Hayati Magufuli alishatuambia kuwa Rais Samia ana wajomba Oman

Hayati Magufuli alishatuambia kuwa Rais Samia ana wajomba Oman

Sasa wew ulitaka Mimi nifurahie Tanganyika kutawaliwa na raia wa kigeni wakati babu zetu walimwaga damu zao kudai uhuru ili tujitawale wenyewe.
Katika hilo utaniona Mimi mbaguzi na sitakubali kuwa zuzu kwa ngojera za muungano feki unitoe ktk kupigania uhuru na uzalendo kwa taifa.
Mkuu unanikumbusha hotuba ya Nyerere 1995 pale kilimanjaro hotel akiongea na waandishi wa habari, Aliyefilisika hutafuta uhalali mbele ya watu. Anaposhindwa kujihalalisha kwa jimbo, atajihalalisha kwa mkoa, akishindwa atajihalalisha hata kwa mtaa anaotoka.

Halafu haya mawazo ya kibaguzi yanasikika awamu ya sita wakati ubaguzi wa sisi upande wa huku bara uliota mizizi nyakati za marehemu JPM. Pale wasukuma walipojiona wao ndio kila kitu serikalini na kibaya zaidi wakitaka kunyanyasa watu kisa mtoto wao ndio Rais.

Achana na haya mawazo ya kibaguzi unauumiza tu moyo wako.
 
Back
Top Bottom