The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Ni wapumbavu tuu ndio wanaohangaika na historia ya Mh.Rais.View attachment 2261727
Hayati Rais Magufuli alishatuambia kuwa Mama Samia ana wajomba Oman na wa Oman ni ndugu zetu
View attachment 2261726
Jiwe kwa sasa yuko kaburini kweli maisha hayamtupi mtuView attachment 2261727
Hayati Rais Magufuli alishatuambia kuwa Mama Samia ana wajomba Oman na wa Oman ni ndugu zetu
View attachment 2261726
Ahmed Amasha ilikuwa beki hatari enzi hizoHuu ndio uzi wenye ukweli mtupu,lakini haupati wachangiaji.View attachment 2261783View attachment 2261785
Mbona ,huko Oman,hata mfalme ametokea Tanzania na mawaziri wengi na wakubwa kadhaa,wanatokea Tanzania,na hata Mufti wao,anatokea Tanzania.Na lugha ya kiswahili,pia iko Oman.Na inasemekana tamaduni za karibia makabila yote ya Tanzania yako Oman,kuanzia ngoma za asili,mavazi,lugha ya kiswahili,na wapo watu wa asili ya huku wengi tu Oman,hata mtangazaji maarufu wa TV Oman kwa lugha ya kiingereza,anatokea Kondoa Irangi,Dodoma.Na wapo mabibi na mababu wa makabila ya Tanzania,wako Oman na wengine wamezikwa Oman.Mbon Magufuli mwenyewe si alikuwa mhutu wa Burundi ndio maana jamaa lilikuwa katili na roho mbaya kama ndugu zake wahutu. Yaani ikulu ya nchi ilikuwa inaongozwa na raia wawili toka mataifa tofauti ***** kafa mmoja mwingine kachukua hatamu.
Kwa KATIBA hii mbovu sio tuu dada yao anatawala Hata mfalme wa Omani atakuja kutawala hapa na hamumfanyi chochote majuha ninyi.
Binafsi ukitoa alivyokata watu baada ya kura za maoni ile aikuwa sawa kabisa...mwendazake alikuwa na mambo fulani mabaya, ndio maana wako watu wanamzungumzia vibaya.
Mungu alitaka kutuonyesha madhara ya dhambi ya ubaguzi. Salim alionewa na roho ya kibaguzi iliyopo Tanzania.Siasa zina Fitina Sana,
Salim Ahmed Salim alikosa nafasi ya kugombea Uraisi kwa sababu tu tuliambiwa kuwa alikuwa na Vinasaba vya Waarabu.
Wewe ni mbaguzi kupita maelezo.Mbon Magufuli mwenyewe si alikuwa mhutu wa Burundi ndio maana jamaa lilikuwa katili na roho mbaya kama ndugu zake wahutu. Yaani ikulu ya nchi ilikuwa inaongozwa na raia wawili toka mataifa tofauti ***** kafa mmoja mwingine kachukua hatamu.
Kwa KATIBA hii mbovu sio tuu dada yao anatawala Hata mfalme wa Omani atakuja kutawala hapa na hamumfanyi chochote majuha ninyi.
Alianza kama kiungo namba sita, siku beki wa kushoto alipoumia akachukua nafasi yake ndio ikawa moja kwa moja.Ahmed Amasha ilikuwa beki hatari enzi hizo
Alimvunja mguu Yusuf Ambwene wa CDA DodomaAhmed Amasha ilikuwa beki hatari enzi hizo
Enzi hizo ikicheza simba na Red star au Ndovu na yanga jiji lilikuwa linasimaaAlianza kama kiungo namba sita, siku beki wa kushoto alipoumia akachukua nafasi yake ndio ikawa moja kwa moja.
Yap !!Atakuwa Dsm au Oman.Jamaa alikuwa beki Namba tatu kisiki Sana wa Yanga na Timu ya Taifa.Walimwita mathematician.Siku nyingi Sana .Alicheza mpira na Athuman Juma Chama,Yusuph Ismail Bana,Hamis Kinye.Joseph Fungo,Charles Boniface Mkwasa,Juma Mkambi,Allan Shomari,Omary Hussein,Abeid Mziba.,Makumbi Juma,Rashid Hanzuruni...hivi Ahmed Amasha yuko wapi siku hizi?
..uhusiano wa kina Amasha na familia ya Mfalme wa Oman ni upi?
NB.
