Hayati Magufuli alishatuambia kuwa Rais Samia ana wajomba Oman

Siasa zina Fitina Sana,

Salim Ahmed Salim alikosa nafasi ya kugombea Uraisi kwa sababu tu tuliambiwa kuwa alikuwa na Vinasaba vya Waarabu.
Halafu huyu Samia inaonekana kama ni sifa yeye kuwa na mjomba Oman
 
..yule alikuwa taswira ya unyang'au hapa Tz.

..mambo aliyowafanyia wapinzani ni mabaya sikuwahi kuota yatatokea hapa Tz.
Orodhesha hayo mabaya, halafu elezea leo yamebadilika vipi.

Tofauti ya Samia na Magufuli ipo kwenye ndimi tu; moja tatu na nyingine chachu. Lakini hatua ni zilezile.
 
Ndiyo maana ameomba meli ya kuwapelekea wanyamapori
 
Samia kuwa na ndugu Oman sioni ajabu.
Maana watanzania asilimia kubwa ni wakimbizi.
 
Alisemaje?
CC: Johnny Sack

“Najua ilivyokuwa nyuma kidogo ukitaka kuwekeza, mimi pia nilikuwepo najua mnanielewa. Ila nawahakikishia mambo yamebadilika na tutawawekea special incentives”.

Na ata body language yake ukiangalia wakati anaongea hayo maneno imejaa kejeli na dharau tupu.
 
Haya bana.....hajui cheo ni dhamana leo upo kesho haupo
 
Una kumbu kumbu sana.Umetuletea mambo muhimu sana,ingekuwa jf ina sehemu ya michezo,tungefaidi sana.Tuwaombe wahusika watuekee jukwaa la michezo,tupate historia za michezo na habari za sasa.
 
Huyo jamaa ni kocha saa hizi Oman

Pia yupo yule alikua Simba anaitwa Talib Hilal pia ni kocha huko Oman timu yao ya taifa ya mpira wa ufukweni(Beach soccer)
Inatakiwa tupate jukwaa la michezo,tupate habari za michezo,hapa jf.Michezo ni ajira,michezo ni afya ya akili na mwili.Michezo inaunganisha undugu,michezo inaburudisha.
 
Utaolewa.... Sio watu wazuuri saana
 
Siasa zina Fitina Sana,

Salim Ahmed Salim alikosa nafasi ya kugombea Uraisi kwa sababu tu tuliambiwa kuwa alikuwa na Vinasaba vya Waarabu.
Kazi ya wana mtandao...ukiongozwa na yule mstaafu.
 
Sawa na Kikwete naye utasema ana asili ya wapi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…