Hayati Magufuli alionesha mara kadhaa kuwa ni mgonjwa wa moyo

Sasa ndiyo napata jibu ni kwanini alikuwa hapendi kupanda ndege mara kwa mara, na kwa upande mwingine naona namna tulivyo muonea na kumhukumu mtu huyu bila kuujua ukweli!!
Hawakusema ukweli, wakajificha kweny kichaka cha uzalendo
 
Kwani wewe mudakitali?
 
kwa hiyo kumbe alikuwa anaonea kiingereza vizuri tu ehhh, issue ya kuwa ni mgojnwa ilikuwa inajulikana kitambo sana tu ila ccm kwa kuwa ilikuwa inataka ushindi kwa gharama yoyote ilibidi awekwe mtu ambaye angalau anayekubalika kwa wananchi na mkapa na mangula wao wakaona huyu ndiye at least anauzika kwa wananchi issue hapo ni covid19 imefanya yake na kwa kuwa tayari alikuwa na hitilafu na ikichangiwa na ukaidi wa marehemu wa kutokuchukua tahadhari za kujikinga hatimaye leo ndiyo hivyo tena hatunaye tena. Kumbuka marehemu aliwahi kusema uraisi alisukumizwa tu hivyo hakuwa amejiandaa/hakuwahi kuandaliwa kushirikana na ulimwengu hasa kwenye masuala ya kimataifa. Si ni huyu hata vikao kadhaa vya SADC na EAC alikuwa hahudhirii. Masuala ya mahusiano wa kimataifa na diplomasia marehemu hakuwa na uzoefu nayo kabisaaa na kati ya eneo ambalo alifanya vibaya kabisaaa na Tz imepotea kabisa kwenye hilo eneo
 
Kama alikuwa anajua hivyo zile pushapu alipiga za nini.
Huenda ndio zilisababisha hata neturo ya betri ikakata.
Kumdhihaki Lowasa kwamba yupo fiti kalikiti hii ni moja ya kufuru katika makufuru aliyofanya bila kujua. Mola amsamehee.
Ukipewa uhai,afya,mali usimdhihaki jirani aso mali,afya, nafasi kwani kupata sio ujanja wala akili kupata ni wakati.
 
Kosa kubwa kuliko yote aliyoyafanya ni alipoidharau corona na kufuata ushauri wa Msukuma

Tulikuwa tunasema anajiamini nini au ameshachanjwa

Hivi washauri na wataalamu wote wa afya wanaomzunguka walishindwa kumshauri mzee wetu?
 
Mkuu chain ya waaondoka na walioondoka hivi karibuni ilikuwa haimuachi mheshimiwa salama.
Covid ipo na inauwa sana, inasikitisha tumeamua. uongo kuwa ndio platform ya majadiliano yetu. Na inatugharimu
 
Itakuwa ndiyo sababu ya yeye kukataa kuvaa barakoa, pumzi ilikuwa ndogo. Naona watu wake wanaiga kukataa kuvaa barakoa. Ngoja tuone.
Ni kweli watu wenye matatizo ya afya Ulaya wanapewa budge wakiingia kwemye public transport bila barakoa wanaonyesha budge.
 
mkuu chawa wa marehemu na hasa sukumagang hawaamini kilichotokea hivyo lazima wamtetee na watafute namna ya kumpa sifa ambazo hakuwa nazo kabisaa.
 

Atrial Fibrillation (AFib) | Q&A​


Atrial fibrillation (AFib) is the most common heart rhythm abnormality, affecting more than 33 million people worldwide. Patients with AFib are at a higher risk of stroke if not properly treated. Watch Hugh Calkins, M.D., director of the Johns Hopkins Cardiac Arrhythmia Service, as he discusses the latest developments impacting AFib management, including a review of the recent guidelines, the latest techniques and strategies for stroke prevention. Learn more about the Johns Hopkins Heart and Vascular Institute by visiting http://www.hopkinsmedicine.org/heart_... Questions Answered:
1. What is atrial fibrillation? What causes it? 0:03
2. How is atrial fibrillation diagnosed? 0:41
3. Once atrial fibrillation is diagnosed, how should it be treated? 1:07
4. Are all people with atrial fibrillation at high risk of stroke? 1:59
5. What other approaches are available to lower the stroke risk in patients with atrial fibrillation? 3:14
6. What techniques are available to remove or occlude the atrial appendage? 4:17
7. How do you decide which approach to use for a given patient? 5:03
Source : Johns Hopkins Medicine
Source : Atrial fibrillation - Symptoms and causes
 
Hili la kutosafiri nje mbona linaeleweka kuwa aliwa hamudu kupanda ndege muda mrefu?
Kampeni za 2015 aliepuka usafiri wa helkopta alitumia mwishoni mwa kampeni.
 
Yeah, It all makes sense now. Serikali yake ilijawa na usiri mwingi, na sasa ni mengi tu mengine tutaanza kujasikia. Ingawa hili la maradhi ya moyo pia lilikuwa linasikika kama tetesi tu, na tetesi huwa zinakuaminika kichwa kichwa.
 
Mleta mada utapigwa ngumi humu ohooo we sema amekufa kwa covid maana hata angepigwa risasi bado wadau wangesema ile risasi ilikuwa na chembechembe za covid maana humu kuna madaktari waliompima, watabiri ... Kwa
nk nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…