Na wale wazee wa mi5 tena + aongezewe muda vipi? Wakati unapanga yako na ALLAH anapanga yake, marehemu hasemwi kwa mabaya dini inakatazaAmekaa aka 5 tu madarakani impact yake ya maendeleo tumeiona kwa macho.Mungu amlaze pema peponi......
Yy aliyemuumba alikuwa na makusudi yake jina lake lihimidiwe.....
wale wazee wa kuchonga ngenga mnaweza kuendelea haina kwere
Ndivyo walivyo Watanzania, kwa uongo, unafiki na uzandiki hawawezekani!..watu waliodai kuwa Magu ni mzima anachapa kazi ndio unawaamini?
Mbaya sana hii,waambieni mh.Rais avae barakoa sio sifaItakuwa ndiyo sababu ya yeye kukataa kuvaa barakoa, pumzi ilikuwa ndogo. Naona watu wake wanaiga kukataa kuvaa barakoa. Ngoja tuone.
Ukishakuwa mgonjwa wa moyo hauruhusiwi kuugua ugonjwa mwingine, kumbuka kuna magonjwa nyemelezi yanayowapata wadhaifu ikiwa pamoja na Korona.Pamoja na majonzi ya kuondokewa na mh. Rais lakini ni vema tukakumbuka maisha aliyoishi.
Magufuli kwa kutambua kwamba ana maradhi yasiyotibika alienda kupata kikombe Cha miujiza kwa Babu wa Liliondo . Baadae iligundulika kwamba kikombe kile ulikuwa usanii tu hivyo JPM aliendelea kuwa mgonjwa.
Pili kwa kutambua kwamba ana matatizo ya moyo- Magufuli Mara kadhaa amekuwa akijiepusha kushiriki katika masuala ya simanzi Kama misiba kwa sababu za kiafya.
Hi misiba ya karibuni hasa wa Balozi Kijazi bila Shaka ilimuathiri sana Magufuli.
Naamini si CORONA Wala Mabeberu
Alale salama.
Hizi pacemaker huwa zinahitaji kubadilishwa kila baada ya miaka 6 au 7 hivi.Magu alikuwa na matatizo ya mooyo tangu mwaka 1991 hivi. Tarehe 28 February 2021 aliposhauriwa na madakatari ajipe mapumziko asifanye kazi, yeye aliendelea kufanya kazi na hivyo kukiuka ushauri wa madsakari jambo ambalo linaweze kuwa limecost maisha yake. Mawaziri wote waliosema alikuwa akiendela na kazi walikuwa right, ila huenda bila kujua kuwa jamaa alikuwa akifanya kazi kinyume na ushauri wa madaktari wake
Kivipi.Kwa hiyo hata kuongea kiingereza kunaathiri moyo?
GOD BLESS LEMA ALIKUWA ANAJUA KUWA ATAFIA MADARAKANI.KIBURI KWISHA MAGUFULIKeshamaliza zamu yake, bado yako na yangu, tengeneza maisha yako kabla hujatembelewa na umauti, haitasaidia kumsema vibaya zamu zetu ziko palepale iwe Kwa magonjwa ama ajali ama vyovyote vile
Mwacheni apumzike Jembe
Aliingia kwenye kinyang'anyilo cha Uraisi Kwa miujiza, kafanya kazi zake nyingi na kubwa Kwa miujiza na ametutoka Kwa miujiza kwani hakuna aliyefahamu kuwa ataondoka
Mgonjwa wa moyo anakataa kuvaa barakoa lakini anapiga nyungu...ipi ni ya hatari zaidi kwa moyo?Ukishakuwa mgonjwa wa moyo hauruhusiwi kuugua ugonjwa mwingine, kumbuka kuna magonjwa nyemelezi yanayowapata wadhaifu ikiwa pamoja na Korona.
Mbona mnahangaika sana!
..endelea kuwaamini majaliwa, kipilimba, na chalamila.Speculation tupu. watu nilioongea nao Mhimbili kabla JPM hajaenda kulazwa Mzena wana taarifa tofauti kabisa na hizi za uzushi.
