Hayati Magufuli alipokuwa hai hakukuwa na uhaba wa mvua na ukame nchini kama sasa

Magufuli angekuwa mtu mzuri angeunda system ndo ifanye kazi si one man show..yeye akawa anakimbilia kujiwekea mfumo wa kutawala mpk afe.
Ccm ndo laana kwa taifa ili so chakufanya nikuiondoa ili tusonge mbele yaan karne ya 21 watu tunalilia maji kwel?
Ok! by the way tumeachive nn kama taifa cha kuwa proud nacho 100%? HAKUNA..
•Elimu ni ya mkoloni..
•Maji ya kubaatisha..
•Umeme kero tu?
•Afya kama auna cash ya kutosha imekula kwako..
SO DISGUSTING!
 
Mathayo 7:21-23
 
Unachanganya mambo system ni society siyo mtu.

Mtu hawezi kuunda system bali society inaunda system.
 
Mcha Mungu anaweza kweli kuua mtu, acha masikhara wewe rudi kalinde kaburi la huyo mungu wenu anayekufa.
 
Na kama kweli wewe mcha Mungu tumekatazwa kulalamika!wewe binafsi umechukua hatua gani ku rescue situation je umefunga na kuomba hata siku moja?
 
Mwenye kukumbuka nijuze.

Maana kwa kumbukumbu zangu finyu ndani ya Utawala wa JPM pia nyakati ngumu na kame zilikuwapo lkn hatukushudia haya ya leo.

Jamaa alikuwa katili sana lkn lilipokuja suala la uzembe kazini aliwanyoosha wazembe wote.

RIP JPM.
 
Aisee nimeamini marehemu si tu aliogopwa na wananchi wake bali pia nahisi hata mvua ilikuwa inamuoga ndiyo maana ilikuwa inanyesha tu bila mpangilio wowote.

Mara January,Oktoba hadi Juni ilikuwa inatandika tu 😂.

Haya sasa kulekule yaani hata manyunyu yanatudindia 😥.
 
Mwaka huu raisi mzanzibari mitanganyika kila kitu inalaumu, sasa mvua analeta Raisi au analeta MUNGU?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…