Hayati Magufuli alionesha mara kadhaa kuwa ni mgonjwa wa moyo

Hayati Magufuli alionesha mara kadhaa kuwa ni mgonjwa wa moyo

Pamoja na majonzi ya kuondokewa na Mh. Rais lakini ni vema tukakumbuka maisha aliyoishi.

Magufuli kwa kutambua kwamba ana maradhi yasiyotibika alienda kupata kikombe cha miujiza kwa Babu wa Liliondo . Baadaye iligundulika kwamba kikombe kile ulikuwa usanii tu hivyo JPM aliendelea kuwa mgonjwa.

Pili kwa kutambua kwamba ana matatizo ya moyo- Magufuli Mara kadhaa amekuwa akijiepusha kushiriki katika masuala ya simanzi Kama misiba kwa sababu za kiafya.

Hii misiba ya karibuni hasa wa Balozi Kijazi bila Shaka ilimuathiri sana Magufuli.

Naamini si CORONA Wala Mabeberu

Alale salama.

Corona huwa na mahaba na wenye magonjwa mengine.

Kuwa alikuwa na ugonjwa wa moyo hakuondoi kuwa ni possible victim wa corona.

Tusifanye mchezo barakoa zaweza tuokoa.
 
Kila alipotokea hadharani alikua na feni nyuma yake. Hakua anasimama muda mrefu. Na inawezekana miguu yake ilikua inavimba kila mara ndiyo maana alikua na muda mwingi wa kufanyia kazi Chato akiwa amepumzika.

Hii inawezekana kabisa. Kule kukaa Chato for months haikuwa bure. Ila ugonjwa ni siri ya mgonjwa na daktari
 
Unapolinganisha ubunge na urais mpaka hapo napata shaka kama tunaweza kujadiliana kwa sawa, kwa sababu unalinganisha vitu visivyolingana.

Apples to oranges my dude.

Kanuni muhimu kabisa ya kulinganisha vitu ni kulinganisha vitu vinavyolingana.

Linganisha urais na urais, si ubunge na urais.
Let’s do it.

1. Was it selfish for Tundu Lissu to run for President in 2020?

2. Did Magufuli know he was going to die on March 17[if you believe that’s when he died]?

3. Presidents aren’t supposed to die while in office?

4. If Samia dies of a massive heart attack while still in office, would you fault her for being selfish?

5. Is a pre-existing health condition a disqualification for running for president?
 
Hapana, ni kweli hakwenda nje ya bara kupunguza gharama! Safari za humu ndani zilikuwa na tija kwa kugundua mapungufu na kuyatatua pale pale! Sio kweli kuwa alidhindwa kwenda nje kea sababu za kiafya! Sababu ilikuwa gharama na usalama wake kwa nature ya vita aliyokuwa anaiongoza kupigana!
Tofauti na JK, yy hakuwa na dira wala vita dhidi ya yeyeto! Hivyo safari za bata zilijaa!
..kama ilikuwa siyo salama yeye kwenda nje kwasababu nchi ilikuwa ktk vita na mabeberu, mbona alikuwa akiwatuma makamu na waziri mkuu kumuwakilisha huko nje? ina maana ni hatari kwa raisi, lakini salama kwa makamu na waziri mkuu?
 
Hii block kitaalamu inaitwa "njia ya muongo fupi".
 
Let’s do it.

1. Was it selfish for Tundu Lissu to run for President in 2020?

2. Did Magufuli know he was going to die on March 17[if you believe that’s when he died]?

3. Presidents aren’t supposed to die while in office?

4. If Samia dies of a massive heart attack while still in office, would you fault her for being selfish?

5. Is a pre-existing health condition a disqualification for running for president?

1. Yes.I personally did not wish to see a struggling cripple everyday as the Tanzanian president. Especially if there are other able bodied people qualified for the job.He could have done something else that is less taxing on his body. I am being brutally honest here with no regard to political correctness.

2. No. But irrelevant. Death is not even a determining factor.

3. Again. Death is irrelevant here. Just a sickly disposition is enough to disqualify.

4. Again. Death is irrelevant. If she has a serious illness that limits her capacity to work as a president and she is hiding it from us, I will fault her for that even if she does not die in office.

5. If it is as serious as Magufuli’s, limiting a president from international travel, then yes.

Magufuli was a very selfish man.

He was so selfish he did not even care for his health.

He just wanted to be president and run the show.

A person with that serious a heart condition should not aspire to a rigorously taxing office such as the presidency.

That is just tempting fate for an early demise.
 
tuna rule out kwa sababu tunafahamu fika kuhusu uhusiano mkubwa uliopo kati ya depression/stress na matatizo ya moyo...
Basi covid ilikuja Kumalizia
Yaan Covid ni Finisher
 
Je, yawezekana pia hayo matatizo yake ya moyo ndo yaliyomfanya asiwe anasafiri sana hususan nchi za nje?

Manake wakati mwingine ujinga unaweza ukamfanya mtu amhukumu kimakosa mtu mwingine.

Sisi tulikuwa tukitania ni kwa sababu alikuwa haongei vizuri Kiingereza na ndo maana alikuwa hasafiri sana kwenda nchi za nje.

Nimelifikiria sana hili suala na naona lina make sense.

