Hayati Magufuli alipokuwa hai hakukuwa na uhaba wa mvua na ukame nchini kama sasa

Fara ww ina maana huwajui, Ben sa8 yuko wapi? kikosi cha wasiojulikana kilikuwa na kaz gan? Mbona siku hakipo?
Umeambiwa taja watu 10 unaowajua waliouwawa ktk utawala wa Magufuri,wwe unaanza kutema povu,huyo Ben Saanane anajulikana hata Kubenea alipokuwa bado chadema, aliisha wahi sema,kuwa Ben Saanane anaonekana mitaani,hapo hatujui ninini kilichotokea mpaka anapotezwa daiwa,mfuateni Kubenea atakueleza abari za Saanane
 
Mcha Mungu Magufuli alipokuwa hai hakukuwa na uhaba wa mvua na ukame nchini Kama sasa

Kuondoka tu mcha Mungu Magufuli nchi ukosefu wa mvua kila Kona ni ukame nchi nzima na tishio la njaa kila kona ya nchi hali ya hewa vipimo vyao vinaona ukame,ukosefu wa mvua na njaa tu inayokuja

Mwenyewe mcha Mungu angekuwepo haya yasingekuwepo

Serikali badala ya kuitisha maombi wanaenda kuhudhuria mkutano wa Mabadiliko ya Tabia nchi kuomba pesa kwa wazungu kwani pesa zaweza leta mvua msimu huu?

Magufuli angeshaitisha maombi ya kitaifa lakini kwa kuwa alikuwa mcha Mungu, Mungu alihakikisha kipindi chake mvua ipo ya kutosha ,ukame haupo na njaa haipo pamoja na yeye kutohudhuria mkutano wowote wa Mabadiliko ya Tabia nchi popote duniani.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] aseee usiku wangu umekua mororooo kabisa! Dah huu ndo unaitwa ubunifu wa uzi sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Umeambiwa taja watu 10 unaowajua waliouwawa ktk utawala wa Magufuri,wwe unaanza kutema povu,huyo Ben Saanane anajulikana hata Kubenea alipokuwa bado chadema, aliisha wahi sema,kuwa Ben Saanane anaonekana mitaani,hapo hatujui ninini kilichotokea mpaka anapotezwa daiwa,mfuateni Kubenea atakueleza abari za Saanane
Huyo hajui kazi yake kuropoka hapa mambo mengine ya vyombo vya ulinzi na usalama!
 
Mcha Mungu Magufuli alipokuwa hai hakukuwa na uhaba wa mvua na ukame nchini Kama sasa

Kuondoka tu mcha Mungu Magufuli nchi ukosefu wa mvua kila Kona ni ukame nchi nzima na tishio la njaa kila kona ya nchi hali ya hewa vipimo vyao vinaona ukame,ukosefu wa mvua na njaa tu inayokuja

Mwenyewe mcha Mungu angekuwepo haya yasingekuwepo

Serikali badala ya kuitisha maombi wanaenda kuhudhuria mkutano wa Mabadiliko ya Tabia nchi kuomba pesa kwa wazungu kwani pesa zaweza leta mvua msimu huu?

Magufuli angeshaitisha maombi ya kitaifa lakini kwa kuwa alikuwa mcha Mungu, Mungu alihakikisha kipindi chake mvua ipo ya kutosha ,ukame haupo na njaa haipo pamoja na yeye kutohudhuria mkutano wowote wa Mabadiliko ya Tabia nchi popote duniani.

Peleka sifa za kujnga, 2016 kulikuwa na ukame wa ajabu, mpaka akawa anaongea kwa kejeli kuwa mtu abadilishane ng'ombe watatu na debe la mahindi. Au mnadhani tuna ubongo mdogo kama nyie na hatuwezi kukumbuka chochote?
 
Kwa hiyo unataka kusema alikufa na mvua?
 
