MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 8,974
- 12,662
The System knows
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbon Magufuli mwenyewe si alikuwa mhutu wa Burundi ndio maana jamaa lilikuwa katili na roho mbaya kama ndugu zake wahutu. Yaani ikulu ya nchi ilikuwa inaongozwa na raia wawili toka mataifa tofauti ***** kafa mmoja mwingine kachukua hatamu.
Kwa KATIBA hii mbovu sio tuu dada yao anatawala Hata mfalme wa Omani atakuja kutawala hapa na hamumfanyi chochote majuha ninyi.
Wengi humu wanasema Magufuli Mhutu sababu ana nduguz wahutu haya sasa mama Samia ana ndugu zake Oman mnasemaje kwa hilo?Jiwe akaamua kutowazungumzia Wazee wale walioko Burundi, hakutenda Haki kabisa
Jukwa la michezo lipo mbona , linaitwa Jamii SportsInatakiwa tupate jukwaa la michezo,tupate habari za michezo,hapa jf.Michezo ni ajira,michezo ni afya ya akili na mwili.Michezo inaunganisha undugu,michezo inaburudisha.
Jiwe alipenda watu dizaini ya Bashite, Saambaya na HapiMagufuli (RIP) alimpenda sana Samia, ila Samia, ngoja niishie hapo, Allah atahukumu!
Watu wengi wanamwongelea vibaya Jiwe sababu alikuwa muovuTatizo la Mama kila akipata fursa anamuongelea mwenzake vibaya, juzi tena karudia Oman.
Kumwelewa Jiwe inabidi akili yako iwe na tatizo kidogo. Kama mtu anafikia hatua ya kujiita kichaa,unaua raia wako na wengine kuwapiga risasi. Nchi ilirudi enzi za ujima. Aisee watu mnajua kujizima data.Binafsi ukitoa alivyokata watu baada ya kura za maoni ile aikuwa sawa kabisa.
Maamuzi machache ya kisiasa ya ovyo ambayo alidhani ni sahihi (na alijufanza baada ya hapo) sioni ubaya wa Magufuli zaidi ya nia njema aliyokuwa nayo ya kuijenga nchi.
Bahati mbaya kwenye kujenga nchi kuna kubadili tabia za watu hasa powerful people hiyo sio kazi ndogo na ipo ivyo pote duniani. China Xi Jinping kafunga open prison vigogo kibao waliokuwa mafisadi, USA kuondoa monopoly za kina Rockerfella, Andrew Carngie na wengineo aikuwa kazi ndogo na bado endelevu, Russia Putin alipambana na oligarchs; kila sehemu sio kazi ndogo kubadili system.
Otherwise mengine ni ya kutungiwa tu kama kuuwa watu.
Mengine ni ya lazima kwa nchi yeyote:
Hakuna uhuru usio na mipaka ata Samia akitungiwa uongo wahusika watachukuliwa hatua. Tofauti ni kwamba siku hizi kuna hela za ku promote matangazo ya serikali na malipo ya kusifia. Hayo ndio wanayotaka wahariri wa magazeti Magufuli akuwapa.
Mikutano ya hadhara aitorudi tena baada ya uchaguzi hilo wapinzani inabidi waanze kulizoea. Ipo ivyo duniani sio Tanzania.
Ukichokoza serikali utashughulikiwa tumeona kwa Ndugai na Shamte; ila Mwinyi na Samia awajaitwa madikteta.
Narudia kusema kuwa usithubutu kumsema mtu kwa kiswahili ukiwa Oman maana utaumbuka tu.Wa omani ni wazanzibari tu, hilo liko wazi
Muomani asiyejua kiswahili huyo sio muomani original
Mbona ,huko Oman,hata mfalme ametokea Tanzania na mawaziri wengi na wakubwa kadhaa,wanatokea Tanzania,na hata Mufti wao,anatokea Tanzania.Na lugha ya kiswahili,pia iko Oman.Na inasemekana tamaduni za karibia makabila yote ya Tanzania yako Oman,kuanzia ngoma za asili,mavazi,lugha ya kiswahili,na wapo watu wa asili ya huku wengi tu Oman,hata mtangazaji maarufu wa TV Oman kwa lugha ya kiingereza,anatokea Kondoa Irangi,Dodoma.Na wapo mabibi na mababu wa makabila ya Tanzania,wako Oman na wengine wamezikwa Oman.View attachment 2262024View attachment 2262026
Aliwauwa hakina kwa kuwapiga risasi?Kumwelewa Jiwe inabidi akili yako iwe na tatizo kidogo. Kama mtu anafikia hatua ya kujiita kichaa,unaua raia wako na wengine kuwapiga risasi. Nchi ilirudi enzi za ujima. Aisee watu mnajua kujizima data.
