesoma hawawez kuwafumbua akili mbwa nyie , shule yenyew toka primary had form 4( kama umefika) ni free education , mnadhan mtafundishwa nini ???.

Unajua nini mbwa wewe? Nimekuzid pesa, Elimu na kila kitu , chokoraa wewe sifai hata kuongea na wewe
 
Kwahiyo hizi chanjo cha corona zipo kwenye majaribio?
 
Dawa ni kwa ajiri ya wagonjwa ila hapa tunazungumzia chanjo sio dawa, kama kuganda damu ni moja ya side effects za hizo chanjo basi wangetuambia kabisa ili tujue.
Effects zina vary kutokana na mwili wa host.... Mfano mimi binafsi nikiogea tu sabuni za antibiotic nawashwa na mapele yanajaa lakini wengine wakiogea ndio inawasaidia ngozi.

Unaweza kuona hapo sio kila kitu ni kwa ajili ya kila mtu ila as long as ipo compatible kwa watumiaji 95% then hiyo sabuni au dawa is good to go. At least ni bora mfe 10 lakini muokoe watu million 50!! Maana hii ni vita duniani sio wakati wa kubembelezana.
 
Hivi ichi kiswahili umeGoogle au?..naona kizungumkuti tuu
 
Hivi mkuu hujui kama kuna dawa za miti shamba ambazo zimefanyiwa uchunguzi wa kisayansi na kuonekana zinatibu magonjwa? Tatizo sio mitishamba(maana hata hizo dawa za kizungu hutumika hiyo mitishamba) bali ni uchunguzi wa kisayansi, sasa wewe unataka kutuambia kila dawa lazima itoke maabara kwa maana lazima iwe na mikemikali ndio uone dawa bora.
 
Wewe baki MMU tu huku unajidhalilisha..... Badala umuelekeze mtu aende research gate au google scholar eti GOOGLE!! Utadhani google ina scholarly papers ama empirical studies pekee!!

Lugha tu changamoto ndio utaijua google scholar wewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…