mtumishiwaleo
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 1,477
- 1,725
Umeambiwa taja watu 10 unaowajua waliouwawa ktk utawala wa Magufuri,wwe unaanza kutema povu,huyo Ben Saanane anajulikana hata Kubenea alipokuwa bado chadema, aliisha wahi sema,kuwa Ben Saanane anaonekana mitaani,hapo hatujui ninini kilichotokea mpaka anapotezwa daiwa,mfuateni Kubenea atakueleza abari za SaananeFara ww ina maana huwajui, Ben sa8 yuko wapi? kikosi cha wasiojulikana kilikuwa na kaz gan? Mbona siku hakipo?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] aseee usiku wangu umekua mororooo kabisa! Dah huu ndo unaitwa ubunifu wa uzi sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mcha Mungu Magufuli alipokuwa hai hakukuwa na uhaba wa mvua na ukame nchini Kama sasa
Kuondoka tu mcha Mungu Magufuli nchi ukosefu wa mvua kila Kona ni ukame nchi nzima na tishio la njaa kila kona ya nchi hali ya hewa vipimo vyao vinaona ukame,ukosefu wa mvua na njaa tu inayokuja
Mwenyewe mcha Mungu angekuwepo haya yasingekuwepo
Serikali badala ya kuitisha maombi wanaenda kuhudhuria mkutano wa Mabadiliko ya Tabia nchi kuomba pesa kwa wazungu kwani pesa zaweza leta mvua msimu huu?
Magufuli angeshaitisha maombi ya kitaifa lakini kwa kuwa alikuwa mcha Mungu, Mungu alihakikisha kipindi chake mvua ipo ya kutosha ,ukame haupo na njaa haipo pamoja na yeye kutohudhuria mkutano wowote wa Mabadiliko ya Tabia nchi popote duniani.
Huyo hajui kazi yake kuropoka hapa mambo mengine ya vyombo vya ulinzi na usalama!Umeambiwa taja watu 10 unaowajua waliouwawa ktk utawala wa Magufuri,wwe unaanza kutema povu,huyo Ben Saanane anajulikana hata Kubenea alipokuwa bado chadema, aliisha wahi sema,kuwa Ben Saanane anaonekana mitaani,hapo hatujui ninini kilichotokea mpaka anapotezwa daiwa,mfuateni Kubenea atakueleza abari za Saanane
Mcha Mungu Magufuli alipokuwa hai hakukuwa na uhaba wa mvua na ukame nchini Kama sasa
Kuondoka tu mcha Mungu Magufuli nchi ukosefu wa mvua kila Kona ni ukame nchi nzima na tishio la njaa kila kona ya nchi hali ya hewa vipimo vyao vinaona ukame,ukosefu wa mvua na njaa tu inayokuja
Mwenyewe mcha Mungu angekuwepo haya yasingekuwepo
Serikali badala ya kuitisha maombi wanaenda kuhudhuria mkutano wa Mabadiliko ya Tabia nchi kuomba pesa kwa wazungu kwani pesa zaweza leta mvua msimu huu?
Magufuli angeshaitisha maombi ya kitaifa lakini kwa kuwa alikuwa mcha Mungu, Mungu alihakikisha kipindi chake mvua ipo ya kutosha ,ukame haupo na njaa haipo pamoja na yeye kutohudhuria mkutano wowote wa Mabadiliko ya Tabia nchi popote duniani.
Kwa hiyo unataka kusema alikufa na mvua?Mcha Mungu Magufuli alipokuwa hai hakukuwa na uhaba wa mvua na ukame nchini Kama sasa
Kuondoka tu mcha Mungu Magufuli nchi ukosefu wa mvua kila Kona ni ukame nchi nzima na tishio la njaa kila kona ya nchi hali ya hewa vipimo vyao vinaona ukame,ukosefu wa mvua na njaa tu inayokuja
Mwenyewe mcha Mungu angekuwepo haya yasingekuwepo
Serikali badala ya kuitisha maombi wanaenda kuhudhuria mkutano wa Mabadiliko ya Tabia nchi kuomba pesa kwa wazungu kwani pesa zaweza leta mvua msimu huu?
