Hayati Magufuli alipokuwa hai hakukuwa na uhaba wa mvua na ukame nchini kama sasa

Mcha Mungu Magufuli alipokuwa hai hakukuwa na uhaba wa mvua na ukame nchini Kama sasa

Kuondoka tu mcha Mungu Magufuli nchi ukosefu wa mvua kila Kona, ni ukame nchi nzima na tishio la njaa kila kona ya nchi hali ya hewa vipimo vyao vinaona ukame, ukosefu wa mvua na njaa tu inayokuja...
Watu wamepotea kipindi chake nazo zilikuwa neema
 
Ina maana mwendazake katufitinisha kwa mungu hadi kunyimwa mgao wetu wa mvua?
 
Taja watu 10 waliouawa mbona mnakuwa wagumu kuelewa?
Ben saanane, azori, akwilina juma Abdallah, Abdul shomari, Ester JOHN, Abdul Mohamed, Tatu Abdul, peter JOHN, Goodluck mwakipesile, Asha Said nk, nk
 
Nchi hupona haraka majanga Kama kiongozi wa nchi akianzisha maombi sio kiongozi wa dini mfano mzuri kwenye Biblia Ni Mfalme wa Ninawi .

Magufuli alikuwa Kama Mfalme wa Ninawi

Mkuu Nadhani Leo Umemsikia Sheikh Mkuu...
Amewaambia Waislam woote kupitia kwa MA sheikh wao,Iman,Wa Mkoa,Wilaya na Kata waanze Kufunga kwa siku 3 Kuanzia Kesho hadi Jumamosi ndipo wafanye Maombi kwa ajili ya Kuomba Mvua![emoji3516][emoji120]
 
Wanasema kila kitabu na zama zake. Lakini kweli utawala wa JPM ulikuwa na neema ya mvua. Sijui ni kwa mapenzi ya Mungu au alibebwa na majila.

Huyu mama sijajua Neema ya uongozi wake nini au ndiyo hili jua na joto!!
Laana ya kuwabambikia watu kesi za ugaidi ndiyo hii sasa.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Watanzania tulizoea maombi na ndiyo yalikuwa mafanikio yetu. Sasa tumeingia awamu mpya hakuna cha maombi .

Kukosekana kwa maombi tutarajie nini? Ukame utakaoleta njaa, kukosekana kwa mvua, umeme, maji na mwisho umaskini mkubwa.
Mwenzetu hakumbuki maombi na hatujui anasali wapi na lini.

Watanzania wanahitaji maombi
 
Ameshakufa na hawezi kurudi

Magufuli sio Mungu

Kwa hiyo Tangu afe, Watu hawaombi tena? Acha ufala

Kabla hajawa Rais, watu walikuwa hawaombi Mungu?
 
Hivi yale ya Magufuli yalikuwa ni maombi au propaganda za kiserikali?
Serikali haina dini wala imani, ukiona serikali inajiingiza kwenye msititizo wa dini au imani basi ujue hizo ni hadaa za kisiasa (propaganda).
Eti unaitisha maombi ya kuifuta Corona hapa Tz halafu baada ya maombi unaitangazia dunia kuwa Corona imefutika Tz na kamwe haitarudi tena Tz! Kilichokuja kutokea ni bendera kupeperushwa nusu mlingoti.

Tuache kumdhihaki Mungu.
 
Watanzania tulizoea maombi na ndiyo yalikuwa mafanikio yetu. Sasa tumeingia awamu mpya hakuna cha maombi .
Kukosekana kwa maombi tutarajie nini? Ukame utakaoleta njaa, kukosekana kwa mvua, umeme, maji na mwisho umaskini mkubwa.
Mwenzetu hakumbuki maombi na hatujui anasali wapi na lini. Watanzania wanahitaji maombi
Zulumati wa NSSF....
 
Wakati Wanachama wenye fedha NSSF wana IBIWA uliwahi kuleta Maombi? Niki KUTUtuKANA ..ntakosea? Vaa Sinderera bhatoto bamekaukiwa
 
Hivi yale ya Magufuli yalikuwa ni maombi au propaganda za kiserikali?
Serikali haina dini wala imani, ukiona serikali inajiingiza kwenye msititizo wa dini au imani basi ujue hizo ni hadaa za kisiasa (propaganda).
Eti unaitisha maombi ya kuifuta Corona hapa Tz halafu baada ya maombi unaitangazia dunia kuwa Corona imefutika Tz na kamwe haitarudi tena Tz! Kilichokuja kutokea ni bendera kupeperushwa nusu mlingoti.

Tuache kumdhihaki Mungu.
Salute...
 
Watanzania tulizoea maombi na ndiyo yalikuwa mafanikio yetu. Sasa tumeingia awamu mpya hakuna cha maombi .
Kukosekana kwa maombi tutarajie nini? Ukame utakaoleta njaa, kukosekana kwa mvua, umeme, maji na mwisho umaskini mkubwa.
Mwenzetu hakumbuki maombi na hatujui anasali wapi na lini. Watanzania wanahitaji maombi
KATIBA MPYAA...bado na fikra za UJIMA?
 
Mwendazake upande wa kushoto alishika msalaba, upande wa kulia alishika kisu. Hakuna chochote zaidi ya unafiki tu.

Huku unafitini watu wasipate kazi, huku unasema tufunge macho tusali
 
Back
Top Bottom