Magufuli yeye alikuwa na wajomba zake Misungwi na kule Kolomije. Ni sawa tu, wajomba walienda kutafuta maisha kule waliko, iwe Misungwi, Biharamulo na kwingineko. Hakuna shida wandugu zanguni.Hakuna shida,tunamfahaisha,alieleta uzi,akiwa anashangaa mama Samia kuwa na wajomba Oman,ndio namfahamisha Hayati Mh.Rais Magufuli,alishatuambia.
Hapo kuna agenda ya kibaguzi kichwani mwa huyo mjomba anataka aiuze hapa jukwaani.Sasa kuna shida gani akiwa na wajomba huko Oman?
Hao wamasai wapo njiani muda huu ndani ya mabasi wakienda makao mapya Handeni, kwa ridhaa yao wenyewe.Ni sawa JPM alisema hivyo lakini kamwe hakuwahi kufikiria kuwatimua Wamasai Rongongoro. Sana sana yeye alikomesha unyanyaswaji wa Watanganyika waliokuwa wakionewa na kunywanyaswa kwa vile tu vijiji vyao ni jirani na hifadhi na mapori ya Taifa. Akarasimisha vijiji vilivyokuwa hifadhi wananchi wakawa na haki kuliko Twiga na wakaishi kwa amani bila bughudha yeyote Awamu ya deko kwa mjomba wa Oman hii Watanzania tuendelee kujifungua.
Shida hii ya Loliondo iliibuka mwaka 2017, huo mwaka nani alikuwa rais? Hata hivyo, Manifesto ya Nyerere kuhusu uhifadhi utaielewa, hata hao wanyama ni living organisms nao wana haki ya kuishi. Ni sisi binadamu ndiyo tuliovamia mapori yao, na pia ni haki yao tuwahifadhi. Mna mawazo ya kijinga sana kudharau vitu muhimu, hata kama isingekuwa utalii, bado wanyama wana haki ya kuishi.Ni sawa JPM alisema hivyo lakini kamwe hakuwahi kufikiria kuwatimua Wamasai Rongongoro. Sana sana yeye alikomesha unyanyaswaji wa Watanganyika waliokuwa wakionewa na kunywanyaswa kwa vile tu vijiji vyao ni jirani na hifadhi na mapori ya Taifa. Akarasimisha vijiji vilivyokuwa hifadhi wananchi wakawa na haki kuliko Twiga na wakaishi kwa amani bila bughudha yeyote Awamu ya deko kwa mjomba wa Oman hii Watanzania tuendelee kujifungua.
Una kavideoTatizo la Mama kila akipata fursa anamuongelea mwenzake vibaya, juzi tena karudia Oman.
Mpumbavu ni yule asiyejua umuhimu wa historia ya Rais kabla yà kutawala.Ni wapumbavu tuu ndio wanaohangaika na historia ya Mh.Rais.
Una kavideo
Ahaa kwa kweli.Nimekukumbusha miaka hiyo.Juzi nimekutana na Rashid Hanzuruni pale kinondoni mahakamani.Jamaa wakaniambia huyu ndiye Rashid Hanzuruni aliyeipasua Simba dak ya pili na goli halikurudi mwaka 1982.Baada ya Marehemu Kiweru Musa kaka wa Jamhuri Kiweru aliyekuwa bek mbili kisiki kurudisha mpira kimakosa kwa goli kipa wake.Na Rashid akautokea mpira akauweka wavun.Una kumbu kumbu sana.Umetuletea mambo muhimu sana,ingekuwa jf ina sehemu ya michezo,tungefaidi sana.Tuwaombe wahusika watuekee jukwaa la michezo,tupate historia za michezo na habari za sasa.
Sasa wew ulitaka Mimi nifurahie Tanganyika kutawaliwa na raia wa kigeni wakati babu zetu walimwaga damu zao kudai uhuru ili tujitawale wenyewe.Wewe ni mbaguzi kupita maelezo.