Hayati Magufuli alionesha mara kadhaa kuwa ni mgonjwa wa moyo

Na ndo kelele zote kutoka kwao wasema wamenyimwa access.

Wamegharamia mambo mengi lakini ikawa wamepoteza.

Sasa huu ni mtihani tuloachiwa.

Ni jukumu la serikali ya mama Samia kuhakikisha tunarekebisha panapohitajika na tuiangalie uzuri sera yetu ya mambo ya nje.

Pili, tuchunge sana adui zetu wa ndani na wa nje ambao wamefanya taswira ya nchi yetu iwe mbaya sana kwa sasa kwa kuandika habari nyingi hasi kuliko chanya.

Serikali kupitia bwana Abbas wawakaribishe vyombo vya habari vya Tanzania na nje kujionea yalofsanywa na serikali hii na kuvihimiza vyombo vya habari vya Tanzania kuhakikisha vinashindana vyombo vyombo vya habari vya Kenya.

Naamini vyombo vya habari vya Kenya vinaipenda sana Tanzania na vimekuwa vikiifuatilia sana nchi hii, lakini huu sasa ni wakati wa kuheshimiana.

Serikali ihakikishe inatumia uzuri mitandao ya kijamii na ofisi za kibalozi kueneza ujumbe kuhusu Tanzania kiufasaha na kuondokana na kutoleana maneno ya kuleta sintofahamu au "confrontational comments" khasa katika majukwaa ya kimataifa.
 
Huyo daktari anasemaje kuhusu hatari ya kupiga nyungu kwa mgonjwa wa moyo?
Sikumwuliza hilo, ila inajulikana kuwa Sauna haina madhara yoyote kwa mgonjwa wa moyo. hakuna ushahidi to the contrary.
 
Vetting ya Tanzania iko very poor,unaruhusu vipi mtu mwenye serious heart problems kuwa Rais wa nchi? imetucost sana
TISS wamejivua nguo sana katika hili, hawakufanya kazi yao sawasawa! Kwanza hata kama isingekuwa mgonjwa wa moyo hakupaswa kabisa kuwa Rais, kwa maana alikuwa anatoka nchi jirani! TISS haikututendea haki!
 
..halafu it doesnt make sense mtu ana tatizo la MOYO halafu anatoka Jakaya Kikwete Cardiac Institute anakwenda kutibiwa Mzena Hospital. daktari aliyemuandikia hiyo discharge / transfer kwa maoni yangu atakuwa ni mwendawazimu.
Ukijiongeza utagundua kwamba kumpeleka mzena ilikuwa tayari kakata moto so akahifadhiwe kwa hatua zaidi za kiusalama
 
Tuliokuwa na taarifa tulibaki wapenzi watazamaji. Hakuna mahali alipo kwenda bila Dr. Kisenge kuwa karibu nae. Hakutakiwa kusafiri more than 5hrs angani bila uangalizi wa karibu. Anyway mwendo kaukamilisha... Regardless of his weaknesses as human being.. jamaa alikuwa mpiga kazi sana tutamkumbuka sana kwa aliyoyafanya kwa nchi yetu kwa vizazi na vizazi. Ukitembelea hii nchi kila kona unamuona namtakia pumziko la amani. RIP brother JPM
 
Duuuh[emoji134][emoji134][emoji134][emoji24][emoji24][emoji22][emoji22]
 
Duu alikuwa na tatizo kubwa kweli kweli,sio sawa kuruhusu mgonjwa wa hivi kuwa Rais hata kama anataka
 
Corona wengi waliomzunguka imewaua na mlinzi wake tunaambiwa, amefia Nairobi walikokua wanauguzana.
Moyo mbovu unapona vipi Corona
Hivi, Korona umekuwa ugonjwa wa aibu kiasi tunashangaa raisi akiupata? Raisi Trump aliupata! Waziri mkuu wa Canada na mkewe waliupata! Waziri mkuu wa Uingereza aliupata! Waziri mkuu wa Israeli aliupata! Sio ajabu raisi wetu kuupata.
Kwanini mnatumia nguvu nyingi kumkinga kuwa hakufa kwa ugonjwa huo?

Korona ilikuwa inatembea pale ofisini kwake Dodoma. Kijazi ambaye ni kama wanashea ofisi alikufa muda mfupi kabla ya Magufuli. Lakini pia kulingana na imani ilikuwa kosa kubwa kujikinga km kuvaa barakoa au kijisanitaizi. Imani yake hiyo ilimfanya awe vulnerable kwa ugonjwa huo. Ukweli ni kwamba pia alikuwa anaumwa ugonjwa wa moyo.

Kwa mazingira yale ya kuzungukwa na wagonjwa wa Korona, mtu hawezi kubisha akiambiwa kuwa alikufa kwa Korona kama ambavyo huwezi kubisha kuwa kafa kwa matatizo ya moyo. Hata hivyo wanasema na mlinzi wake naye kafa kwa korona.

Narudia tena. KORONA NI IGONJWA WA KAWAIDA. Sio ugonjwa wa aibu.
 
Duu alikuwa na tatizo kubwa kweli kweli,sio sawa kuruhusu mgonjwa wa hivi kuwa Rais hata kama anataka
Ni sawa na hakuna tatizo lolote maana alikuwa akitumia hiki kifaa tangu miaka ya 90.

Cha msingi ni umakini kwenye Maisha yako yote na kufuata kanuni.
 
mkuu chawa wa marehemu na hasa sukumagang hawaamini kilichotokea hivyo lazima wamtetee na watafute namna ya kumpa sifa ambazo hakuwa nazo kabisaa.

Acha dharau mkuu. Sukumagang una maana gani? Kwani huwezi eleweka had ulete ukabila. Behave
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…