JORAM LUKAS
Senior Member
- Feb 5, 2012
- 141
- 69
Umenikumbusha mbali sana chief..We jamaa mpumbavu sana, unatukumbusha enzi za praise and worship
Ata mvua ilipokuwa ikinyesha anasifiwa yy
Mkuu wa mkoa wa dar enzi hizo alisika akisema "tunamshukuru Rais Magufuli Leo mvua imenyesha"
Mkuu wa mkoa wa Tabora enzi hizo nae alisikika akisema "Magufuli hastahili kumshukuru Mungu kwa haya makubwa anayoyafanya Mungu Mwenyewe ndo anatakiwa amshkuru Magufuli" na ww ndo una akili kama hizo, lkn sio bure huyo jamaa alikuwa amawafira nyie,
Kwa ufupi you have made my day. Naelekea chattle.Mcha Mungu Magufuli alipokuwa hai hakukuwa na uhaba wa mvua na ukame nchini Kama sasa
Kuondoka tu mcha Mungu Magufuli nchi ukosefu wa mvua kila Kona ni ukame nchi nzima na tishio la njaa kila kona ya nchi hali ya hewa vipimo vyao vinaona ukame,ukosefu wa mvua na njaa tu inayokuja
Mwenyewe mcha Mungu angekuwepo haya yasingekuwepo
Serikali badala ya kuitisha maombi wanaenda kuhudhuria mkutano wa Mabadiliko ya Tabia nchi kuomba pesa kwa wazungu kwani pesa zaweza leta mvua msimu huu?
Magufuli angeshaitisha maombi ya kitaifa lakini kwa kuwa alikuwa mcha Mungu, Mungu alihakikisha kipindi chake mvua ipo ya kutosha ,ukame haupo na njaa haipo pamoja na yeye kutohudhuria mkutano wowote wa Mabadiliko ya Tabia nchi popote duniani.
Kuna watu wataitafsiri hii kama ilivyo...Mcha Mungu Magufuli alipokuwa hai hakukuwa na uhaba wa mvua na ukame nchini Kama sasa
Kuondoka tu mcha Mungu Magufuli nchi ukosefu wa mvua kila Kona ni ukame nchi nzima na tishio la njaa kila kona ya nchi hali ya hewa vipimo vyao vinaona ukame,ukosefu wa mvua na njaa tu inayokuja
Mwenyewe mcha Mungu angekuwepo haya yasingekuwepo
Serikali badala ya kuitisha maombi wanaenda kuhudhuria mkutano wa Mabadiliko ya Tabia nchi kuomba pesa kwa wazungu kwani pesa zaweza leta mvua msimu huu?
Magufuli angeshaitisha maombi ya kitaifa lakini kwa kuwa alikuwa mcha Mungu, Mungu alihakikisha kipindi chake mvua ipo ya kutosha ,ukame haupo na njaa haipo pamoja na yeye kutohudhuria mkutano wowote wa Mabadiliko ya Tabia nchi popote duniani.
Bila shaka wewe utakuwa mpenzi wa ChademaWatu walikuwa wanatekwa na kuuwawa kila siku nayo ilikuwa ni Neema na baraka sana.
Mungu alikuwa anawaambia Mayahudi sio dunia nzima ndio maana huko England mvua zinanyesha mpaka wanachukia mvua kila siku na wale hata makanisani hawaendi. Nchi kibao kama huko Japan, china hata makanisa hawana ila mvua kibao...WALAWI 26
Baraka kwa utiifu
(Kumb 7:12-24; 28:1-14)
1“Msijitengenezee sanamu za miungu ya uongo, msishike sanamu zao za kuchonga wala nguzo wala sanamu za mawe yaliyochongwa nchini mwenu na kuvisujudu. Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu. 2Shikeni sabato zangu na kuheshimu mahali pangu patakatifu. Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu.
3 “Kama mkifuata masharti yangu na kuzishika amri zangu, 4nitawanyeshea mvua wakati ufaao, nchi ipate kuzaa mavuno kwa wingi, nayo miti ya mashambani matunda yake. 5Kupura nafaka kutaendelea mpaka wakati wa kuvuna zabibu, na uvunaji zabibu mpaka wakati wa kupanda mbegu. Mtakuwa na chakula tele na kuishi kwa usalama nchini mwenu. 6Nitawapeni amani nchini hata muweze kulala bila ya kuogopeshwa na chochote. Nitawaondoa wanyama wakali katika nchi na nchi yenu haitakumbwa na vita. 7Mtawafukuza adui zenu na kuwaua kwa upanga. 8Watano wenu watawafukuza adui 100 na 100 wenu watawafukuza adui 10,000. Adui zenu wataangamia mbele yenu kwa upanga. 9Nitawafadhili na kuwajalia mpate watoto wengi na kuongezeka; nami nitaliimarisha agano langu nanyi. 10Wakati wa mavuno mtakuwa bado mnakula mazao ya zamani; tena itawalazimu kuondoa yaliyobaki kupata nafasi ya kuhifadhi mavuno mapya. 11Nitaweka maskani yangu miongoni mwenu, wala sitawaacheni. 12 Nitatembea kati yenu na kuwa Mungu wenu nanyi mtakuwa watu wangu. 13Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, niliyewatoa nchini Misri ili msiwe watumwa wa Wamisri. Mimi nimevunja nira mliyofungiwa shingoni mwenu na kuwafanya mtembee wima.