Kwani ukame umeanza juzi baada ya mabadiliko ya hali ya hewa? Unasomaga biblia au quran kweli wewe? Mvua inaendana na Baraka pia! Baraka zimepungua hili mkubali mkatae JPM alikuwa Mtu wa Mungu!
Kuna watu wanawivu JPM akiongelewa vizuri, roho zinawauma. Wanajifanya wao ndo wanao hukumu. Nitasema siku zote, Mungu pekee ndiye mwenye uwezo wa kuhukumu. Ndiye anaweza tazama ndani ya mioyo ya wanadamu na kujua wanayoyafikiria, kama ni mabaya au Mazuri. Mtamsema sana JPM, lakini huyu mtu alimtanguliza Mungu. Aliwafanya watanzania wampende Mungu, waislamu kwa wakristo walimuomba Mungu.
Leo Mungu tumemuweka pembeni hatutaki kumtaja, tunajifanya tunatanguliza nchi mbele badala ya Mungu. Siri moja ya Taifa la Marekani kuwa na nguvu duniani wanamtanguliza Mungu kwa mambo mengi.
Kabla ya uchaguzi, 2025, Tanzania itapata pigo kubwa. Subirini! Mungu hadhihakiwi! Mungu upenda kusifiwa na kuabudiwa! Ipo siku inakuja, kuna jambo kubwa litatokea na watu watapigwa na butwaa!
 
Wanasema kila kitabu na zama zake. Lakini kweli utawala wa JPM ulikuwa na neema ya mvua. Sijui ni kwa mapenzi ya Mungu au alibebwa na majila.

Huyu mama sijajua Neema ya uongozi wake nini au ndiyo hili jua na joto!!
Binadamu tumeumbiwa kusahau.

Walishakatazwa kutangaza kuwa sehemu fulani kuna njaa. Ilikuwa inakula kwa RC,DC hadi DED.

Sema pia Magu kuzuia kusafirisha chakula nje ya nchi nayo ilisaidia kufanya chakula kiwe cha kutosha ndani.

Lakini kiliwaumiza watu.
 
Mcha Mungu Magufuli alipokuwa hai hakukuwa na uhaba wa mvua na ukame nchini Kama sasa

Kuondoka tu mcha Mungu Magufuli nchi ukosefu wa mvua kila Kona ni ukame nchi nzima na tishio la njaa kila kona ya nchi hali ya hewa vipimo vyao vinaona ukame,ukosefu wa mvua na njaa tu inayokuja

Mwenyewe mcha Mungu angekuwepo haya yasingekuwepo

Serikali badala ya kuitisha maombi wanaenda kuhudhuria mkutano wa Mabadiliko ya Tabia nchi kuomba pesa kwa wazungu kwani pesa zaweza leta mvua msimu huu?

Magufuli angeshaitisha maombi ya kitaifa lakini kwa kuwa alikuwa mcha Mungu, Mungu alihakikisha kipindi chake mvua ipo ya kutosha ,ukame haupo na njaa haipo pamoja na yeye kutohudhuria mkutano wowote wa Mabadiliko ya Tabia nchi popote duniani.
Aliyekuloga kakukomesha kweli !
 
JPM alikuwa ni mtu mwenye imani thabiti, kipindi cha corona tulishuhudia baadhi ya maaskofu wakijawa hofu na imani za kutetereka juu ya uwezo wa Mungu, lakini JPM mpaka anakufa alimwani Mungu ndio muweza wa yote.

Na hii ndio inathibitisha kuwa JPM alichukiwa na waovu kuliko watu wema, na ndio maana kipindi cha uongozi wake nchi ilitulia, kulikuwa na chakula cha kutosha, mvua za kutosha, umeme wa kutosha,
samaki ziwa victoria waliongezeka, uovu na ujambazi nchini ulipotea, waliojaribu kuvuruga amani ya anchi cha moto walikiona.
 
Mtu aliyekula fedha za Tetemeko la Kagera, na kuwalaumu kuwa limesababishwa na Kijiji cha Katerero na Mto ngono🤔
Ile shule ya kisasa Ihungo imejengwa na fedha zako? Unapiga kelele hapo pengine hata kuchanga hukuchanga.
 
Peleka sifa za kujnga, 2016 kulikuwa na ukame wa ajabu, mpaka akawa anaongea kwa kejeli kuwa mtu abadilishane ng'ombe watatu na debe la mahindi. Au mnadhani tuna ubongo mdogo kama nyie na hatuwezi kukumbuka chochote?
Kulikiwa na harufu ya utawala wa JK fisadi na mwizi mkubwa! Kubali ukatae wakati wa Magufuli mvua ilikuwa tele na chakula tele! Subiri mwaka huu kama hujanunu mchele sokoni elfu tatu kwa kilo utaniambia!
 
Back
Top Bottom