Hayati Magufuli alishatuambia kuwa Rais Samia ana wajomba Oman

Mbon Magufuli mwenyewe si alikuwa mhutu wa Burundi ndio maana jamaa lilikuwa katili na roho mbaya kama ndugu zake wahutu. Yaani ikulu ya nchi ilikuwa inaongozwa na raia wawili toka mataifa tofauti ***** kafa mmoja mwingine kachukua hatamu.

Kwa KATIBA hii mbovu sio tuu dada yao anatawala Hata mfalme wa Omani atakuja kutawala hapa na hamumfanyi chochote majuha ninyi.
Mbona ,huko Oman,hata mfalme ametokea Tanzania na mawaziri wengi na wakubwa kadhaa,wanatokea Tanzania,na hata Mufti wao,anatokea Tanzania.Na lugha ya kiswahili,pia iko Oman.Na inasemekana tamaduni za karibia makabila yote ya Tanzania yako Oman,kuanzia ngoma za asili,mavazi,lugha ya kiswahili,na wapo watu wa asili ya huku wengi tu Oman,hata mtangazaji maarufu wa TV Oman kwa lugha ya kiingereza,anatokea Kondoa Irangi,Dodoma.Na wapo mabibi na mababu wa makabila ya Tanzania,wako Oman na wengine wamezikwa Oman.
 
..mwendazake alikuwa na mambo fulani mabaya, ndio maana wako watu wanamzungumzia vibaya.
Binafsi ukitoa alivyokata watu baada ya kura za maoni ile aikuwa sawa kabisa.

Maamuzi machache ya kisiasa ya ovyo ambayo alidhani ni sahihi (na alijufanza baada ya hapo) sioni ubaya wa Magufuli zaidi ya nia njema aliyokuwa nayo ya kuijenga nchi.

Bahati mbaya kwenye kujenga nchi kuna kubadili tabia za watu hasa powerful people hiyo sio kazi ndogo na ipo ivyo pote duniani. China Xi Jinping kafunga open prison vigogo kibao waliokuwa mafisadi, USA kuondoa monopoly za kina Rockerfella, Andrew Carngie na wengineo aikuwa kazi ndogo na bado endelevu, Russia Putin alipambana na oligarchs; kila sehemu sio kazi ndogo kubadili system.

Otherwise mengine ni ya kutungiwa tu kama kuuwa watu.

Mengine ni ya lazima kwa nchi yeyote:
Hakuna uhuru usio na mipaka ata Samia akitungiwa uongo wahusika watachukuliwa hatua. Tofauti ni kwamba siku hizi kuna hela za ku promote matangazo ya serikali na malipo ya kusifia. Hayo ndio wanayotaka wahariri wa magazeti Magufuli akuwapa.

Mikutano ya hadhara aitorudi tena baada ya uchaguzi hilo wapinzani inabidi waanze kulizoea. Ipo ivyo duniani sio Tanzania.

Ukichokoza serikali utashughulikiwa tumeona kwa Ndugai na Shamte; ila Mwinyi na Samia awajaitwa madikteta.
 
Siasa zina Fitina Sana,

Salim Ahmed Salim alikosa nafasi ya kugombea Uraisi kwa sababu tu tuliambiwa kuwa alikuwa na Vinasaba vya Waarabu.
Mungu alitaka kutuonyesha madhara ya dhambi ya ubaguzi. Salim alionewa na roho ya kibaguzi iliyopo Tanzania.

Mwalimu Nyerere ndio chaguo lake miaka hiyo, akazidiwa nguvu na wazenji wenyewe na ubaguzi wao.
 
Mbon Magufuli mwenyewe si alikuwa mhutu wa Burundi ndio maana jamaa lilikuwa katili na roho mbaya kama ndugu zake wahutu. Yaani ikulu ya nchi ilikuwa inaongozwa na raia wawili toka mataifa tofauti ***** kafa mmoja mwingine kachukua hatamu.

Kwa KATIBA hii mbovu sio tuu dada yao anatawala Hata mfalme wa Omani atakuja kutawala hapa na hamumfanyi chochote majuha ninyi.
Wewe ni mbaguzi kupita maelezo.
 
..hivi Ahmed Amasha yuko wapi siku hizi?

..uhusiano wa kina Amasha na familia ya Mfalme wa Oman ni upi?

NB.

..nadhani Ahmed alikuwa na mdogo wake Abdul Amasha.
Yap !!Atakuwa Dsm au Oman.Jamaa alikuwa beki Namba tatu kisiki Sana wa Yanga na Timu ya Taifa.Walimwita mathematician.Siku nyingi Sana .Alicheza mpira na Athuman Juma Chama,Yusuph Ismail Bana,Hamis Kinye.Joseph Fungo,Charles Boniface Mkwasa,Juma Mkambi,Allan Shomari,Omary Hussein,Abeid Mziba.,Makumbi Juma,Rashid Hanzuruni.
 