Dah! I wish I knew he had some serious heart problems.
Ajitokeze daktari atuelimishe madhara ya safari za anga kwenye umeme wa moyo.
 
... halafu hakupenda sana kusafiri nje ya nchi hususan long safaris; kwanza uchovu kwenye midege; pili maswali ya maudhi ambayo angeulizwa yangemuumiza sana! Mliokuwa mnahoji kwanini Magufuli alikuwa hasafiri jibu ndio hilo hayo mengine uzushi!
Yeye alisema ...safari Hazina manufaa!
 
Apumzike kwa amani.

Ni kama vile ameondoka vizuri kiduchu. Maana alienda Morogoro kuzindua Soko kuu, akasamehe wale watumishi waliokuwa wanakula ela za vizinda (Hakuwatumbua akawaagiza warudishe fedha walizokuwa wanachukua). Akawashukuru watu wa Moro kwa kumpa kura nyingi kuliko mikoa yote

Kisha akarudi Dar kufungua Stendi mpya akakubali kuacha alama ya Jina lake litumike. Akakumbuka kuwaombea wamachinga waendelee kuwepo kwenye hiyo stand. Hizo zote ni baraka ambazo zitamsaidia apokelewe vizuri na kiongozi wa Malaika.

Kuhusu ugojwa, alianza kuwapoteza baadhi ya wasaidizi wake kwa Ugonjwa wa shida ya kupumua hivyo sishangai hata yeye aliyekuwa na matatizo ya moyo kuugua. RIP
Umenipotezea muda wewe!
 
Je, yawezekana pia hayo matatizo yake ya moyo ndo yaliyomfanya asiwe anasafiri sana hususan nchi za nje?

Manake wakati mwingine ujinga unaweza ukamfanya mtu amhukumu kimakosa mtu mwingine.

Sisi tulikuwa tukitania ni kwa sababu alikuwa haongei vizuri Kiingereza na ndo maana alikuwa hasafiri sana kwenda nchi za nje.

Nimelifikiria sana hili suala na naona lina make sense.

Dah! I wish I knew he had some serious heart problems.
Kuna wakati chuo kikuu Dae es Salaam ili atibiwe moyo akiwa mwanafunzi wa Masters
 
Pamoja na majonzi ya kuondokewa na Mh. Rais lakini ni vema tukakumbuka maisha aliyoishi.

Magufuli kwa kutambua kwamba ana maradhi yasiyotibika alienda kupata kikombe cha miujiza kwa Babu wa Liliondo . Baadaye iligundulika kwamba kikombe kile ulikuwa usanii tu hivyo JPM aliendelea kuwa mgonjwa.

Pili kwa kutambua kwamba ana matatizo ya moyo- Magufuli Mara kadhaa amekuwa akijiepusha kushiriki katika masuala ya simanzi Kama misiba kwa sababu za kiafya.

Hii misiba ya karibuni hasa wa Balozi Kijazi bila Shaka ilimuathiri sana Magufuli.

Naamini si CORONA Wala Mabeberu

Alale salama.
Yeye alikuwa na kinga ganil ili asipate corona??
 
Km alikua mgomjwa muda mrefu alipataje phd yake? Ndio maana alipohojiwa uhalali wa phd yake na Ben Saanane akampotea ghafla mpaka leo.......

Tundu Lissu wkt wa kampeni alisema waziwazi kua huyu bwan ni mgonjwa na akawaomba madaktari wake waseme ukweli maama alikua anafanya kampeni siku 2 anapumzika siku 5 na baada ya hapo akaamua kuratibu uporaji wa kura na kujitangaza mshindi kinyume cha matakwa ya watz
 
Kosa kubwa kuliko yote aliyoyafanya ni alipoidharau corona na kufuata ushauri wa joseph Msukuma

Tulikuwa tunasema anajiamini nini au ameshachanjwa?
Mlinzi wake wanaesema kafa kaonekana leo mzima wa buheri ya afya.....
 
Hii block kitaalamu inaitwa "njia ya muongo fupi".

..Magu anakwambia yuko ktk vita na mabeberu lakini anaishi kwa msaada wa pacemaker iliyotengenezwa na mabeberu. kwa kweli tanzania yetu huwa haiishi maajabu.
 
Corona wengi waliomzunguka imewaua na mlinzi wake tunaambiwa, amefia Nairobi walikokua wanauguzana.
Moyo mbovu unapona vipi Corona
Acha uongo mlinzi yupi na lini alienda Nairobi sijui kwa nini mnamuamini yule mwehu wenu wa Ubelgiji akiwalisha upumbavu
 
Je, yawezekana pia hayo matatizo yake ya moyo ndo yaliyomfanya asiwe anasafiri sana hususan nchi za nje?

Manake wakati mwingine ujinga unaweza ukamfanya mtu amhukumu kimakosa mtu mwingine.

Sisi tulikuwa tukitania ni kwa sababu alikuwa haongei vizuri Kiingereza na ndo maana alikuwa hasafiri sana kwenda nchi za nje.

Nimelifikiria sana hili suala na naona lina make sense.

Dah! I wish I knew he had some serious heart problems.
Alipokwenda Malawi na Namibia sliongea Kisukuma?
 
Mbona tangu mwanzo mlifanya siri kuhusu huo ungonjwa wa umeme?
 
Back
Top Bottom