Mapensho star
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,052
- 4,104
🤣🤣Kwa hiyo yeye ndiye alileta neema hizo zote?😝😝😝😝😝
Duh...Mwendazake upande wa kushoto alishika msalaba, upande wa kulia alishika kisu. Hakuna chochote zaidi ya unafiki tu.
Huku unafitini watu wasipate kazi, huku unasema tufunge macho tusali
Maisha yaendelee.....Kwa taarifa yako njaa hakuna chakula kipo ni ukame tu unaotusumbua ambao whether Magufuli angekuepo hana ambacho angefanya.
Tusilazimishe utukufu wa Magufuli just accept kua ametangulia and move on na maisha yako.
Jamaa ni "hopuresi" sana!😝😝😝😝😝
We bhana wee!!Na maovu yamezidi sana ukiingia huko Instagram utaona jinsi dada zetu wanachofanya ingia telegram laana tupu mashoga wameamua kujionesha wazi bila kificho ni halali kabisa mvua kushindwa kunyesha
Ukisoma kitabu Cha mfalme suleimani mithali inaonesha wazi watu wanaofanya maovu watu wasiotaka kusikiliza maonyo hunyimwa ufahamu na maarifa
Mithali 15:32-33
Stupid!The man of God is gone with everything.
Mungu, alimtanguliza mbele Mungu.Kwa hiyo yeye ndiye alileta neema hizo zote?[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Chuki zitakuua mpumuliwa kisogoni, binadamu hafi, anafariki...hutoishi milele.Ameshakufa na hawezi kurudi
Magufuli sio Mungu
Kwa hiyo Tangu afe, Watu hawaombi tena? Acha ufala
Kabla hajawa Rais, watu walikuwa hawaombi Mungu?
Saa hizi atakuwa anaomba maji tu.Nasikia motoni kuna joto sana.Mungu, alimtanguliza mbele Mungu.
Huwa sijibishani na wapumuliwa visogoni mie..Saa hizi atakuwa anaomba maji tu.Nasikia motoni kuna joto sana.
Mbona unachukia kwa ghafla sana muhishimiwa?Au una mimba muhishimiwa?Huwa sijibishani na wapumuliwa visogoni mie..
Angalia Miaka mitano iliyopita Hali ya hewa Afrika ya Mashariki yote Mvua zilinyesha vizuri.
Kwahiyo mtazamo wako wa Kishamba ina maana Uhuru,Mseveni,Kagame nao ni Watakatifu kama huyo Chizi wako?
Yeye ndio alianza chuki kwa Kikwete, na kuleta ubaguziChuki zitakuua mpumuliwa kisogoni, binadamu hafi, anafariki...hutoishi milele.
Huyo amewehuka, bora amfuate huko chattle akazikwe naeMbona unachukia kwa ghafla sana muhishimiwa?Au una mimba muhishimiwa?