Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
In all fairness, matatizo ya moyo si na yasiwe disqualification ya kugombea urais.Mimi simshangai bali namkubali kwa kitu kimoja. Akijuia kabisa ana shida ya moyo lakini bado alipata guts za kugombea nafasi ya juu kabisa katika utawala wa nchi yetu ...
Afu kuna pimbi nyingine zina complications ndogo tu kama BP na kisukari zinaogopa hata kuongoza vikao vya familia...
Nilikuwa namdis sana Magu, ila leo nimemvuia kofia rasmi...
Na ni wazi matatizo hayo hayakumzuia kufanya kazi.
Hakuna binadamu mwenye guarantee ya uhai sekunde ijayo, dakika ijayo, lisaa lijalo, siku ijayo, na kadhalika.
Hata kesho twaweza amka tukapata habari Mama Samia hatunaye tena.
Mi mwenyewe sina uhakika nitaamka nikiwa hai kesho. Na sina matatizo ya moyo wa kiafya niyajuayo.
Wewe una uhakika wa kuiona kesho Komredi?