Hayati Magufuli alionesha mara kadhaa kuwa ni mgonjwa wa moyo

Ni sawa na hakuna tatizo lolote maana alikuwa akitumia hiki kifaa tangu miaka ya 90.

Cha msingi ni umakini kwenye Maisha yako yote na kufuata kanuni.
Sawa vipi mzee wakati majukumu ya Rais ni makubwa na nyeti kwa nchi kuliko uwaziri?

Hili lisijirudie next time afu mwambieni mh.Rais avae barakoa na watu wanaomzunguka na social distancing ifanyike
 
Sawa vipi mzee wakati majukumu ya Rais ni makubwa na nyeti kwa nchi kuliko uwaziri?

Hili lisijirudie next time afu mwambieni mh.Rais avae barakoa na watu wanaomzunguka na social distancing ifanyike
Nadhani zipo zashonwa kwa wingi.
 
Upungufu mkubwa niliouona kwa Mzee Magufuli ni kuwa uwezo wake wa diplomasia ulikuwa chini sana. Mzee wetu alifikiri in binary terms: either you are with us or you are against us! Aliwaona wazungu wote kama mabeberu, mabepari, adui, n.k. Sijui ni kwa namna gani alikuja kuvaa huo mtazamo wake kuhusu wazungu, na kujenga hiyo falsafa yake. Labda ni zile dharau za kizungu dhidi ya mtu mweusi ndizo zilizomsababishia ajenge huo mtazamo, maana huwezi kuishi na wazungu bila kufeel hiyo sense kwamba wanamdharau mtu mweusi.

Lakini pia Magufuli amekaa serikalini miaka mingi sana. Atakuwa aliwacheki wazungu walivocheza na Mkapa, halafu wakacheza na Kikwete, akajenga mtazamo kwamba these guys cannot be trusted, hawako genuine, ni matapeli tu.

Ni kweli kuna haja ya kurudisha uhusiano mzuri wa kidiplomasia na ulimwengu, lakini siyo diplomasia inayojengwa kwa msingi wa "Tanzania inahitaji dunia kuliko dunia inavyohitaji Tanzania". No, hiyo ni diplomasia ya kitoto. Msingi wetu wa diplomasia uwe Tanzania inahitaji dunia, kama dunia inavyoihitaji Tanzania.
 

Hata usipokufa kwa corona, utakufa kwa maradhi mengineyo. Siku ikifika imefika tu. Tuache porojo.
 
Ni kweli unavyosema, ila tunahitaji sera yetu ya mambo ya nje ieleze khasa mwelekeo wetu na azma yetu ya kujitawala na kujiletea maendeleo wenyewe.

Na hawa jamaa ni lazima waambiwe bila ushirikiano wa 50/50 faida basi hakuna makubaliano yoyote.

Mkuu, mimi nimeishi nje katika nchi nyingi tu za hawa jamaa nawafamu uzuri sana,moja ya tabia yao kuu ni kujiona wao bora ziku zote na ndo wenye akili na hutaka siku zote kukuonyesha wazi.

Alipoingia Magufuli walimwita outsider na approach yake kwao ilikuwa imejaa sana suspicions than optimism.

Tuwakaribishe na tuwasikilize kisha tutoe uamuzi ama tunakubali au hatutaki.

Tusiwapige vijembe, tusikatae wito wao kufanya mazungumzo na tuwe tayari kwa offer zao na tuziangalie.

Kwa mfano, twahitaji sana teknolojia hivyo tuwahimize katika hilo kwamba ukitaka tushirikiane mkubali kutusaidia kwenye teknolojia..
 
Apumzike Kwa Amani
Marehemu Tusimjadili Sana
Ila mitandaoni kutanywea..hakutakuwa na mashamusham tena .yale maneno yake ya kukera hatutaysaikia tena..labda sasa Chalamila aendeleze...maana wanafanana tabia...dah we will miss u
 
GOD BLESS LEMA ALIKUWA ANAJUA KUWA ATAFIA MADARAKANI.KIBURI KWISHA MAGUFULI
Kama anafurahia, anafurahia kitu asichokijua!! Hivi anauhakika upi na Kesho yake, hata wewe mwenyewe!!

Na mwanaume wa kweli mwenye akili njema, hawezi kumwombea adui wake afe, huyo atakuwa muoga wa maisha, majitu yenye kujiamini huombea adui zao maisha marefu Ili siku moja waje wajionee ukuu wa Mungu na wao kukumbuka ubaya wa kuwatendea wengine ubaya!

Kitu ambacho Chama chenu chote kimekosa hii Hekima, mkiambiwa kuwa hamfai kwenye vita mtabisha?

Uzuri na ubaya, kila mtu ataonja umauti, na hakuna kifo eti kiitwe hiki ni kizuri kuliko kile, never!

R.I.P Jembe
 
Unalazimisha ni Corona haya sawa ....ila manyang'au design yako mpo tu na tunawavumilia.
 
Naam, maneno kuntu.
 
Corona wengi waliomzunguka imewaua na mlinzi wake tunaambiwa, amefia Nairobi walikokua wanauguzana.
Moyo mbovu unapona vipi Corona
Umeambiwa na nani?washa tbc angalia mlinzi mbna yupo uyo mnayesema amekufa?Watanzania tuache ujuaji,PUSSY TENA PUSSY YAKO WW INATOA SANA MAJI UKIWA UNASHUGHULIKIWA.
 
Homa aliyokuwa nayo ilikuwa hairuhusu kusafiri kwa ndege kwa mda mrefu
 
Tabia ya kuficha ficha vitu kwa waafrica itaendelea kutuathiri...

Tulianza kupata shaka juu ya zile AC kila alipokua akizunguka kwenye kampeni...

Pia ile ratiba ya kufanya kampeni siku 2 mapumziko siku 8 !

Kingine habari ya kujiamini kupita kiasi na kuipuuza covid -19 kwa hali aliyokua nayo hakupaswa kujiexpose kwenye mikusanyiko bila mask hasa ule wa balozi Kijazi....
 
Ngoja azike kwanza mkuu yani kaapishwa Jana tu.
 
Dah! Nimecheka sana japo mabaya ndugu nahisi we utakuwa Mkafutori wa Antiokia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…