Hayati Magufuli alishatuambia kuwa Rais Samia ana wajomba Oman

 
Jiwe akaamua kutowazungumzia Wazee wale walioko Burundi, hakutenda Haki kabisa
Wengi humu wanasema Magufuli Mhutu sababu ana nduguz wahutu haya sasa mama Samia ana ndugu zake Oman mnasemaje kwa hilo?
 
Inatakiwa tupate jukwaa la michezo,tupate habari za michezo,hapa jf.Michezo ni ajira,michezo ni afya ya akili na mwili.Michezo inaunganisha undugu,michezo inaburudisha.
Jukwa la michezo lipo mbona , linaitwa Jamii Sports
 
Kumwelewa Jiwe inabidi akili yako iwe na tatizo kidogo. Kama mtu anafikia hatua ya kujiita kichaa,unaua raia wako na wengine kuwapiga risasi. Nchi ilirudi enzi za ujima. Aisee watu mnajua kujizima data.
 

Ila kwa hili niwapongeze waarabu wamemuheshimu sana mh rais compare na mabeberu yan royal tour bora ingefanyika huko Uarabuni tu!
 
Kumwelewa Jiwe inabidi akili yako iwe na tatizo kidogo. Kama mtu anafikia hatua ya kujiita kichaa,unaua raia wako na wengine kuwapiga risasi. Nchi ilirudi enzi za ujima. Aisee watu mnajua kujizima data.
Aliwauwa hakina kwa kuwapiga risasi?

Au hata lini wananchi wakawaida walikuwa na mgogoro wowote na jeshi la polisi wakati wa uongozi wake.
 
Hakuna shida,tunamfahaisha,alieleta uzi,akiwa anashangaa mama Samia kuwa na wajomba Oman,ndio namfahamisha Hayati Mh.Rais Magufuli,alishatuambia.
Magufuli yeye alikuwa na wajomba zake Misungwi na kule Kolomije. Ni sawa tu, wajomba walienda kutafuta maisha kule waliko, iwe Misungwi, Biharamulo na kwingineko. Hakuna shida wandugu zanguni.
 
Ni sawa JPM alisema hivyo lakini kamwe hakuwahi kufikiria kuwatimua Wamasai Rongongoro. Sana sana yeye alikomesha unyanyaswaji wa Watanganyika waliokuwa wakionewa na kunywanyaswa kwa vile tu vijiji vyao ni jirani na hifadhi na mapori ya Taifa. Akarasimisha vijiji vilivyokuwa hifadhi wananchi wakawa na haki kuliko Twiga na wakaishi kwa amani bila bughudha yeyote Awamu ya deko kwa mjomba wa Oman hii Watanzania tuendelee kujifungua.
 
Hao wamasai wapo njiani muda huu ndani ya mabasi wakienda makao mapya Handeni, kwa ridhaa yao wenyewe.

Serikali iliwahi kuhamisha makaburi pale Ilala ili pajengwe barabara ya kisasa kutoka Chan'gombe sembuse hao binadamu hai kutoka Ngorongoro!.
 
Shida hii ya Loliondo iliibuka mwaka 2017, huo mwaka nani alikuwa rais? Hata hivyo, Manifesto ya Nyerere kuhusu uhifadhi utaielewa, hata hao wanyama ni living organisms nao wana haki ya kuishi. Ni sisi binadamu ndiyo tuliovamia mapori yao, na pia ni haki yao tuwahifadhi. Mna mawazo ya kijinga sana kudharau vitu muhimu, hata kama isingekuwa utalii, bado wanyama wana haki ya kuishi.
 
Una kumbu kumbu sana.Umetuletea mambo muhimu sana,ingekuwa jf ina sehemu ya michezo,tungefaidi sana.Tuwaombe wahusika watuekee jukwaa la michezo,tupate historia za michezo na habari za sasa.
Ahaa kwa kweli.Nimekukumbusha miaka hiyo.Juzi nimekutana na Rashid Hanzuruni pale kinondoni mahakamani.Jamaa wakaniambia huyu ndiye Rashid Hanzuruni aliyeipasua Simba dak ya pili na goli halikurudi mwaka 1982.Baada ya Marehemu Kiweru Musa kaka wa Jamhuri Kiweru aliyekuwa bek mbili kisiki kurudisha mpira kimakosa kwa goli kipa wake.Na Rashid akautokea mpira akauweka wavun.
 
Wewe ni mbaguzi kupita maelezo.
Sasa wew ulitaka Mimi nifurahie Tanganyika kutawaliwa na raia wa kigeni wakati babu zetu walimwaga damu zao kudai uhuru ili tujitawale wenyewe.
Katika hilo utaniona Mimi mbaguzi na sitakubali kuwa zuzu kwa ngojera za muungano feki unitoe ktk kupigania uhuru na uzalendo kwa taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…