Hayati Magufuli alipozuia chakula kisiuzwe nje mlikebehi, sasa mmeonja joto ya jiwe na kusalimu amri

Hayati Magufuli alipozuia chakula kisiuzwe nje mlikebehi, sasa mmeonja joto ya jiwe na kusalimu amri

Uvivu wenu wa kulima mnataka mlindwe na Serekali. Sasa bei iko mahali pake Mkulima anafaidi
 
Mipaka imefungwa kwa mizengwe ya Wakenya hawataki Watanzania waakauze mahindi Kenya, wanataka waje wao wenyewe waende kununuwa mashambani kwa bei wanayoitaka wao.


Tuwe tunafatilia habari.
Unatumia makalio kufikri
 
Kila tapishi lazima walilambe hawa. Walifikiri mwenzao alikuwa chizi. Anaingizwa mkenge na jamaa yetu vasco.
Hata hili sakata la Bandari, mwenzao JPM alikuwa kalipatia mwarobaini wa kumweka Kakoko, wao wakamg'oa ili wajenge Bandari Bagamoyo na sasa plan zote zinaanza kuwatokea puani; wameshindwa si ujenzi wa Bagamoyo tu bali pia Dar es Salaama imewashinda kuendesha.
 
Back
Top Bottom