Laana
(Kumb 28:15-68)
14“Lakini kama hamtanisikiliza wala kufuata amri zangu, 15kama mkidharau masharti yangu na kuchukia kwa roho maagizo yangu mkaacha kuzitii amri zangu zote na kuvunja agano langu, 16basi, mimi nitafanya hivi: Nitawapiga kwa kuwaletea hofu kuu ya ghafla, kifua kikuu na homa itakayowapofusha macho na kuwadhoofisha. Mtapanda mbegu zenu bila mafanikio kwani adui zenu ndio watakaokula. 17Mimi nitawakabili, nanyi mtapigwa na adui zenu; mtatawaliwa na wale wanaowachukia. Mtatishwa na kukimbia hata kama hakuna mtu yeyote anayewafukuza. 18Na Kama hata baada ya kuadhibiwa hivyo, hamtanisikiliza, basi, nitawaadhibu mara saba zaidi kwa ajili ya dhambi zenu. 19Kiburi chenu nitakivunjilia mbali kwa kuzifanya mbingu huko juu kuwa ngumu kama chuma, na nchi yenu bila mvua iwe ngumu kama shaba. 20Mtatumia nguvu zenu bure maana mashamba yenu hayatatoa mavuno na nchi yenu haitazaa matunda.
21“Kama mkiendelea kunipinga na kukataa kunisikiliza, nitazidisha tena adhabu yenu mara saba kadiri ya wingi wa dhambi zenu. 22Nitawapeleka wanyama wakali kati yenu ambao watawanyakulieni watoto wenu na kula mifugo yenu; na kukata idadi yenu hata njia zenu zigeuke kama jangwa.
23“Kama hata baada ya adhabu hiyo bado hamnigeukii mimi, ila mnazidi kupingana nami, 24basi, nami nitapingana nanyi na kuwaadhibu mara saba zaidi kwa ajili ya dhambi zenu. 25Nitawaleteeni upanga ambao utalipiza kisasi juu ya agano mlilovunja. Nyinyi mtakimbilia katika miji yenu, lakini nitawapelekea maradhi mabaya na kuwatia mikononi mwa adui zenu. 26Chakula chenu nitakipunguza hata wanawake kumi watumie jiko moja tu kuoka mikate. Watawagawia kwa kipimo. Na hata baada ya kula bado mtakuwa na njaa tu.
27“Na kama hata baada ya hayo yote bado hamtanisikiliza mkaendelea kunipinga, 28basi nami nitapingana nanyi kwa hasira kali, na kuwaadhibu mimi mwenyewe mara saba zaidi kwa ajili ya dhambi zenu. 29Ndipo mtakula watoto wenu, wa kiume na kike. 30Nitapaharibu mahali penu pa ibada milimani, nitazibomoa madhabahu zenu za kufukizia ubani, na kuzitupa maiti zenu juu ya sanamu za miungu yenu. Roho yangu itawachukia kabisa. 31Miji yenu nitaiteketeza mahali penu patakatifu nitapafanya jangwa na harufu zenu nzuri za sadaka kamwe sitazikubali. 32Nitaiteketeza nchi yenu hivyo kwamba hata adui wanaohamia humo watashangaa. 33Nitawatawanya nyinyi miongoni mwa watu wa mataifa na kuchomoa upanga dhidi yenu. Nchi yenu itakuwa ni ukiwa na miji yenu uharibifu.
34“Nyinyi mtakapokuwa mikononi mwa adui zenu, hapo ndipo nchi itakapozifurahia sabato zake wakati itakapokuwa hali ya ukiwa. Nchi itapumzika na kufurahia sabato zake. 35Kadiri itakapokuwa hali ya ukiwa itapata kiasi ambacho haikupata katika sabato zenu mlipokuwa mkiishi humo. 36Na kwa baadhi yenu watakaosalimika nitawaletea woga mioyoni mwao, katika nchi ya adui zao hata jani linalopeperushwa litawakimbiza. Watakimbia kama mtu anayekimbia vita. Watakimbia na kuanguka hata kama hamna mtu anayewafukuza. 37Wataangukiana ovyo kama mtu anayekimbia vita hata kama hamna anayewafukuza. Hamtakuwa na nguvu yoyote kuwakabili adui zenu. 38Mtaangamia kati ya mataifa na nchi za adui zenu zitawameza. 39Kama baadhi yenu wakisalimika katika nchi za adui zenu watadhoofika kwa sababu ya uovu wao; na kwa sababu ya uovu wa wazee wao.
