Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatumia makalio kufikriMipaka imefungwa kwa mizengwe ya Wakenya hawataki Watanzania waakauze mahindi Kenya, wanataka waje wao wenyewe waende kununuwa mashambani kwa bei wanayoitaka wao.
Tuwe tunafatilia habari.
Soko ndani hili mamaView attachment 2656487hapo vipi 👆👆👆👆👆
Hata hili sakata la Bandari, mwenzao JPM alikuwa kalipatia mwarobaini wa kumweka Kakoko, wao wakamg'oa ili wajenge Bandari Bagamoyo na sasa plan zote zinaanza kuwatokea puani; wameshindwa si ujenzi wa Bagamoyo tu bali pia Dar es Salaama imewashinda kuendesha.Kila tapishi lazima walilambe hawa. Walifikiri mwenzao alikuwa chizi. Anaingizwa mkenge na jamaa yetu vasco.
Kuwa na heshima japo kidogo.Unatumia makalio kufikri
Sasa kwa nini uongee pumba kama hizo za kishwaini?Kuwa na heshima japo kidogo.
Ukishindwa kujibu hoja huna sababu ya kutukana. Fikiri.