Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Apumzike kwa Amani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakufika huko ametibiwa hapa hapa Tz na amefia hapa Tz na tutamzika hapa Tz kweli huyu alikuwa shujaa....
.kwani ni dhambi kufia Nairobi?
..si tunaweza kumsifia kuwa angeweza kwenda Ulaya kutibiwa lakini akaamua kutibiwa na Waafrika wenzake Nairobi?
Hata kuna wakati walimshauri "mzee vaa barakoa" ila yeye akasema hapana, sitavaa na hata walionizunguka sitaki wavae. Kwa kutojua kwetu hatukulalama.
Marehemu afufuke japo hata lisaa limoja asome hizi comment
Comments reservedPamoja na majonzi ya kuondokewa na mh. Rais lakini ni vema tukakumbuka maisha aliyoishi.
Magufuli kwa kutambua kwamba ana maradhi yasiyotibika alienda kupata kikombe Cha miujiza kwa Babu wa Liliondo . Baadae iligundulika kwamba kikombe kile ulikuwa usanii tu hivyo JPM aliendelea kuwa mgonjwa.
Pili kwa kutambua kwamba ana matatizo ya moyo- Magufuli Mara kadhaa amekuwa akijiepusha kushiriki katika masuala ya simanzi Kama misiba kwa sababu za kiafya.
Hi misiba ya karibuni hasa wa Balozi Kijazi bila Shaka ilimuathiri sana Magufuli.
Naamini si CORONA Wala Mabeberu
Alale salama.
Walete ushahidi huo. Taarifa zinazojulikana ni kwa Magufuli kwenda muhimbili JKI tarehe 28 Feb,..wanaodai amefia Nairobi nao wanasema wameambiwa na madaktari waliokuwa wakimtibu.
kwa nini unabisha hakuwa nairobi?Nairobi hakurudiki?kama alienda kimya kimya asingeweza kurudi kimya kimya?Ile misiba MFULULIZO ITAKUWA ILIMCHANGANYA.
hata alivyokuwa anakaa kwenye msiba wa kijazi ILIKUWA KUNA NAMNA .
ila mwanaume HUFA NA MAUMIVU YAKE.
ila wakenya ni waongo sana.
"Eti alikuwa nairobi."
Ng'ombe wa museven nyie
Kosa kubwa kuliko yote aliyoyafanya ni alipoidharau corona na kufuata ushauri wa Msukuma
Tulikuwa tunasema anajiamini nini au ameshachanjwa
Upuuzi huu uishe, baada ya mazishi tunapenda kinachowaua viongozi ni nini!Pamoja na majonzi ya kuondokewa na mh. Rais lakini ni vema tukakumbuka maisha aliyoishi.
Magufuli kwa kutambua kwamba ana maradhi yasiyotibika alienda kupata kikombe Cha miujiza kwa Babu wa Liliondo . Baadae iligundulika kwamba kikombe kile ulikuwa usanii tu hivyo JPM aliendelea kuwa mgonjwa.
Pili kwa kutambua kwamba ana matatizo ya moyo- Magufuli Mara kadhaa amekuwa akijiepusha kushiriki katika masuala ya simanzi Kama misiba kwa sababu za kiafya.
Hi misiba ya karibuni hasa wa Balozi Kijazi bila Shaka ilimuathiri sana Magufuli.
Naamini si CORONA Wala Mabeberu
Alale salama.
Mkuu elekeza lawama panapostaili. Kati yao nani alikuwa sahihi? Jiwe alitakiwa kuchukua ushauri wa Lissu bila kuleta ligi,usilete ligi kwenye kifo..Magufuli alikuwa anapenda "ligi" na wapinzani na Tundu Lissu.
..labda hao wangekuwa wanapinga barakoa, Magufuli akiamrisha kila Mtanzania awe anavaa barakoa.
..katika hili huenda wapinzani na Tundu Lissu wanastahili lawama.
Au nasema uongo ndugu zanguApumzike Kwa Amani
Marehemu Tusimjadili Sana
kwa nini unabisha hakuwa nairobi?Nairobi hakurudiki?kama alienda kimya kimya asingeweza kurudi kimya kimya?
wakati wa kampeni Kina Yericko walikuja na propaganda kuwa ana moyo wa plastikiNi kweli ugonjwa wake wa moyo niliwahi kusikia...kipindi chake cha kampeni 2015.
Alafu Mara ghafla likazimwa...!
Corona na ugonjwa wa moyo ni kama uji na mgonjwa,ukishakua na magonjwa sugu kama hili la jiwe na ukapigwa na coona hutoboi lazima parapanda italia tu.
Dokumenti za mhimbili unazo? halafu wakupe ushahidi wewe au nani mwingine anayeutaka?Alikuwa muhimbili akatoka.
Akaenda hapo mzena...
Kama wana uhakika magufuli alikuwa nairobi watoe.
kenya wanapenda sana kuzusha vitu vya tanzania.
Ng'ombe wa museveni hao
..walete ushahidi wa nini wakati umeshaamua kufunga akili yako?Walete ushahidi huo. Taarifa zinazojulikana ni kwa Magufuli kwenda muhimbili JKI tarehe 28 Feb,
harafu akeanda tena JKI tarehe 6 March, na mwishoni kupelekwa Mzena
Alichezea kamari maisha yake kwa sababu ya popularity ya kisiasa sasa imekula kwake let's move onRoho yangu ilimuonea sana huruma nilipomuona akiwa pua wazi ktk msiba wa kijazi, sincerely roho yangu iliuma nikajua sasa mzee hatakwepa haya maradyi na soon tu anaondoka na kwrli kaondoka.