Mwenzako alimtangaza Mungu na kulitaja jina lake hadharani, Je wewe umewahi kufanya hivyo? Hivi unadhani kati yako mkaa kimya unayempinga Mungu nani atakua na thamani mbele za Mungu?? Umewahi mkiri Mungu mbele za watu?? Hiyo ndio kanuni ya kwanza ya Mungu, kumkiri mbele za watu. Sasa mwenzako alimkiri mbele ya dunia.Wilderness Voice
Kuna sauti ikikuambia tukaombe au tunamtegemea Mungu kweli utaisikia. Lakini siyo sauti ya Magufuli. Kamwe huyu Mungu tunayemwabudu Wakristo Mungu wa Abraham, Izaka na Yakobo siye Mungu aliyekuwa ana mwabudu Magufuli.
Kwa matendo aliyowatendea wenye vyeti feki, aliowatumbua kazini, aliowapeleka Segerea, aliowaua kwa kikundi cha WASIOJULIKANA, aliowanyima nyongeza za mishahara, aliowabomolea nyumba Kimara kamwe hawezi kuomba Mungu akamsikiliza.
Labda mungu (m- ndogo) wa Gwajiboy, Mch Mashimo. Hilo DUBWASHA mnalilisifia kwa Tanzania likikuwa Moja tu. Nalo liliingia kwa bahati mbaya toka Burundi. Baada ya kulizika pale Chato mnamo tarehe 27/ 03/ 21, Tanzania imekuwa kama imepata Uhuru wa pili
Hakika nasema Mtanzania halisi hawezi kuwa na chuki ambayo Magufuli alikuwa nayo dhidi ya Watanzania.
Kwa wanaompenda nawashauri wamfuate huko kuzimu, hamna namna
Wale watu Mia waliokufa morogoro kwa Moto na meli iliyozama ukerewe, nayo ilikuwa ni neema?Mcha Mungu Magufuli alipokuwa hai hakukuwa na uhaba wa mvua na ukame nchini Kama sasa
Kuondoka tu mcha Mungu Magufuli nchi ukosefu wa mvua kila Kona ni ukame nchi nzima na tishio la njaa kila kona ya nchi hali ya hewa vipimo vyao vinaona ukame,ukosefu wa mvua na njaa tu inayokuja
Mwenyewe mcha Mungu angekuwepo haya yasingekuwepo
Serikali badala ya kuitisha maombi wanaenda kuhudhuria mkutano wa Mabadiliko ya Tabia nchi kuomba pesa kwa wazungu kwani pesa zaweza leta mvua msimu huu?
Magufuli angeshaitisha maombi ya kitaifa lakini kwa kuwa alikuwa mcha Mungu, Mungu alihakikisha kipindi chake mvua ipo ya kutosha ,ukame haupo na njaa haipo pamoja na yeye kutohudhuria mkutano wowote wa Mabadiliko ya Tabia nchi popote duniani.
Alphonso mawazoJpm katawala miaka 5 hebu orodhesha walau watu 10 waliotekwa na kuuawa
Hakuna binadamu asiyekuwa na mapungufu..
JPM kwenye suala la haki za binadamu lilimuangusha sana.. Watu walibambikwa kesi sana.
Ukibisha tafuta rafiki yoyote ambaye alifanya kazi ofisi ya DPP kipindi cha JPM... Wale mawakili walipata shida
Unaletewa file kutoka PCCB au Polisi unawauliza hiki bado.. Ushahidi huu hautoshi unajibiwa na mkubwa peleka Kisutu hivyo hivyo tutarekebisha mbele ya safari..
Tena unajibiwa huyu akomeshwe vya kutosha ongezea na mengine.. Bwana fulani mkubwa hataki kumuona uraiani
Sasa roho za namna hii jamani tuombe sana zisiwepo tena ni hatari kwa usalama wa nchi
Wenzako wameshachoka na marudio ya katuni hii zamani ilikupa likes za kutosha leo hii moja tu..moja tu..jiongezeVile mwendakuzimu amefurahia uzi wako huu kutokea huko kuzimu😁😁😁
View attachment 2011411
Kwa kuwa najua inakukera nitaendelea kuipost.Wenzako wameshachoka na marudio ya katuni hii zamani ilikupa likes za kutosha leo hii moja tu..moja tu..jiongeze
We jamaa mpumbavu sana, unatukumbusha enzi za praise and worship
Ata mvua ilipokuwa ikinyesha anasifiwa yy
Mkuu wa mkoa wa dar enzi hizo alisika akisema "tunamshukuru Rais Magufuli Leo mvua imenyesha"
Mkuu wa mkoa wa Tabora enzi hizo nae alisikika akisema "Magufuli hastahili kumshukuru Mungu kwa haya makubwa anayoyafanya Mungu Mwenyewe ndo anatakiwa amshkuru Magufuli" na ww ndo una akili kama hizo, lkn sio bure huyo jamaa alikuwa amawafira nyie,
Alimwambia mwanasheria mkuu .... nitakupa pesa ila kuna watu wangu uwafunge. Yule hakuwa binadamu lilikuwa dubwasha katili sana. Tumshukuru mungu kwa wema wake 17.3.2021