Mipaka imefungwa kwa mizengwe ya Wakenya hawataki Watanzania waakauze mahindi Kenya, wanataka waje wao wenyewe waende kununuwa mashambani kwa bei wanayoitaka wao.
Hata hili sakata la Bandari, mwenzao JPM alikuwa kalipatia mwarobaini wa kumweka Kakoko, wao wakamg'oa ili wajenge Bandari Bagamoyo na sasa plan zote zinaanza kuwatokea puani; wameshindwa si ujenzi wa Bagamoyo tu bali pia Dar es Salaama imewashinda kuendesha.