Tunaruhusiwa Ku plan for our future.....Na wale wazee wa mi5 tena + aongezewe muda vipi? Wakati unapanga yako na ALLAH anapanga yake, marehemu hasemwi kwa mabaya dini inakataza
Hata huyo Kenyatta kuna kipindi fulani huko nyuma alikuwa akipanda ndege kabla ya kushauriwa kuacha kwa sababu za kiafya.Huyo alikuwa yeye
Mbona Magufuli alikuwa anapanda sana, mwenyewe alisema amekwenda nchi nyingi sana Ulaya ikiwemo Canada, Ujeremani, Uingereza nk
Pamoja na majonzi ya kuondokewa na mh. Rais lakini ni vema tukakumbuka maisha aliyoishi.
Magufuli kwa kutambua kwamba ana maradhi yasiyotibika alienda kupata kikombe Cha miujiza kwa Babu wa Liliondo . Baadae iligundulika kwamba kikombe kile ulikuwa usanii tu hivyo JPM aliendelea kuwa mgonjwa.
Pili kwa kutambua kwamba ana matatizo ya moyo- Magufuli Mara kadhaa amekuwa akijiepusha kushiriki katika masuala ya simanzi Kama misiba kwa sababu za kiafya.
Hi misiba ya karibuni hasa wa Balozi Kijazi bila Shaka ilimuathiri sana Magufuli.
Naamini si CORONA Wala Mabeberu
Alale salama.
Yawezekana ikawa kweliJe, yawezekana pia hayo matatizo yake ya moyo ndo yaliyomfanya asiwe anasafiri sana hususan nchi za nje?
Manake wakati mwingine ujinga unaweza ukamfanya mtu amhukumu kimakosa mtu mwingine.
Sisi tulikuwa tukitania ni kwa sababu alikuwa haongei vizuri Kiingereza na ndo maana alikuwa hasafiri sana kwenda nchi za nje.
Nimelifikiria sana hili suala na naona lina make sense.
Dah! I wish I knew he had some serious heart problems.
At least nimeongea na daktari mmoja pale JKI kabla ya kuandika hapa; mimi sisomi twitts na tabloids za Kenya...endelea kuwaamini majaliwa, kipilimba, na chalamila.
..sisi tunawaamini waliotushtua kuwa anaumwa na kuwa amepelekwa Nairobi.
Tuliaminishwa ndani ya msikiti siku ya Ijumaa kuwa yuko ofisini anachapa kazi na mpaka sasa hawajakanusha.Mgonjwa wa moyo anakataa kuvaa barakoa lakini anapiga nyungu...ipi ni ya hatari zaidi kwa moyo?
Inashangaza kidogo kwamba rais Mkapa alikuja kurekebisha chaos iliyoachwa na Mwinyi, na JPM akaja kurekebisha chaos iliyoachwa na JK. Mi binafsi nauona ubora wa rais Magufuli katika kufikiri kwake nje ya box. Na hilo ndilo lililomtofautisha na Mkapa. Mkapa alijenga institutions, lakini kama ni mfuatiliaji wa mambo, utagundua kuwa wanaoitwa "washirika" wetu huko nje pia walitaka (na walikuwa wakitushawishi) tuweke hizo institutions, ili uporaji wao upate uhalali wa kisheria. Kwa mfano, kwa bepari mnyonyaji, ni rahisi kudeal na semi autonomous agencies za serikali zinazodeal na madini (wakideal na mkurugenzi wa hiyo taasisi na watu flan flan mifukoni mwao, wakasign contract kwa niaba ya serikali, inakuwa imekwisha hiyo).Sawa amefanya kwa sehemu yake ila naamini alikuwa hajamfikia mzee Mkapa.
Kama ni mfuatiliaji pitia uhalisia wa hali aliyoikuta nchi yetu na alikoiacha, usisahau kupitia reform program zote alizoanzisha na matokeo yake!.
Yawezekana yeye alikuwa sababu zake za kiafyaItakuwa ndiyo sababu ya yeye kukataa kuvaa barakoa, pumzi ilikuwa ndogo. Naona watu wake wanaiga kukataa kuvaa barakoa. Ngoja tuone.
Watu walio vulnerable ni wa hali ya chini, save ilianza kwa kuangusha figure kubwa kubwa za nyumba kuu, Wales wenye uwezo wa kufanya chochote kupambania uhai wao.Corona wengi waliomzunguka imewaua na mlinzi wake tunaambiwa, amefia Nairobi walikokua wanauguzana.
Moyo mbovu unapona vipi Corona
Huyo daktari anasemaje kuhusu hatari ya kupiga nyungu kwa mgonjwa wa moyo?At least nimeongea na daktari mmoja pale JKI kabla ya kuandika hapa; mimi sisomi twitts na tabloids za Kenya.