..nadhani Ahmed alikuwa na mdogo wake Abdul Amasha.
Huu ndio ukweli,na ukweli,haupati wachangiaji.Wanaouliza kuhusu undugu wa Mama Samia na wajomba zake wa Oman,alishatueleza Mh.Rais Magufuli,na pia akatuambia hawa wa Oman ni ndugu zetu.
Walipokuja mawaziri kutoka Oman,ambao wengi wao asili yao ni Tanzania na wanaongea kiswahili.Hapa inatakiwa sisi watanzania,kutembea kifua mbele,kuwa tumejipenyeza katika nchi mbali mbali duniani,katika uongozi,na kueneza lugha ya kiswahili.
Huyo jamaa ni kocha saa hizi Oman..hivi Ahmed Amasha yuko wapi siku hizi?
..uhusiano wa kina Amasha na familia ya Mfalme wa Oman ni upi?
NB.
..nadhani Ahmed alikuwa na mdogo wake Abdul Amasha.
Na aliyetengeneza hiyo fitna ni JK na mtandao wake ambao ndiyo wako ulingoni tena kimtindoSiasa zina Fitina Sana,
Salim Ahmed Salim alikosa nafasi ya kugombea Uraisi kwa sababu tu tuliambiwa kuwa alikuwa na Vinasaba vya Waarabu.
Binafsi ukitoa alivyokata watu baada ya kura za maoni ile aikuwa sawa kabisa.
Maamuzi machache ya kisiasa ya ovyo ambayo alidhani ni sahihi (na alijufanza baada ya hapo) sioni ubaya wa Magufuli zaidi ya nia njema aliyokuwa nayo ya kuijenga nchi.
Bahati mbaya kwenye kujenga nchi kuna kubadili tabia za watu hasa powerful people hiyo sio kazi ndogo na ipo ivyo pote duniani. China Xi Jinping kafunga open prison vigogo kibao waliokuwa mafisadi, USA kuondoa monopoly za kina Rockerfella, Andrew Carngie na wengineo aikuwa kazi ndogo na bado endelevu, Russia Putin alipambana na oligarchs; kila sehemu sio kazi ndogo kubadili system.
Otherwise mengine ni ya kutungiwa tu kama kuuwa watu.
Mengine ni ya lazima kwa nchi yeyote:
Hakuna uhuru usio na mipaka ata Samia akitungiwa uongo wahusika watachukuliwa hatua. Tofauti ni kwamba siku hizi kuna hela za ku promote matangazo ya serikali na malipo ya kusifia. Hayo ndio wanayotaka wahariri wa magazeti Magufuli akuwapa.
Mikutano ya hadhara aitorudi tena baada ya uchaguzi hilo wapinzani inabidi waanze kulizoea. Ipo ivyo duniani sio Tanzania.
Ukichokoza serikali utashughulikiwa tumeona kwa Ndugai na Shamte; ila Mwinyi na Samia awajaitwa madikteta.
Mama yako hajakuambia nampumulia kidevuni,Mpumuliwa kisogoni hajawahi kuwa na kitu upstairs... pathetic...
Alisema nini kibaya kuhusu Magufuli Oman?Tatizo la Mama kila akipata fursa anamuongelea mwenzake vibaya, juzi tena karudia Oman.
Kwa hiyo wewe hujui kama tuna soko kubwa la nyama huko middle east, au alivyosema Wanyama akili yako ikasema Simba ma Swala. Mwalim Nyerere alisema upumbavu sio tusiUjinga tu, hata kama Magufuli alisema Samia ana wajomba Oman lakini hakusema muwape hao waarabu wanyama wetu.
Nyie kuweni na wajomba mpaka Afghanistan mkipenda, lakini rasilimali za taifa msizigawe kwa wajomba zenu.
Umenikumbusha siku nyingi Hamis Kinye, Madata Rubigisa na Mwameja ndio walinifanya nikaamua kuwa Goal Keeper...Yap !!Atakuwa Dsm au Oman.Jamaa alikuwa beki Namba tatu kisiki Sana wa Yanga na Timu ya Taifa.Walimwita mathematician.Siku nyingi Sana .Alicheza mpira na Athuman Juma Chama,Yusuph Ismail Bana,Hamis Kinye.Joseph Fungo,Charles Boniface Mkwasa,Juma Mkambi,Allan Shomari,Omary Hussein,Abeid Mziba.,Makumbi Juma,Rashid Hanzuruni.