Magufuli angeshaitisha maombi ya kitaifa lakini kwa kuwa alikuwa mcha Mungu, Mungu alihakikisha kipindi chake mvua ipo ya kutosha ,ukame haupo na njaa haipo pamoja na yeye kutohudhuria mkutano wowote wa Mabadiliko ya Tabia nchi popote duniani.
RIP Ben Saanane
Rekodi zipo (hatujasahau)RIP Ben Saanane
Kuna watu wanawivu JPM akiongelewa vizuri, roho zinawauma. Wanajifanya wao ndo wanao hukumu. Nitasema siku zote, Mungu pekee ndiye mwenye uwezo wa kuhukumu. Ndiye anaweza tazama ndani ya mioyo ya wanadamu na kujua wanayoyafikiria, kama ni mabaya au Mazuri. Mtamsema sana JPM, lakini huyu mtu alimtanguliza Mungu. Aliwafanya watanzania wampende Mungu, waislamu kwa wakristo walimuomba Mungu.Kwani ukame umeanza juzi baada ya mabadiliko ya hali ya hewa? Unasomaga biblia au quran kweli wewe? Mvua inaendana na Baraka pia! Baraka zimepungua hili mkubali mkatae JPM alikuwa Mtu wa Mungu!
Lete ushahidi mbona huwa mnaishia kusema hivyo tu.¡Watu walikuwa wanatekwa na kuuwawa kila siku nayo ilikuwa ni Neema na baraka sana.
Ndiyo maana unatumia teknoMcha Mungu gani huku alikuwa hafati katiba na watu kukutwa kwenye viroba?
Unafiki ni janga nchi hii
Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app
Watu walikuwa wanatekwa na kuuwawa kila siku nayo ilikuwa ni Neema na baraka sana.
Mtu aliyekula fedha za Tetemeko la Kagera, na kuwalaumu kuwa limesababishwa na Kijiji cha Katerero na Mto ngono[emoji848]
Binadamu tumeumbiwa kusahau.Wanasema kila kitabu na zama zake. Lakini kweli utawala wa JPM ulikuwa na neema ya mvua. Sijui ni kwa mapenzi ya Mungu au alibebwa na majila.
Huyu mama sijajua Neema ya uongozi wake nini au ndiyo hili jua na joto!!
Aliyekuloga kakukomesha kweli !Mcha Mungu Magufuli alipokuwa hai hakukuwa na uhaba wa mvua na ukame nchini Kama sasa
Kuondoka tu mcha Mungu Magufuli nchi ukosefu wa mvua kila Kona ni ukame nchi nzima na tishio la njaa kila kona ya nchi hali ya hewa vipimo vyao vinaona ukame,ukosefu wa mvua na njaa tu inayokuja
Mwenyewe mcha Mungu angekuwepo haya yasingekuwepo
Serikali badala ya kuitisha maombi wanaenda kuhudhuria mkutano wa Mabadiliko ya Tabia nchi kuomba pesa kwa wazungu kwani pesa zaweza leta mvua msimu huu?
Magufuli angeshaitisha maombi ya kitaifa lakini kwa kuwa alikuwa mcha Mungu, Mungu alihakikisha kipindi chake mvua ipo ya kutosha ,ukame haupo na njaa haipo pamoja na yeye kutohudhuria mkutano wowote wa Mabadiliko ya Tabia nchi popote duniani.
Ile shule ya kisasa Ihungo imejengwa na fedha zako? Unapiga kelele hapo pengine hata kuchanga hukuchanga.Mtu aliyekula fedha za Tetemeko la Kagera, na kuwalaumu kuwa limesababishwa na Kijiji cha Katerero na Mto ngono🤔
Kulikiwa na harufu ya utawala wa JK fisadi na mwizi mkubwa! Kubali ukatae wakati wa Magufuli mvua ilikuwa tele na chakula tele! Subiri mwaka huu kama hujanunu mchele sokoni elfu tatu kwa kilo utaniambia!Peleka sifa za kujnga, 2016 kulikuwa na ukame wa ajabu, mpaka akawa anaongea kwa kejeli kuwa mtu abadilishane ng'ombe watatu na debe la mahindi. Au mnadhani tuna ubongo mdogo kama nyie na hatuwezi kukumbuka chochote?