Pamoja na majonzi ya kuondokewa na Mh. Rais lakini ni vema tukakumbuka maisha aliyoishi.
Magufuli kwa kutambua kwamba ana maradhi yasiyotibika alienda kupata kikombe cha miujiza kwa Babu wa Liliondo . Baadaye iligundulika kwamba kikombe kile ulikuwa usanii tu hivyo JPM aliendelea kuwa mgonjwa.
Pili kwa kutambua kwamba ana matatizo ya moyo- Magufuli Mara kadhaa amekuwa akijiepusha kushiriki katika masuala ya simanzi Kama misiba kwa sababu za kiafya.
Hii misiba ya karibuni hasa wa Balozi Kijazi bila Shaka ilimuathiri sana Magufuli.
Naamini si CORONA Wala Mabeberu
Alale salama.
Corona huwa na mahaba na wenye magonjwa mengine.
Kuwa alikuwa na ugonjwa wa moyo hakuondoi kuwa ni possible victim wa corona.
Tusifanye mchezo barakoa zaweza tuokoa.