Huu ndio ukweli,na ukweli,haupati wachangiaji.Wanaouliza kuhusu undugu wa Mama Samia na wajomba zake wa Oman,alishatueleza Mh.Rais Magufuli,na pia akatuambia hawa wa Oman ni ndugu zetu.

Walipokuja mawaziri kutoka Oman,ambao wengi wao asili yao ni Tanzania na wanaongea kiswahili.Hapa inatakiwa sisi watanzania,kutembea kifua mbele,kuwa tumejipenyeza katika nchi mbali mbali duniani,katika uongozi,na kueneza lugha ya kiswahili.

Kwa hiyo zile fitna za kuita Watanzania wenzetu “machotara wa hizbu” hatutazisikia tena huko CCM?
 
..hivi Ahmed Amasha yuko wapi siku hizi?

..uhusiano wa kina Amasha na familia ya Mfalme wa Oman ni upi?

NB.

..nadhani Ahmed alikuwa na mdogo wake Abdul Amasha.
Huyo jamaa ni kocha saa hizi Oman

Pia yupo yule alikua Simba anaitwa Talib Hilal pia ni kocha huko Oman timu yao ya taifa ya mpira wa ufukweni(Beach soccer)
 
Siasa zina Fitina Sana,

Salim Ahmed Salim alikosa nafasi ya kugombea Uraisi kwa sababu tu tuliambiwa kuwa alikuwa na Vinasaba vya Waarabu.
Na aliyetengeneza hiyo fitna ni JK na mtandao wake ambao ndiyo wako ulingoni tena kimtindo
 
Binafsi ukitoa alivyokata watu baada ya kura za maoni ile aikuwa sawa kabisa.

Maamuzi machache ya kisiasa ya ovyo ambayo alidhani ni sahihi (na alijufanza baada ya hapo) sioni ubaya wa Magufuli zaidi ya nia njema aliyokuwa nayo ya kuijenga nchi.

Bahati mbaya kwenye kujenga nchi kuna kubadili tabia za watu hasa powerful people hiyo sio kazi ndogo na ipo ivyo pote duniani. China Xi Jinping kafunga open prison vigogo kibao waliokuwa mafisadi, USA kuondoa monopoly za kina Rockerfella, Andrew Carngie na wengineo aikuwa kazi ndogo na bado endelevu, Russia Putin alipambana na oligarchs; kila sehemu sio kazi ndogo kubadili system.

Otherwise mengine ni ya kutungiwa tu kama kuuwa watu.

Mengine ni ya lazima kwa nchi yeyote:
Hakuna uhuru usio na mipaka ata Samia akitungiwa uongo wahusika watachukuliwa hatua. Tofauti ni kwamba siku hizi kuna hela za ku promote matangazo ya serikali na malipo ya kusifia. Hayo ndio wanayotaka wahariri wa magazeti Magufuli akuwapa.

Mikutano ya hadhara aitorudi tena baada ya uchaguzi hilo wapinzani inabidi waanze kulizoea. Ipo ivyo duniani sio Tanzania.

Ukichokoza serikali utashughulikiwa tumeona kwa Ndugai na Shamte; ila Mwinyi na Samia awajaitwa madikteta.

..yule alikuwa taswira ya unyang'au hapa Tz.

..mambo aliyowafanyia wapinzani ni mabaya sikuwahi kuota yatatokea hapa Tz.
 
Ujinga tu, hata kama Magufuli alisema Samia ana wajomba Oman lakini hakusema muwape hao waarabu wanyama wetu.

Nyie kuweni na wajomba mpaka Afghanistan mkipenda, lakini rasilimali za taifa msizigawe kwa wajomba zenu.
Kwa hiyo wewe hujui kama tuna soko kubwa la nyama huko middle east, au alivyosema Wanyama akili yako ikasema Simba ma Swala. Mwalim Nyerere alisema upumbavu sio tusi
 
Yap !!Atakuwa Dsm au Oman.Jamaa alikuwa beki Namba tatu kisiki Sana wa Yanga na Timu ya Taifa.Walimwita mathematician.Siku nyingi Sana .Alicheza mpira na Athuman Juma Chama,Yusuph Ismail Bana,Hamis Kinye.Joseph Fungo,Charles Boniface Mkwasa,Juma Mkambi,Allan Shomari,Omary Hussein,Abeid Mziba.,Makumbi Juma,Rashid Hanzuruni.
Umenikumbusha siku nyingi Hamis Kinye, Madata Rubigisa na Mwameja ndio walinifanya nikaamua kuwa Goal Keeper...
 
Back
Top Bottom